Tanzia : ALIYEKUWA MUME WA IRENE UWOYA NDIKUMANA HAMAD KATAUT AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports nchini Rwanda Ndikumana Hamad Katauti  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Kataut beki wa zamani wa Rayon Sports na mume wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya na kufanikiwa kupata mtoto mmoja amefariki dunia baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Kataut alikuwa mazoezini jana asubuhi.
Mara ya mwisho, Kataut aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.
Alikuja nchini mara ya mwisho wakati wa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

TANZIA : Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya afariki dunia

Aliyekuwa Mume wa zamani wa Muigizaji Irene Uwoya na Mchezaji wa Burundi, Hamadi Ndikumana Katauti amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa za kifo cha Ndikumana zimethibitishwa na Muigizaji Irene Uwoya ambaye alikuwa mke wake wa ndoa na kufanikiwa kuzaa mtoto mmoja wa kiume.

Baaada ya muda EATV ilifanikiwa kumpata Haruna Niyonzima ambaye ni moja ya watu wake wa karibu, na kusema kwamba chanzo cha kifo cha Ndikumana ni maumivu ya kichwa aliyoyapata ghafla alipotoka mazoezini jana...

 

2 years ago

Michuzi

MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii kutoka nchini Rwanda, inaeleza kuwa mume wa zamani wa Muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo, Ndikumana ambaye alikuwa kocha msaidizi wa timu ya soka ya Rayon Sports ambayo inaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nchini Rwanda, amefikwa na mauti hayo akiwa nyumbani kwake mjini Kigali. 
kwa mujibu wa Uongozi wa timu hiyo umesema kuwa jana Ndikumana ambaye alionekana kuwa bado yuko fiti na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hivi punde: Aliyekuwa Mume wa Uwoya afariki dunia ghafla

Aliyekuwa mume wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda, Ndikumana Hamad Katauti (39) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo.

Chanzo cha kifo cha Ndikumana ambaye kwasasa alikua ni kocha msaidizi wa timu ya Rayon Sports nchini Rwanda bado hakijajulikana.
Ndikumana amewahi kucheza soka Tanzania akiwa na klabu ya Stand United, amewahi kuwa mume wa muigizaji Irene Uwoya na wana mtoto mmoja.
Pole kwa familia na jamaa zake! Inna lillah wa inna...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Taarifa ya awali kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mume wa Irene Uwoya

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa klabu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda Gakwaya Olivier ambayo alikuwa akiitumikia Ndikumana kabla ya mauti kumkuta, amesema muda mfupi uliopita kwamba Ndikumana ambaye alikuwa kocha wao msaidizi amefariki kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni ugonjwa wa moyo.
.
“Alisikia maumivu makali kifuani akaomba soda ya baridi wakamletea na alipomaliza kunywa tu kidogo akatapika na akaishiwa pumzi na ndipo akakata kauli,” alisema Olivier na kuongeza kwamba bado wanasubiri...

 

2 years ago

Bongo Movies

Ndikumana Amfungukia Irene Uwoya

Mcheza mpira kutoka Rwanda Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa muigizaji wa filamu za bongo Irene Uwoya, amekubali kumpa talaka Irene ili andelee na maisha yake baada ya kutengana muda mrefu huku akieleza kuchoshwa na skendo chafu za mke wake huyo.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Ndikumana ameandika ujumbe akisema amekubali kumpa Irene talaka, hivyo asisubiri hadi afe ili aolewe, ili ampe uhuru anaouhitaji aweze kufanya mambo yake bila yeye kuhusishwa.

“Ulilia muda kwamba unataka talaka ili...

 

4 years ago

Bongo Movies

Ndikumana wa Irene Uwoya aibukia Stand United

Mshambuliaji huyo ambaye ni mume wa msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya tayari ameshatua mjini Shinyanga kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho na mabosi wa Stand.

Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo ambao ndio wanaofanikisha mpango huo waliambia gazeti hili kuwa Ndikumana ambaye alikuwa akichezea soka la kulipwa nchini Ubelgiji atasajili kama mchezaji huru kutokana na kumalizika kwa mkataba wake.

Mshambuliaji huyo ameonyesha nia ya kutaka kucheza soka la kulipwa nchini na ndio hasa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mama yake Irene Uwoya amlilia Ndikumana

Mama mzazi wa msanii Irene Uwoya ambaye ni mkwe wa marehemu Hamad Ndikumana aliyefariki usiku wa jana kuamkia leo, ameshikwa na uchungu kwa kumwaga machozi mengi na kusema kabla marehemu hajafariki alikuwa anawasiliana naye na alimtaka kuwa na subira.

Akiongea huku akilia kwa kwikwi na machozi yakimtoka, mama Uwoya amesema Ndikumana alikuwa ni zaidi ya mkwe kwake, na waliishi vizuri siku zote, na kumtia moyo kuwa atayavumilia yote ambayo alikuwa akiyapitia.

“Ndikumana mimi sijui nianzie...

 

4 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya Amfuata Mumewe Ndikumana Nchini Rwanda !

Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya ambaye ndoa yake na Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika gogoro zito na kila mtu kuishi peke yake wanataka kuishi tena pamoja !.....Picha mpya za Irene Uwoya akiwa na Ndikumana zimetoka. Inadaiwa kuwa Uwoya alienda Rwanda kumtembelea Ndikumana ambaye wamezaa mtoto mmoja. Hizi picha zinaonyesha kama vile Uwoya alikuwa akiagwa na Ndiku kurudi Tanzania ingawa Uwoya anaonekana hana raha na sababu bado haijulikani.

Je kwakwuangalia picha hizo,...

 

1 year ago

Malunde

Tanzia : ALIYEKUWA MBUNGE WA KIGOMA MJINI AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Mjini, Mbunge wa bunge la Africa Mashariki na Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Kigoma Dr Amani Walid Kabourou amefariki dunia asubuhi ya leo  Jumatano Machi 7,2018 katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kufuatia kusumbulia na mshtuko(Stroke)

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani