Tanasha akiri kuchanganywa na penzi la Diamond Platnumz

Mpenzi  wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch amesema kuwa, ilibaki kidogo apate uchizi baada ya kutoka na msanii huyo.
Akizungumza na Citizen TV katika Kipindi cha 10 Over 10, Tanasha ambaye pia ni msanii wa muziki na Mtangazaji wa Radio NRG ya nchini humo alisema kuwa alipoanza kuwa na uhusiano na Diamond  yalizuka maneno mabaya kwake ambayo yalitaka kumpa uchizi.
“Mwanzoni maneno hayo nilichukulia kawaida tu. Yakaanza kunifanya kupata msongo wa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

Tanasha Akataa Kubadili Dini Aolewe Na Diamond Platnumz

Mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, Tanasha amesema kuwa si rahisi kwa yeye kubadilisha dini kisa mahusiano  ila mapenzi yake na muimbaji huyo  yako pale pale.
Tanasha amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na Block 89 ya Wasafi FM kwa kueleza kuwa kila mmoja anaheshimu dini ya pande zote mbili.
"Mara ya kwanza nilikuwa na wasiwasi wakati tunaanza uhusiano, Diamond Platnumz ni star na nini. Naheshimu dini yake na yangu pia, sitabadilisha dini lakini mapenzi yatabaki" amesema Tanasha. 
==>>Msikilize...

 

5 days ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hamisa mobetto akiri kuzaa na Diamond Platnumz.

Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye awali alishindwa kutaja baba wa mtoto aliye jifungua hivi karibuni lakini hatimaye ameamua kuweka mambo hadharani kwa kumtaja baba wa toto wake wa pili AbdulLatif kuwa ni Diamond Platnumz.

Kwa mujibu wa akaunti ya mtandao wa Instagram ya mtoto huyo inaonesha jina kamili la mtoto kuwa ni “Dully Dangote (AbdulLatif Naseeb Abdul Juma )Lion 🦁 (Leo) -8|8|2017 TanzanianBaby 👑 @hamisamobetto & Diamond Platnumz Son.”

Miezi kadhaa nyuma Diamond Platnumz alikuwa...

 

3 years ago

MillardAyo

Video: Comment ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper

Moja kati ya couples zinazoongelewa sana kwenye mitandao ya kijamii huwezi kuacha kulitaja penzi la mastaa wawili kutoka kiwanda cha Bongomovie (Jackline Wolper) na kutoka kiwanda Bongoflevani (Hamonizer) leo October 22 2016 Diamond Platnumz amble ni C.E.O wa lebel ya WCB ametoa comment yake kuhusu mapenzi ya msanii wake na mrembo Jackline Wolper. ‘Sisi kama […]

The post Video: Comment ya Diamond Platnumz kwenye penzi la harmonize na Wolper appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Bongo5

Alikiba aweka wazi chanzo cha beef kati yake na Diamond, akiri yeye ni shabiki wa nyimbo za Platnumz lakini….!

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha Sporah kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef […]

 

3 weeks ago

Malunde

MPENZI WA DIAMOND 'TANASHA' AACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE UNAITWA RADIO

Mtangazaji kutokea nchini Kenya, Tanasha ambaye ni mpenzi wa msanii Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Radio akimshirikisha Barak Jacuzzi. Itazame hapa.

 

4 years ago

GPL

SABBY: NATAMANI PENZI LA DIAMOND

Hamida Hassan Staa wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ hivi karibuni amefunguka siri iliyokuwa kwenye uvungu wa moyo wake kwamba analitamani sana penzi la mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ila anaumia kwa kuwa anajua amechelewa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Pa0bB8

 

5 years ago

GPL

DIAMOND ATESEKA NA PENZI LA WEMA!

Stori: Richard Bukos
Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ akwa ameshika gauni la mpenzi wake. YATOKANAYO
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku akisemekana hamuwezi...

 

5 years ago

GPL

PENZI LA WEMA, DIAMOND...UCHAWI!

Na Imelda Mtema
SIJUI ni hasira au nini! Mama mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu ‘Mama Wema’ amemshika uchawi mpenzi wa bintiye, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akilaani vikali kitendo cha kumrudia mwanaye akidai lengo lake ni kumharibia maisha, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili mkononi. Wema na Diamond. Mama Wema alitoa hisia zake hizo juzi jijini Dar es Salaam alipoongea kwa simu na paparazi wetu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani