TANZIA: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MANYARA JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA, RAIS DKT MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamiii hivi punde inaeleza kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amepelekwa kwa matibabu. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Malunde

Tanzia : MKUU WA MKOA MSTAAFU JOEL BENDERA AFARIKI DUNIAMkuu wa Mkoa wa Manyara mstaafu, Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Jumatano Desemba 6,2017 .
Msemaji wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema, “Ni kweli Joel Bendera amefariki. Aliletwa leo na gari la wagonjwa saa 6:30 mchana na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki.”

Aligaesha amesema Bendera alipokewa hospitalini hapo akitokea Bagamoyo mkoani Pwani.

Kuhusu chanzo cha kifo chake Aligaesha amesema, ‘’Hilo sasa ni suala la familia lakini kwa wakati huu itoshe...

 

1 year ago

Dewji Blog

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kufuatia ajali ya iliyosabaisha vifo vya watu 18 kilichotokea kijiji cha Salala, Mkoani Shinyanga. Katika salamu zake, Rais Magufuli amesema amepokea taarifa za vifo vya watu hao kwa masikitiko makubwa …

Taarifa ya Ikulu iliyotumwa mapema leo

The post Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga appeared first on DEWJIBLOG.

 

3 months ago

Zanzibar 24

Tanzia: Joel Bendera afariki Dunia

Mkuu wa Mkoa wa Manyara mstaafu, Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Akitoa taarifa hiyo leo Jumatano Desemba 6,2017 msemaji wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema, “Ni kweli Joel Bendera amefariki. Aliletwa leo na gari la wagonjwa saa 6:30 mchana na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki.”

Aligaesha amesema Bendera alipokewa hospitalini hapo akitokea Bagamoyo mkoani Pwani.

Kuhusu chanzo cha kifo chake Aligaesha amesema, ‘’Hilo sasa ni suala la familia lakini kwa...

 

3 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli atuma salam za pole kufuatia kifo cha Dkt. Joel Bendera

The post Rais Magufuli atuma salam za pole kufuatia kifo cha Dkt. Joel Bendera appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA WA TANGA.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mama Mwantumu Mahiza, kufuatia vifo vya watu 11 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyosababishwa na Basi la Kampuni ya Simbamtoto kugongana uso kwa uso na Lori lililobeba mchanga katika eneo la Pandamlima, Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga.


Ajali hiyo imetokeo leo tarehe 11 Februari, 2016 majira ya saa 1:15 asubuhi katika...

 

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA DKT. TONIA KANDIERO

Dkt. Tonia Kandiero 
“Kwa mshituko na masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) katika Kanda ya Afrika Kusini Dkt. Tonia Kandiero aliyefariki dunia ghafla jana usiku tarehe 28 Juni, 2017 akiwa ofisini kwake huko Pretoria Afrika Kusini”
Hii ni kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa leo tarehe 29 Juni, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kupokea taarifa za kifo cha Dkt....

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Rajabu Rutengwe kuomboleza vifo vya watu 11 ambapo wengine kadhaa walijeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 27 Novemba, 2014.

Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster Na. T 410 BJD iliyokuwa ikitoka Tanga Mjini kuelekea Lushoto kugongana na Lori aina ya Scania Na. T 605...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani