TASAF YAENDELEA KUWANUFAISHA WANANCHI MKOANI SIMIYU


Na Stella Kalinga, Simiyu.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Awamu ya tatu umeendelea kunufaisha wananchi  wakiwemo wakazi wa kijiji cha  Nkoma wilaya ya Itilima  na  Nyakabindi    wilaya ya  Bariadi  mkoaniSimiyu.
 Hayo yamebainishwa na baadhi ya Wanufaika wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini katika Kijiji cha Nkoma wilayani Itilima, Mtaa wa Nyakabindi na Mtaa wa Old Maswa wilayani Bariadi wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu ya kukagua utekelezaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

TASAF YAFANYA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU

 Mmoja wa maafisa wa TASAF  Hamis kikwate aliyeketi mstari wa mbele akifuatilia kazi ya utambuzi wa kaya maskini katika moja ya walengwa wa mpango huo wilayani Maswa. kazi ya utambuzi wa kaya maskini inaendelea kwa kasi katika maeneo ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. Pichani ni baadhi ya Watoto wakiwa na furaha tupu baada ya kupata maelezo juu ya mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa.Baadhi ya walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya maskini wilayani Maswa wakiwa katika picha ya...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu muhimu katika...

 

1 year ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu...

 

11 months ago

Michuzi

KAYA 6120 ZA WALENGWA WA TASAF ZALIMA PAMBA EKARI 8712 MSIMU WA MWAKA 2017/2018 MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu
Kaya 6120 sawa na asilimia 52 ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu zimewezeshwa kulima pamba ekari 8712 katika Msimu wa mwaka 2017/2018 kwa kutumia fedha za uhawilishaji.

Hayo yalibainishwa na Mratibu wa TASAF Mkoa wa Simiyu Bw. Nyasilu Ndulu wakati wa kikao cha kujenga uelewa wa pamoja kwa viongozi juu ya mpango huo kilichofanyika katika ukumbi wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Adha ya usafiri mkoani Simiyu inavyotesa wananchi Ngorongoro

“Bila buku kumi hakuna kupita hapa …maana Serikali imeshindwa kutekeleza wajibu wake, kila siku tunasikia ufisadi wa fedha za umma hadi madaraja yanabomoka huku kwetu hakuna mwenye habari nayo”

 

2 years ago

Channelten

Wananchi wavamiwa na Tembo waishi kwa hofu sana Mkoani Simiyu

tembo

Wananchi wa Kijiji cha Mwasengeka, Kata ya Mwasengela, wilayani Meatu mkoani, Simiyu wamesema maisha yao yapo hatarini kutokana na wanyama wakali wa porini wakiwemo tembo kuvamia makazi yao mara kwa mara.

Aidha, badhi ya walimu wa shule za Msingi na Sekondari katika Kijiji hicho, wamesema kuwa hali hiyo imekuwa ikiwathiri utendaji wao wa kazi kwani wamekuwa wakienda shule kutimiza majukumu yako kwa hofu.

Wakizungumza na Channel Ten kwa nyakati tofauti wakazi hao ambao wanapakana na eneo...

 

1 year ago

Michuzi

WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya taifa (NIDA) linaloendelea mkaoni humo. Wito huo umetolewa na Afisa Tawala Wilaya ya Bariadi ndg. Rutaihnwa Albert ambaye pia amewataka watendaji wa Kata pamoja na wasimamizi kuweka utaratibu mzuri wa wananchi Kusajiliwa pindi wanapofika kwenye vituo vya Usajili.
Aidha wananchi wametakiwa kufika kwenye vituo vya usajili wakiwa na nakala (photocopy) ya viambatisho vyao muhimu vinavyo...

 

2 years ago

Michuzi

WANANCHI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka ametoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu na Taifa kwa ujumla kushiriki katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na Maadhimisho ya Wiki ya Vijana mwaka 2016, yatakayofanyika mkoani humo.
Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini kwake Mtaka amesema Mkoa wa Simiyu umepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa na...

 

2 years ago

Mwananchi

Saccos zibuni kuwanufaisha wananchi

Licha ya umuhimu wake katika kuwakomboa wananchi kiuchumi, Saccos nyingi nchini zimedumaa kwa kukosa mipango endelevu na ari ya ushindani na taasisi za fedha.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani