TANZANIA KUFIKIA ASILIMIA 70 YA KUONDOA UHABA WA WATUMISHI KATIKA SEKTA YA AFYA


waziri wa afya Ummy Mwalimu akifungua kikao cha kujadili changamoto za rasiliamali watu katika sekta ya afya kilichofanyika leo jijini Dodoma

Dkt.Dan Brun Peterson mshauri mwelekezi masuala ya afya idara ya sera ya mipango wizara ya afya akiwasilisha mada katika kikao hicho
waziri wa afya pamoja na katibu mkuu wake Dkt.Zainab Chaula(kulia)wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa
Viongozi mbalimbali wakifuatilia uwasilishaji wa mada kwenye kikao hicho ambacho kitaweka mikakati ya kuboresha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Tanzania yajivunia kufikia malengo ya milenia katika afya, elimu

DSC_0564

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

Na Mwandishi Wetu

KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Uhaba watumishi afya waitesa Lindi

Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya mkoani hapa unadaiwa kuchangia huduma duni katika hospitali, zahanati na vituo vya afya vya Serikali na kuhatarisga maisha ya wagonjwa.

 

1 week ago

MwanaHALISI

Serikali kumaliza uhaba wa watumishi wizara ya Afya

Serikali ya Tanzania imeazimia kufikia asilimia 70 kutoka 48 ya uhaba wa watoa huduma za afya kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ifikapo mwaka 2022. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akifungua kikao cha kujadili changamoto ...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

5 years ago

Habarileo

Uhaba wa watumishi waathiri hospitali, vituo vya afya

UHABA wa watumishi katika hospitali na vituo vya afya mkoani Rukwa umetakiwa kutatuliwa haraka kuleta ufanisi katika utekelezaji wa kampeni ya kukomesha vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua.

 

4 years ago

Michuzi

Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.

Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote.  Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...

 

5 years ago

Tanzania Daima

TBL kutumia mil. 700/- kutatua uhaba wa maji sekta ya afya

TATIZO la upatikananji wa maji safi na salama nchini ni moja kati ya changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya afya nchini. Tatizo hili limekuwa likiathiri ufanisi katika shughuli mbalimbali za huduma...

 

3 years ago

Habarileo

Upungufu wa watumishi idara ya afya ni asilimia 52

SERIKALI inakabiliwa na upungufu wa watumishi katika idara ya afya kwa zaidi ya asilimia 52 ya mahitaji ya vituo vyote vya kutolea huduma nchini.

 

3 years ago

Channelten

Asilimia 37 zinaonyesha uhitaji wa Watumishi wa afya

Screen Shot 2016-07-08 at 3.45.55 PM

Tafiti zinaonesha kuwa bado kuna upungufu wa Watumishi wa afya kwa asilimia 37 katika vituo mbalimbali vya afya pamoja na zahanati nchini hasa maeneo ya vijijini huku upungufu mkubwa ukionekana kuwepo kwa madaktari wakifuatiwa na wauguzi.

Hayo yamebainishwa katika warsha ya kuwasilisha matokeo ya tathmini mbalimbali za rasilimali watu katika sekta ya afya zilizofanywa na Taasisi ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na Shirika la UNFPA.

Akizungumza katika warsha hiyo Afisa Mtendaji Mkuu wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani