Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Tanzania kesho inatarajia kuungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Fistula

ummymwalimu

Tanzania kesho inatarajia kuungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Fistula, huku serikali ikizitaka hospitali za umma zitoe bure huduma ya matibabu kwa wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini, ambapo kwa mwaka huu imebeba kauli mbiu ya TUMAINI, UPONYAJI NA HESHIMA KWA MWANAMKE .

Serikali imeainisha hatua za kudhibiti tatizo la Fistula ambapo miongoni mwake ni kuongeza huduma za upasuaji kwa wenye matatizo hayo ambapo kwa mwaka huu wa fedha inatarajia kujenga...

 

3 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA OZONI DUNIANI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mh. January Makamba akiongea na waandishi wa Habari juu ya Siku ya Kimataifa ya tabaka la Ozoni. Siku hii huadhimishwa Septemba 16 kila mwaka. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bw. Richard Muyungi. (Picha kwa hisani ya Idara ya Habari Maelezo)
…………………………………………………………..
Tarehe 16 Septemba mwaka huu tutaungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni kama ilivyoagizwa na ...

 

2 years ago

Channelten

Tanzania imeungana na Jumuia ya Kimataifa kuadhimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto

mp900302922

Tanzania imeungana na Jumuia ya Kimataifa kuadhimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, maadhimisho yaliyobeba kauli mbiu isemayo FUNGUKA, PINGA UKATILI WA KIJINSIA: ELIMU SALAMA KWA WOTE, ambapo serikali kupitia wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto, imeahidi kufanyia marekebisho sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kwa lengo la kumlinda mtoto wa kike dhidi ya ndoa za utotoni.

Akizindua siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia waziri wa...

 

4 years ago

Vijimambo

Kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo lafanyika Pemba

MRATIBU wa kongamano la kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, Khalfan Amour Mohamed lililofayika mjini Chake chake, na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni Afisa mipango wa ZLSC Siti Salim Habibu na kushoto ni Afisa Mdhamini wizara ya Katiba na Sheria Omar Khamis Juma akifuatiwa na Mratibu wa ZLSC, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, ambalo...

 

2 years ago

Michuzi

WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KISOMO,JIJINI DAR

Wadau mbalimbali wa elimu wamekutana kuadhimisha siku ya kimataifa ya kisomo ambayo hufanyika Septemba 8 kila mwaka. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya iSwapMyBooks kwa kushirikiana na SOMA pia Elimika Wikiendi ulihusisha mjadala wa namna ambavyo Tanzania inaweza kutumia faida ya uwepo wa nyenzo za kidigitali katika kusaidia watoto na watu wazima kujifunza.
Akifungua maadhimisho hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya SOMA Bi. Demere Kitunga alieleza namna ambavyo kwa miaka ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

PICHA: Kongamano lililoandaliwa na Unesco kuadhimisha siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari

10Mkuu wa idara ya mawasiliano na habari wa UNESCO, Ofisi za Tanzania, Christophe Legay akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa kwa waandishi wa habari, lililofanyika jana jijini Dar es Salaam

 

11Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo, Jamal Zuberi akizungumza akifungua kongamano linalohusu ukatili kwa waandishi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukatili kimataifa...

 

4 years ago

Habarileo

Kemikali zinazomong’onyoa tabaka la ozoni zapunguzwa

UZALISHAJI wa kemikali zinazomong’onyoa tabaka la hewa ya ozoni umepunguzwa kwa asilimia 98 duniani, imeelezwa.

 

5 years ago

Michuzi

serikali yajipanga kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni nchini

Serikali kwa kupitia mkataba wa Motrial wa mwaka 1987 imejipanga thabiti katika kuhakikisha kuwa tatizo la uharibifu wa tabaka la ozini linapata suluhu Tanzania.
Mkurugenzi wa Manzingira Ofisi ya Makam wa Rais, Dk. Julius Ningu aliyasema hayo ofisini kwake katika mahojiano na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatua ya serikali katika kudhibiti uharibifu wa tabaka la Ozoni.
Dk. Ningu alisema kuwa kabla ya mwaka 1985 wanasayansi waligundua kumomonyoka kwa tabaka la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani