Tanzania kutosaini mkataba wa mashirikiano ya kibiashara kati ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki

Siku moja kabla ya kufanyika kwa mkutano maalum wa wakuu wa nchi wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Tanzania imesema bado haiko tayari kusaini mkataba wa mashirikiano ya kibiashara kati ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki na jumuiya ya nchi za umoja wa Ulaya, mpaka pale vipengele muhimu vyenye maslahi na Tanzania vitakapoainishwa.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

Ippmedia

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

WABUNGE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUHAMASISHA JAMII JUU YA FRUSA ZA KIBIASHARA ZINAZOPATIKANA AFRIKA MASHARIKI.

WABUNGE wa Jumuiya la Afrika Mashariki kuanza kuhamasisha jamii ili kujua fursa za Kibiashara zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ameyasema hayo leo Mbunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, amesema kuwa wataanza kuhamasisha jamii katika soko la Kariakoo na Soko la Samaki la Feri jijini Dar es Salaam pamoja na vyombo vya habari mbalimbali.
Makongo amesema kusudi la kuelimisha jamii ili wafanyabishara...

 

1 year ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI MECHI KATI YA BUNGE LA TANZANIA NA UGANDA UWANJA WA UHURU, JIJINI DAR

Wachezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao na Timu ya Uganda Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni ya leo. Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Prof. Norman Sigalla akimtoka ,Mchezaji wa Timu ya Bunge la Uganda wakati wa mechi yao iliyochezwa Jioni Leo Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanaoendelea Jijini Dar es Salaam ambapo Uganda waliibuka kwa ushindi wa Magoli 2-1. Mchezaji wa Timu...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA SUDANI KUSINI SALVA KIIR ATIA SAINI MKATABA WA KUJIUNGA RASMI NA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akipokea maua kutoka kwa mtoto Sharon Innocencia Shiyo mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam na kulakiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli.Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit akisalimiana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Utiaji saini wa Mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki.Rais wa...

 

3 years ago

Channelten

Rais wa Sudan Kusini anatarajiwa kutia saini mkataba wa kuiingiza rasmi nchi yake Jumuiya ya Afrika Mashariki

PICHA+18
Rais Kiir atatia saini mkataba huo jijini Dar es Salaam mbele ya mwenyeji wake, Rais wa Tanzania John Magufuli, ambaye kwa sasa ndiye mwenyekiti wa jumuiya hiyo.

Viongozi wa nchi za jumuiya hiyo waliidhinisha kukubaliwa kwa Sudan Kusini kujiunga na jumuiya hiyo kwenye mkutano mkuu uliofanyika mjini Arusha mwezi uliopita.

Sudan Kusini itakuwa nchi ya sita kujiunga na jumuiya hiyo iliyoanza kwa nchi tatu Tanzania, Kenya na Uganda. Rwanda na Burundi zilijiunga na jumuiya hiyo baadaye.

Baada ya...

 

1 year ago

Michuzi

Waziri Mahiga awaasa Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa Wazalendo na kusimamia maslahi ya Jumuiya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi wa Wizara hiyo na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Disemba 2017. Pembeni yake kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba na kulia ni Mwenyekiti wa...

 

3 years ago

Global Publishers

Wabunge wa jumuiya ya africa mashariki kuhamasisha fursa za kibiashara

1.Mbunge wa Bunge la Arika Mashariki, Addullah Mwinyi (katikati) akizungumza jambo katika mkutano huo na wanahabari.Hawapo pichani.-001Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Abdullah Mwinyi (katikati) akizungumza jambo katika mkutano huo na wanahabari (Hawapo pichani).

2.Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Banji, Makongoro Nyerere na Abdullah Mwinyi wote wakiwa ni wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.-001Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Banji, Makongoro Nyerere na Abdullah Mwinyi wote wakiwa ni Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.

3.Baadhi ya wanahabari wakichukua tukio hilo.-001Baadhi ya wanahabari wakichukua tukio hilo.

WABUNGE wa Jumuiya la Afrika Mashariki wamesema wataanza kuhamasisha jamii ili kujua fursa za kibiashara zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Hayo...

 

4 years ago

Michuzi

Tanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika  ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani