TANGAZO LA UHAKIKI WA WASTAAFU ZSSF

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR (ZSSF) UNAWATANGAZIA WASTAAFU WANAOPOKELEA PENCHENI YA ZSSF KUPITIA BENKI TOFAUTI KUWA UHAKIKI KWA WANACHAMA SASA UTAFANYIKA MWANZONI MWA MWEZI WA JANUARI 2019

KWA WASTAAFU WOTE WA UNGUJA NA PEMBA UHAKIKI HUO UTAFANYIKA KUANZIA TAREHE 02 HADI 11 JANUARI 2019 KUANZIA SAA 2:00 ZA ASUBUHI 

UHAKIKI HUO UTAFANYIKA KATIKA AFISI ZA ZSSF KILIMANI MNARA WA MBAO NA TIBIRINZI CHAKECHAKE PEMBA.

AIDHA KWA WASTAAFU WALIOPO DAR ES SALAAM UHAKIKI WAO UTAFANYIKA...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

TANGAZO LA UHAKIKI WA WASTAAFU

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR (ZSSF)

S.L.P 2716

KILIMANI MNARA WA MBAO

 

MFUKO WA HIFADHI YA JAMII ZANZIBAR (ZSSF) UNAWATANGAZIA WASTAAFU WANAOPOKELEA PENCHENI YA ZSSF KUPITIA BENKI TOFAUTI KUWA UHAKIKI KWA WANACHAMA UMEWADIA.

KWA WASTAAFU WOTE WA UNGUJA NA PEMBA UHAKIKI HUO UTAFANYIKA TAREHE 02 JANUARI 2018 HADI 07/01/2018 KUANZIA SAA 2:00 ZA ASUBUHI.

UHAKIKI HUO UTAFANYIKA KATIKA AFISI ZA ZSSF KILIMANI MNARA WA MBAO NA TIBIRINZI CHAKECHAKE PEMBA.

INASISITIZWA KUWA UHAKIKI HUO NI KWA...

 

5 years ago

Tanzania Daima

TPB, ZSSF wawabeba wastaafu Zanzibar

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema mpango wa utoaji mikopo kwa wastaafu ulioanza kutekelezwa, una lengo la kuwasaidia katika kukidhi mahitaji yao mbalimbali ya kimaisha....

 

2 years ago

Habarileo

Uhakiki wa wastaafu

WAKATI uhakiki wa wastaafu wanaolipwa na Hazina katika jiji la Dar es Salaam unamalizika leo, Wizara ya Fedha na Mipango imesema haitaongeza muda.

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza uhakiki wa wastaafu Dar

Wizara ya Fedha na Mipango imeanza kuhakiki taarifa za wastaafu waliotumikia Serikali katika utumishi wa umma kwa mkoa wa Dar es Salaam huku ikitoa tahadhari ya kuwafuta wale wote ambao hawatafika kuhakikiwa taarifa zao.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa Pensheni -PPF waendesha zoezi la uhakiki wa wastaafu

Mfuko wa Pensheni wa PPF umewatangazia umma juu ya zoezi lao la uhakiki wa wastaafu wa mfuko huo ambalo linaendeshwa kwa nchi nzima.

Wakizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam mapema leo Septemba 23.2016, Meneja Uhusiano wa PPF,  Lulu Mengele  amebainisha kuwa zoezi hilo lililoanza kuanzia Septemba 12 na kufikia tamati leo Septemba  23 kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Zanzibar linaendeshwa kwa wastaafu wa mfuko huo wanaolipwa pensheni ya kila mwezi.

“Zoezi kwa wastaafu lililoanza...

 

2 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UHAKIKI WA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA MKOANI ARUSHA

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Bw. Stanslaus Mpembe (kushoto)  akitoa ufafanuzi kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango namna zoezi zima la uhakiki wa wastaafu kanda ya kaskazini linavyokwenda kabla ya uzinduzi wa zoezi hilo. Zoezi hili ni kwa mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga. Zoezi la kuhakiki wastaafu likiendelea katika Ofisi za Makao Makuu, Halmashauri ya jiji la Arusha, Pichani ni baadhi ya wastaafu wakifanyiwa uhakiki.Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha...

 

2 years ago

Dewji Blog

Hazina kufanya uhakiki kwa wastaafu wa mikoa ya Kanda ya Ziwa

Wizara ya Fedha na Mipango yawataka wastaafu wanalipwa na Hazina ambao hawajahakikiwa katika mikoa ambayo zoezi hilo limeshafanyika na wanauwezo wa kufika katika maeneo ambayo zoezi hilo linaendelea , wajitokeze kwa wingi  kwa ajili ya kuhakikiwa.

Wito huo umetolewa mkoani Mwanza na Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Msaidizi, Bw. Stanislaus Mpembe wakati wa uzinduzi wa zoezi la Uhakiki wa Wastaafu wanaolipwa na Wizara ya Fedha na Mipango katika Kanda ya Ziwa, mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara,...

 

3 years ago

Global Publishers

LAPF Waandaa Zoezi La Uhakiki Wa Wastaafu Wanaolipwa Pensheni Na Mfuko Huo

lapf

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF UNAWATANGAZIA WASTAAFU WANAOLIPWA PENSHENI NA LAPF KUWA KUTAKUWA NA ZOEZI LA UHAKIKI WA WASTAAFU NCHI NZIMA KUANZIA TAREHE 13.06.2016 HADI TAREHE 24.06.2016 KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI.

TAREHE KAMILI KWA KILA WILAYA INAPATIKANA KWENYA MAGAZETI YA MWANANCHI YA TAREHE 06.06.2016, 08.06.2016 NA 10.06.2016, DAILY NEWS LA TAREHE 07.06.2016 NA 09.06.2016 NA TOVUTI YA MFUKO www.lapf.or.tz KILA MSTAAFU ANATAKIWA KUFIKA NA PICHA MOJA NDOGO (PASSPORT SIZE) NA...

 

3 years ago

Michuzi

PPF YAWATAKA WASTAAFU KUJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA UHAKIKI LINALOENDELEA NCHINI.

 
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO

MFUKO wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) umewataka wanachama wastaafu wa mfuko huo PPF kujitokeza katika zoezi la uhakiki linaoendelea na kumalizika nchini kote tarehe 28 Oktoba mwaka huu.

Akizungumza na waandsihi wa habari leo jijini Dar es salaam Meneja Kiongozi wa Shughuli za Pensheni na Huduma kwa Wanachama, John Mwalisu alisema uhakiki huo hufanyika kila baada ya miaka miwili kwa lengo la kuwa na taarifa sahihi za wanachama wanaolipwa pensheni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani