Tanzania yawapa nasaha wanajeshi wanaolinda amani

Wanajeshi wa Tanzania wanaolinda amani wametakiwa wasikatishwe tamaa na matukio ya mashambulizi wakati wanapokuwa katika ulinzi wa amani kwa kuwa wanatimiza wajibu wao.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Kushiriki kulinda amani Sudan kusini, UNHCR yawapa semina askari wa kike

Screen Shot 2017-09-20 at 10.04.05 AM

Shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi,UNHCR,limeendesha semina ya siku mbili kwa askari wake wa kike ili kuwapa uwezo wa kushiriki katika kulinda amani katika eneo lenye mgogoro ambako wanawake wanabakwa na watoto wanafanyiwa ukatili.

Mmoja wa maofisa wa polisi kutoka Gambia, Aja Mbye amesema mafunzo hayo yana manufaa kwani tangu ameyapata sasa ana uwezo wa kuzungluka katika kambi hizo na kuzungumza na kina mama na watoto kuwaelezea namna ya kujikinga na madhila hayo.

Mwenzake kutoka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mali:Wanajeshi 2 wa kulinda amani wauawa

Wanajeshi wawili wa kulinda amani raia wa Burkina Farso katika shirika la Umoja wa Mataifa wameuawa na saba wengine kujeruhiwa

 

5 years ago

BBCSwahili

UN kutuma wanajeshi wa kulinda amani CAR

Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kutuma kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani.

 

2 years ago

RFI

Sudan Kusini haiwataki tena wanajeshi wa kulinda amani

Serikali ya Sudan Kusini inasema haitakubali tena kutumwa kwa jeshi la ukanda kulinda amani jijini Juba.

 

2 years ago

Channelten

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya kati aomba wanajeshi zaidi wa kulinda amani

39320765_303

Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuimarisha operesheni za kulinda amani nchini humo.

Katika hotuba yake kwenye baraza kuu la Umoja wa Mataifa rais Faustin Archange Touadera amesema idadi ya wanajeshi walioko katika ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa haitoshelezi kulinda raia wa nchi hiyo.

Umoja wa Mataifa ulianzisha operesheni ya kulinda amani nchini humo mwaka 2014 baada ya kuzuka machafuko yaliyosababishwa na mapigano kati ya makundi ya Waislamu...

 

1 year ago

RFI

Wanajeshi wa kulinda amani waongezewa mwaka mmoja nchini Sudan Kusini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio linaloruhusu jeshi la kulinda amani la Umoja wa Mataifa kuendelea kuwa  nchini Sudan Kusini kwa muda wa mwaka mmoja zaidi.

 

3 years ago

Channelten

Wanajeshi sita wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuwawa na wengine 30 kujeruhiwa Kaskazini mwa Mali

 

minusma

Wanajeshi sita wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuwawa na wengine 30 kujeruhiwa siku ya Ijumaa wakati watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo walio na itikadi kali kuishambulia kambi yao Kaskazini mwa Mali.

Maafisa wa nchi hiyo wanasema wanajeshi watatu wa Mali pia waliuwawa wakati wa shambulizi hilo.

Wanajeshi hao sita wa kulinda amani kutoka Guinea waliuwawa katika shambulizi la alfajiri katika kambi Kaskazini Mashariki mwa mji wa Kidal inayosimamiwa na kikosi cha Umoja wa Mataifa cha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tanzania yawapa uraia wakimbizi

Wakimbizi wa Burundi walioishi Tanzania kwa miongo kadha wamepewa uraia wa nchi hiyo.

 

4 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani