Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar

Nchi ya Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 54 ya mapinduzi ya Zanzibar, mapinduzi yaliyoshuhudia kuangushwa kwa utawala wa Sultan na familia yake January 12 mwaka 1964.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

RFI

Zanzibar yaadhimisha miaka 53 ya mapinduzi

Katika makala haya leo utasikia maoni ya watanzania kuhusu miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar, karibu.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hotuba ya Rais wa Zanzibar katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan;

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa;

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi;

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,

 

Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Pili,

 

Mheshimiwa  Benjamin Wiliam Mkapa;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Tatu,

 

Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete;

Rais Mstaafu...

 

2 years ago

Dewji Blog

PBZ yaadhimisha sherehe za Miaka 50 kwa kusaidia Jamii Zanzibar

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Juma Ameir ameungana na jamii katika kusheherekea miaka 50 ya benki hiyo Visiwani Zanzibar ambapo wametoa vitu na zawadi mbalimbali kwa jamii.

Wafanyakazi wa PBZ wakijumuika na Mkurugenzi Mtenda wa PBZ Ndg Juma Ameir katika kutoa huduma kwa wateja ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 50 ya PBZ tangu kuazishwa kwa benki hiyo wakiwa katika Tawi la Malindi Zanzibar.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Juma Ameir akitowa huduma kwa Wateja...

 

4 years ago

Michuzi

Gold Zanzibar Beach hotel yaadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo

 Mkurugenzi Mkuu wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach hotel  Bw.  Andrea Lottle akishirikiana na Wafanyakazi wa hoteli hiyo wakisherehekea kwa kuzima mshumaa kuadhimisha miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wao kNungwi Kwenda. Wageni wa hoteli ya Gold Zanzibar Beach wakipata picha za kumbukumbu ya hafla hiyo ya sherehe za kutimia miaka miwili ya hoteli hiyo iliofanyika katika ukumbi wake kendwa Zanzibar.
 Msanii wa kitaliano Antonela Mignlore akionesha sanaa za utamaduni wa...

 

5 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar Michezani na Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja

 Uwanja wa mabembea wa Kariakoo Mjini Unguja ukiwa katika hatua za mwisho katika matengenezo,ambapo Rais wa wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, aliahidiwa kumalizika hivi karibuni wakati alipofanya ziara leo ya kuona maendeleo ya ujenzi huo.    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge Michenzani...

 

4 years ago

BBCSwahili

Zanzibar na miaka 51 ya Mapinduzi

Zanzibar yaadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, yalioung'owa utawala wa Sultani.

 

4 years ago

Mwananchi

Miaka 51 Mapinduzi ya Zanzibar

Chini ya uongozi wa Karume, Zanzibar inatajwa kama nchi iliyokuwa ikipiga hatua nzuri hasa katika maendeleo ya uchumi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki.

 

5 years ago

Mwananchi

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 50

>Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein atawaongoza maelfu ya wananchi wa Zanzibar, kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya visiwa hivyo leo.

 

6 months ago

RFI

Tanzania yaadhimisha miaka 54 ya muungano

Tanzania inaadhimisha Alhamisi wiki hii miaka 54 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda taifa moja la Tanzania.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani