Tanasha Akataa Kubadili Dini Aolewe Na Diamond Platnumz

Mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, Tanasha amesema kuwa si rahisi kwa yeye kubadilisha dini kisa mahusiano  ila mapenzi yake na muimbaji huyo  yako pale pale.
Tanasha amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na Block 89 ya Wasafi FM kwa kueleza kuwa kila mmoja anaheshimu dini ya pande zote mbili.
"Mara ya kwanza nilikuwa na wasiwasi wakati tunaanza uhusiano, Diamond Platnumz ni star na nini. Naheshimu dini yake na yangu pia, sitabadilisha dini lakini mapenzi yatabaki" amesema Tanasha. 
==>>Msikilize...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Malunde

Tanasha akiri kuchanganywa na penzi la Diamond Platnumz

Mpenzi  wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch amesema kuwa, ilibaki kidogo apate uchizi baada ya kutoka na msanii huyo.
Akizungumza na Citizen TV katika Kipindi cha 10 Over 10, Tanasha ambaye pia ni msanii wa muziki na Mtangazaji wa Radio NRG ya nchini humo alisema kuwa alipoanza kuwa na uhusiano na Diamond  yalizuka maneno mabaya kwake ambayo yalitaka kumpa uchizi.
“Mwanzoni maneno hayo nilichukulia kawaida tu. Yakaanza kunifanya kupata msongo wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Lembeli akataa kubadili msimamo

>Mbunge wa Kahama aliyemaliza muda wake, James Lembeli amekataa kubadili msimamo wake wa kutogombea ubunge kupitia CCM akisema atagombea nafasi hiyo kupitia chama kingine.

 

3 weeks ago

Malunde

MPENZI WA DIAMOND 'TANASHA' AACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE UNAITWA RADIO

Mtangazaji kutokea nchini Kenya, Tanasha ambaye ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Radio akimshirikisha Barak Jacuzzi. Itazame hapa.

 

5 days ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

2 years ago

Raia Mwema

Papa Francis akataa kubadili hospitali ‘kuwa biashara’

Pope Francis akimkumbatia mtoto wakati alipotembelea hospitali ya watoto wa Bambino Gesu siku ya Alhamisi.

Pope Francis akimkumbatia mtoto wakati alipotembelea hospitali ya watoto wa Bambino Gesu siku ya Alhamisi.

VATICAN CITY

Papa Francis, katika matamshi yake wakati wa kikao na wafanyakazi wa hospitali hiyo ya watoto, alishutumu kile alichokiita tama ya kuiangalia hospitali kama biashara.

Papa alitoa matamshi hayo siku ya Alhamisi katika hospitali ya Bambino Gesu (Mtoto Yesu), ambayo imekaa katika mlima unaotazama jiji la Roma.

Francis alikutana na wafanyakazi baada ya uchunguzi...

 

4 years ago

GPL

ESTA KIAMA KUBADILI DINI!

Msanii wa filamu Bongo, Esta Kiama. MSANII wa filamu Bongo, Esta Kiama amesema kuwa yupo mbioni kubadili dini yake ya Kikristo na kwenda kwenye Uislam kwa kile anachodai kuwa amejisikia tu. Akichezesha taya na Amani, Esta alisema kuwa ameamua kubadilisha dini kwa matakwa yake mwenyewe na siyo kwa kulazimishwa na mtu yeyote. “Muda wowote kuanzia sasa nitabadilisha dini kwa kuwa nimeamua na wala si kwa ajili ya kumfuata mtu...

 

3 years ago

Global Publishers

Ester Kiama Aamua Kubadili Dini

ester4

Na Hamida Hassan

Staa wa Filamu za Kibongo, Ester Kiama ameamua kusilimu na kuingia kwenye dini ya Kiislam ili mwaka huu afunge Mwezi wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Akipiga stori na Ijumaa, Ester amesema kwa kuwa muda mwingi anashiriki mambo ya dini ya Kiislam na mama yake ni muumini wa dini hiyo, ameona ni vyema akachukua uamuzi huo sasa ili awe na imani thabiti.

“Nimeamua kubadili dini, siku si nyingi nitaitwa Zahara maana naona sishiriki kanisani na mara nyingi huwa naenda...

 

2 years ago

Bongo5

Vanessa Mdee kubadili dini sababu ya Jux? (Video)

Iko wazi, kwamba wapenzi wengi wa dini tofauti, huamua kuchagua njia moja iwapo lengo lao ni kuja kufunga ndoa na kuwa mke na mume, kihalali.

Vipi kwa upande wa Vanessa Mdee ambaye ni mkrito, na Juma Jux ambaye ni muislamu, mustakabali wao ni upi iwapo wanakoelekea ndio huko ambako ndugu na jamaa zao wanapenda wafike yaani ndoani?

Nani yuko radhi kubadili dini yake? Swali hilo lilitupiwa kwa Vanessa Mdee na watangazaji wa kipindi cha The Base cha ITV.

“No, sina mipango yoyote ya...

 

4 years ago

Bongo Movies

UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!

Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.

Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.

Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani