Tanzania yachoma vifaranga wengine 5000 kutoka Kenya

Tanzania kwa mara nyengine tena imechoma vifaranga 5,000 vya kuku vinavyodaiwa kuingizwa nchini humo kupitia mpaka wa Kaskazini wa Namanga kutoka Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Kwa nini Tanzania ikawapiga mnada ng’ombe na kuteketeza vifaranga kutoka Kenya

Serikali ya Tanzania imetetea hatua yake ya kuwakamata na kuwapiga mnada mifugo pamoja na kuteketezwa kwa vifaranga kutoka nchi jirani ya Kenya.

 

3 years ago

Ippmedia

Serikali yakamata vifaranga 5000 na mayai ya samaki toka Malawi uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere .

Serikali yakamata Vifaranga 5000 na mayai ya samaki kutoka nchini Malawi vyenye thamani ya zaidi ya Millioni 20 katika uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam,wahusika kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Day n Time: ALHAMISI SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

3 years ago

BBCSwahili

Uwindaji haramu: Kenya yachoma pembe za ndovu

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezichoma pembe za ndovu katika juhudi za kuonyesha taifa lake kuhusu umuhimu wa kuwahifadhi ndovu.

 

11 months ago

Daily Nation

Tanzania destroys another 5000 Kenya-sourced chicks


Daily Nation
Tanzania destroys another 5000 Kenya-sourced chicks
Daily Nation
Tanzania impounded 5,000 day-old chicks illegally imported from Kenya at the Namanga border. PHOTO | MWANANCHI | NMG. Advertisement. By The EastAfrican. More by this Author. Tanzania has burnt 5,000 one-day old chicks illegally imported through the ...
Tanzania captures Kenya's chicks againCapital FM Kenya

all 2

 

11 months ago

The Standard

Tanzania intercepts 5000 chicks from Kenya, to destroy them


Daily Nation
Tanzania intercepts 5000 chicks from Kenya, to destroy them
The Standard
NAIROBI, KENYA: Tanzanian government has confiscated imports at the Namanga border in Longido District, Arusha Region. The goods which include 5000 tonnes of sugar, salt, 18 bags of tea leaves, 5000 chicks and 416 trays of eggs will be destroyed while ...
Tanzania captures Kenya's chicks againCapital FM Kenya
Tanzania Destroys Another 5000 Chicks From KenyaAllAfrica.com

all 3

 

11 months ago

The Standard

Tanzania intercepts 5000 chicks from Kenya in illegal import racket


Daily Nation
Tanzania intercepts 5000 chicks from Kenya in illegal import racket
The Standard
NAIROBI, KENYA: Tanzanian government has confiscated illegal imports at the Namanga border in Longido District, Arusha Region. The goods which include 5000 tonnes of sugar, salt, 18 bags of tea leaves, 5000 chicks and 416 trays of eggs will be ...
Tanzania captures Kenya's chicks againCapital FM Kenya
Tanzania destroys another 5000 Kenya-sourced chicksDaily Nation

all 3

 

3 years ago

Habarileo

Vifaranga 5,000 kutoka Malawi vyanaswa Dar

VIFARANGA 5,000 vya kuku wa mayai vimekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, vikitaka kuingizwa nchini kwa vibali bandia na vya kughushi vinavyoonesha vilitumika mwaka 2014.

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali yateketeza vifaranga 67,500 kutoka nje ya nchi

Serikali imeeleza kuwa vifaranga 67,500 kutoka nje ya nchi vilivyoingizwa nchini kinyume cha sheria kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 viliteketezwa.

 

3 years ago

Michuzi

MAHUJAJI WENGINE WAWILI KUTOKA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SAUDI ARABIA


Mahujaji wengine wawili kutoka Tanzania ambao walikuwa hawaonekani tokea ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makkah nchini Saudi Arabia tarehe 24 Septemba 2015 wametambuliwa kuwa, ni miongoni mwa mahujaji waliofariki dunia.
 Kutambuliwa kwa mahujaji hao kunafanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali hiyo kufikia ishirini na saba (27). Majina kamili ya mahujaji hao ni Bw. Juma Yussuf Bakula na Bw. Ahmad Awadh Namongo kutoka Kikundi cha Ahlu Dawaa.
Hadi sasa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani