Tanzania : Waziri Mhagama, Mkuu wa SSRA watakiwa kuwajibika

Mtalaam wa sayansi ya siasa na utawala wa umma nchini Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, amesema kwa hatua iliyochukuliwa na Rais John Magufuli ya kubatilisha mfumo mpya wa upigaji mahesabu (Kikokotoo) ya mafao ya wastaafu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Jenister Mhagama analazimika kujiuzulu.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Waziri Jenista Mhagama atembelea Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)


Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akikabidhi vitendea kazi kwa Mh. Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu. Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (kushoto), ofisini hapo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akizungumza na wafanyakazi wakati alipotembelea Mamlaka hayo kwa lengo la...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPOKEA WAZIRI JENISTA MHAGAMA NA NAIBU MAWAZIRI MAVUNDE NA POSSI

si11Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. si12Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde  wakati aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi  Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKITETA JAMBO NA WAZIRI JENISTA MHAGAMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri , Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,Bungeni Mjini Dodoma Juni 19,2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

3 years ago

Michuzi

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama atembelea banda la LAPF

 Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo ya ujumla kuhusu Mfuko wa Pensheni wa LAPF katika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa. Anayetoa maelezo ni Afisa Masoko Mwandamizi wa Mfuko Bi. Rehema Mkamba. Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mifumo ya Kompyta wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA AKITETA NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, Bungeni mjini Dodoma Februari 8, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

3 years ago

Michuzi

NEC yakabidhi Tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa Waziri Mhagama

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama, Taarifa ya Tathmini Baada ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni mjini Dodoma leo. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mst. Damian Lubuva (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,...

 

2 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MV LIEMBA WATAKIWA KUWAJIBIKA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, amewataka manahodha na mabaharia wa meli ya MV. Liemba kufanyakazi kwa ubunifu na uadilifu ili kuiwezesha meli hiyo kujiendesha kibiashara.
Akizungumza na wafanyakazi wa meli hiyo Prof. Mbarawa, ameelezea kuridhishwa na mabadiliko yanayoendelea katika meli hiyo na kuwataka wasibweteke bali waongeze ubunifu.“Hakikisheni mnatoa huduma bora kwa wateja wenu na kupata faida ili serikali na wadau wengine wawaamini na kutumia huduma...

 

4 years ago

Vijimambo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe Jenista Mhagama afanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia

Mhe Jenista Mhagama tarehe 21 April 2015 alifanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia.  Dhumuni ya ziara hiyo ilikuwa kujifunza taratibu na mambo mbali mbali yanayohusiana na Bunge la Zambia. Katika ziara hiyo Mhe Waziri aliongozana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Grace J. Mujuma.

 Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick Matibini (hayupo pichani)Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma...

 

3 years ago

Michuzi

WATUMISHI UMMA RUVUMA WATAKIWA KUWAJIBIKA

Serikali imewataka watumishi wa umma mkoani Ruvuma kutimiza kikamilifu wajibu wao ndipo wadai haki wanazostahili
Rai hiyo imetolewa leo na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Benson Mpesya wakati alipozungumza na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na wilaya ya Songea kwenye ukumbi wa Maliasili mjini Songea .Ameyasema haya ikiwa ni utekelezaji wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma ambapo viongozi na watendaji wakuu wa taasisi za umma wanakutana na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani