Tamko la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania tawi la Mwanza


Makamu Mwenyekiti wa chama cha madereva  Said Yusuph Kipande akisoma tamko hilo Jumamosi Aprili 15, 2018 mbele ya wanahabari kwenye kikao cha madereva wa serikali tawi la Mwanza.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

CHAMA CHA MADEREVA TANZANIA CHATOA TAMKO KUHUSU MIKATABA YAO NA SERIKALI

Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Madereva, Rashid Saleh (kushoto) akitoa tamko hilo. Kulia ni mtunza hazina wa Chama hicho, Ramadhan Seleman. ....akihojiwa na waandishi wa habari. CHAMA cha Madereva Tanzania,  kimetoa tamko rasmi juu ya marekebisho ya mikataba yao, huku kikilalamikia kile kilichoitwa... “ukiukwaji wa…

 

3 years ago

Michuzi

TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MPANGO WA MAFUNZO KWA MADEREVA KUPITIA CHAMA CHA TADWU.

WIZARA YA KAZI NA AJIRA
1.   Serikali imepata taarifa za kuwepo kwa mpango wa mafunzo kwa madereva nchini kote, ulioandaliwa na Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania-Tanzania Drivers Workers Union (TADWU) kuanzia wiki ijayo. Mpango huo umeelezwa kuwa njia mbadala ya tishio la mgomo lililotolewa na viongozi wa Chama hicho hapo awali, ili kuweza kupata suluhisho la malalamiko yao.
 Malalamiko hayo yalihusu Mkataba ya Ajira inayokidhi matakwa ya kisheria, nyongeza ya posho na viwango vya...

 

3 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI

 Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani  Mkala  akipokea  Cheti cha Usajili wa Chama hicho  kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana). Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala  ...

 

3 years ago

Dewji Blog

Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) chapata usajili rasmi

der 1Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani  Mkala  akipokea  Cheti cha Usajili wa Chama hicho  kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe)

bujokkMwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha...

 

2 years ago

Michuzi

MHE. KAIRUKI AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA (CMSP) KUJADILI MASUALA YA KIUTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMSP) mara baada ya kukutana na viongozi hao kwa lengo la kujadili masuala ya kiutendaji ofisini kwake leo.

 

3 years ago

Michuzi

TAWI la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) la Makao Makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA-HQ), lapata viongozi wapya

TAWI la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) la Makao Makuu ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA-HQ), limepata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Transit uliopo katika jengo la Kiwanja cha Ndege cha Zamani (TBI).

TAA ni wakala wa Serikali iliyoanzishwa tarehe 29 Novemba 1999 kwa Tangazo la Serikali Na.404 la mwaka 1999 chini ya kifungu cha 3 cha Sheria Na. 30 ya mwaka 1997 ya Wakala wa Serikali. Wakala hii ilirithi majukumu ya...

 

3 years ago

StarTV

Tamko la Chama cha wanunuzi na wauzaji wa madini (TAMIDA) kwa Serikali

Chama cha wanunuzi na wauzaji wa madini  (TAMIDA) kimeitaka serikali kuainisha  utaratibu wa ukusanyaji wa kodi ya huduma kwa  wafanyabiashara wa madini  ili kuondoa msuguano unaojitokeza baina ya wafanyabiashara na mamlaka husika.

Chama hicho kinahitaji serikali itoe ufafanuzi kuhusu namna ya ukusanyaji wa tozo la ushuru wa huduma ili kuondoa kero zinazo athiri biashara ya madini.

madin

Wakizungumza jijini Arusha wafanyabiashara wanaojihusisha na ununuzi na uuzaji ya madini ya Tanzanite wamesema...

 

3 years ago

Channelten

Chama cha madereva kimeitaka serikali kueleza mauaji ya dereva aliyeuwawa

Screen Shot 2016-03-08 at 4.42.30 PM

Chama cha madereva nchini kimeitaka serikali hususan jeshi la Polisi kanda Maalum dsm kueleza hatua gani zimechukuliwa dhidi ya watuhumiwa waliohusika ktika mauaji ya dereva ambaye aliuwawa na mwajili wake katika eneo la mbagala,pamoja na kifo cha katibu wa chama hicho bw,Rashid Saleh aliyefariki kwa kula chakula chenye sumu.

Akizungumza na waandishi wa habari M/kiti wa Chama cha madereva wa mabasi na malori nchini Shaban Mdemu amesema wamesikitishwa na Ukimya wa jeshi la Polisi kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani