Tanzania bara yabanwa, Kenya yaanza vyema CECAFA CHALENJ

Wenyeji wa Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP timu ya Taifa ya Kenya wameenza vyema  baada ya leo kuifunga Rwanda mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa saa 8 za mchana katika uwanja wa Bukhungu huko Kakamega .

Mabao ya Kenya yamefungwa na Maasud Juma na Dancon Otieno.

Na katika uwanja wa Kenyata huko Mjini Machakos timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) wakatoka sare ya 0-0 dhidi ya Libya.

Mashindano hayo yataendelea tena kesho kwa kupigwa mchezo mmoja kati ya Uganda dhidi ya Burundi Saa 9:00 Alaasiri katika uwanja wa Bukhungu huko Kakamega .

 

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.

The post Tanzania bara yabanwa, Kenya yaanza vyema CECAFA CHALENJ appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 month ago

Zanzibar 24

Zanzibar queens watakaokwenda rwanda cecafa chalenj hawa hapa

Kocha mkuu wa Soka la Zanzibar Hemed Suleiman (Morocco) mbali ya kutangaza kikosi cha timu ya Taifa kwa Wanaume pia leo ametangaza kikosi cha Wachezaji 20 wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa Wanawake (Zanzibar Queens) ambayo inatarajiwa kwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika muda wowote mwezi huu. WALINDA MLANGO Salma Abdallah (Green Queens) Hajra Abdallah (Jumbi) Mtumwa (New Generation Queens) WALINZI Hawa Ali (New Generation...

 

4 years ago

Mwananchi

Tanzania yaanza vyema tenisi

Tanzania jana ilianza vizuri mashindano ya vijana ya Afrika Mashariki na Kati baada ya wachezaji wake Mernad Frank na , Emmanuel Mallay kushinda katika michezo yao ya jana kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.

 

2 years ago

Dewji Blog

Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!

kilistars

Kikosi cha Kilimanjaro Stars..

Na Rabi Hume, Modewji blog

Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.

Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.

Goli la pili lilifungwa na Elias...

 

3 years ago

Bongo5

Tanzania yaanza vyema BBA, Laveda awa ‘Head of House’ wa kwanza

Shindano la Big Brother Africa Hotshots limezinduliwa Jumapili hii, jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Msimu wa mwaka huu umezinduliwa kwa washiriki wote 26 kuonesha vipaji vyao na watazamaji kuwapa marks. Mwakilishi wa Tanzania, Laveda ndiye aliyeongoza kwa kupata asilimilia 85 kwa uhodari wake wa kupiga saxophone. Ushindi huo umemfanya Big Brother amtangaze kuwa ‘mkuu wa […]

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Hawa hapa wachezaji 24 wa Zanzibar Heroes watakaokwenda Kenya kesho Chalenj CUP

Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes)  itaondoka nchini kesho Alhamis kuelekea Nairobi, Kenya kwa basi tayari kushiriki mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kuanza rasmi Disemba 3-17, 2017. Jumla ya msafara wa watu 34 wakiwemo viongozi pamoja na wachezaji 24 wataondoka saa 6 za mchana kwa Boti kisha wakifika Dar es salam watapanda Basi kwenda mpaka Mkoani Tanga watalazimika kulala hapo, kisha asubuhi yake kuanza safari nyengine mpaka Mombasa na wakifika Mombasa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Kenya na Tanzania zafuta machozi Cecafa

Kenya na Tanzania zilifuta machozi ya kubanduliwa kutoka mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia kwa kuandikisha ushindi mechi zao za kwanza Cecafa nchini Ethiopia.

 

4 years ago

BBCSwahili

CECAFA:Tanzania na Kenya nusu fainali

Kilimanjaro Stars watakabiliana uso kwa uso na Harambee Stars nusu fainali ya CECAFA

 

1 year ago

BBCSwahili

Kina dada wa Tanzania na Kenya kukabiliana fainali Cecafa

Leo ndiyo siku ya fainali ya mataifa bingwa Afrika mashariki na kati wanawake na tayari uongozi wa CECAFA umethibitisha kuwa umekamilisha taratibu zote za mechi.

 

2 years ago

Raia Tanzania

Azam FC yaanza vyema Kagame

TIMU ya soka Azam FC jana imeanza vyema michuano ya Kombe Kagame Cup, baada ya kupata ushindi mwembamba wa bao 1-0, dhidi ya KCCA ya Uganda, Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo wa kwanza kwa Azam FC, msimu huu uliwachukua dakika ya 12 ya kuandika bao la kwanza lililowekwa kimiani na nahodha wao John Bocco ‘Adebayor’ aliyepokea pasi ya Shomari Kapombe.

Azam, walitengeneza nafasi nyingi za katika kipindi cha kwanza, lakini ukosefu umakini kwa safu ya ushambuliaji ndio...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani