Taswira la Bunge Maalum la Katiba liivyoanza mjini Dodoma

 Mwenyekiti wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.  Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda  Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba   Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo  kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.   Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Christopher Mtikila akitoa maoni yake baada ya uchagizi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.  Kamati ndogo ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba chini ya uongozi wa Mhe. Pandu Ameir Kificho (kushoto). Kamati hii itakayoongozwa na Mhe. Costa Mahalu na Mhe. Magdalena Rwebangula itafanya kazi ya kuichambua rasimu ya Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katib  Katibu wa Bunge la Muungano Dk Thomas Kashilillah (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Muda Mhe. Pandu Kifico wakati Kamati maalum ya Kanuni ilipokutana. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe ishirini.Picha na Prosper Minja - Bunge Maalum la Katiba

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

GPL

TASWIRA KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela  (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba  na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto), Bungeni Mjini Dodoma Aprili 4, 2014.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani