TANAPA YAMPATIA DK JANE GOODALL TUZO YA UTAFITI WA MIAKA 60 YA MAISHA YA SOKWE TANZANIA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) akimkabidhi  Dk. Jane Goodall tuzo maalumu kwa kutambua mchango wake wa utafiti wa miaka 60 wa maisha ya Sokwe  pamoja na uhifadhi wa wanyama wengine kwenye hifadhi ya Gombe, mkoani Kigoma  katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Tuzo hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa). Habari zaidi zitaletwa punde.

Na Richard Mwaikenda
Jane ambaye ni raia wa Uingereza alianza utafiti katika Hifadhi ya Gombe...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

TANAPA YAMPATIA DKT. JANE GOODALL TUZO MAALUM YA UTAFITI WA MIAKA 60 YA MAISHA YA SOKWE TANZANIA

Na Richard MwaikendaDkt. Jane Goodal ambaye ni raia wa Uingereza alianza utafiti katika Hifadhi ya Gombe mnamo miaka ya 60 akiwa na umri wa miaka 26.Katika utafiti wake amegundua mambo mengi ikiwemo jinsi Sokwe wanavyojitambua, kuwa na hisia na jinsi wanavyoishi kwa ushirikiano kama walivyo binadamu.Akizungumza katika hafla hiyo Dkt Goodal anasema wakati anaanza kufanya utafiti ilikuwa vigumu Sokwe hao kumkaribia kwani walikuwa wanamuogopa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwao kumuona mtu...

 

11 months ago

Michuzi

TANAPA YATOA TUZO YA HESHIMA YA UTUNZAJI WA SOKWE KWA DKT. JANE GOODALL

Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii. 
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Hifadhi za Tanzania TANAPA, limempatia tuzo nne za Heshima, mwanasayansi na mtafiti wa kimataifa Dkt. Jane Goodall. Dkt. Jane amekabidhiwa tuzo mapema leo na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Magembe ambazo ni kinyago cha Sokwe, Kitenge, cheti cha heshima na ngao. 
Tuzo hiyo ya heshima imetolewa maalumu kwa kutambua mchango wake katika masuala ya utafiti na uhifadhi wa Sokwe kwenye...

 

11 months ago

Channelten

Tanzania leo imetoa tuzo maalum ya heshima kwa mtafiti na Mhifadhi Jane Goodall kwa kutambua mchango wake wa kazi za utafiti na uhifadhi wa Sokwe nchini.

IMG_2532 (1024x683)

Akizungumza kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, mbele ya mabalozi na wadau mbalimbali wa maendeleo, waziri wa maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe, amesema Tanzania inathamini mchango wa mtafiti huyo katika hifadhi ya Gombe iliyopo karibu na Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, ambapo tafiti mbalimbali alizofanya Jane Goodall ni pamoja na kubaini tabia za sokwe ambao kwa asilimia tisini na tisa wana vinasaba sawa na binadamu kasoro asilimia moja ambayo ni tofauti katika ubongo.

Kwa upande wake...

 

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Mhifadhi wa Sokwe Dkt.Jane GoodallRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza mhifadhi wa Sokwe wa kimataifa Dkt.Jane Goodall wakati mhifadhi huyo alipomtembelea Rais Ikulu na kumwelezea kazi zake mbalimbali za uhifadhi nchini.Dkt.Goodall anajihusisha na uhifadhi wa Sokwe katika hifadhi ya Gombe mkoani Kigoma na kazi yake imeipatia Tanzania umaarufu mkubwa Duniani.Dkt. Goodall ni mwanzilishi wa taasisi ya Jane Goodall Institute inayojihusisha na uhifadhi wa Sokwe. Picha na Freddy Maro

 

11 months ago

TheCitizen

TANAPA awards Jane Goodall for her role in conserving Chimps

The Ministry of Natural Resources and Tourism through Tanzania National Parks Tanzania (Tanapa) on Friday awarded renowned primatologist Dr Jane Goodall for her exemplary contribution to the conservation of Chimpanzees in the country.

 

2 years ago

Michuzi

DKT JANE GOODALL ,MTAFITI ALIYEWAZOESHA SOKWE MTU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE KUWA KARIBU NA BINADAMU

Mtafiti wa kimataifa wa Sokwe mtu na Mwanaharakati wa haki za Wanyama,Dkt Jane Goodall akielekea katika msitu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa ajili ya mahojiano maalumu na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania.Mtafiti Dkt Jane Goodall akichukua taswira mara baada ya kuona kundi la Wanahabari katika msitu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakimngojea.Mtalii raia wa Colombia ,Sandra Renasco akihamaki baada ya kuonana ana kwa ana na Dkt Jane Goodall ,mtu ambaye anamtaja kama...

 

11 months ago

Channelten

4 months ago

EW.Com

Jane Goodall talks revisiting her past and her mother's impact in Jane


EW.com
Jane Goodall talks revisiting her past and her mother's impact in Jane
EW.com
Jane Goodall has talked about her life and her work with the chimps in Gombe more times than she, or anyone else, can count. With Jane, the documentary making its broadcast premiere March 12 on National Geographic, she takes a much more personal look ...
Conservation Legend Jane Goodall Offers Advice To The Movement's New, Young LeadersUPROXX

all 2

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani