TATIZO SUGU LA MIMBA ZA UTOTONI KWA WILAYA YA TUNDURU

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Ruvuma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jacqueline Ngonyani Msongozi, amewata wazazi kuwafichua watu wanaowapa mimba wanafunzi pamoja watoto waliochini ya umri wa miaka 18 ili wachukuliwe hatua.“ Tatizo la mimba za utotoni kwa wilaya yetu ya Tunduru ni tatizo sugu, Ninawaombeni wanawake wenzangu kwa kuwa sasa tumefika mahari tunajitambua na kwa kuwa tumefika mahali nasisi tunataka tutambulike tusimamie watoto wetu ipasanyo ili watoto hawa wawe katika makuzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Mimba za utotoni tatizo kwa wasio na elimu

SERIKALI imesema kiwango cha ndoa za utotoni nchini kwa kiasi kikubwa kinawakumba wasichana wenye elimu ndogo, wanaotoka katika familia masikini na wale wanaoishi katika maeneo ya vijijini.

 

2 years ago

Michuzi

DC WILAYA YA TUNDURU AELEZA MAFANIKIO YA MPANGO WA KUTOKOMEZA MIMBA MASHULENI KATIKA WILAYA YAKE SEHEMU YA PILI.


MKUU wa wilaya ya Tunduru JUMA HOMELA  aelezea mpango wa mahakama ya kutembea aliyoianzisha katika wilaya yake ya TUNDURU jinsi ulivyoleta mafanikio , katika kupunuza utoro mashuleni na mimba mashuleni. Attachments area Preview YouTube video RUVUMA TV@ SEHEMU YA PILI TUNDURU yafanikiwa kupunguza mimba kwa wanafunzi RUVUMA TV@ SEHEMU YA PILI TUNDURU yafanikiwa kupunguza mimba kwa wanafunzi

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tunataka viongozi watakaotatua tatizo la mimba za utotoni

NI ndani ya mwaka mmoja wasichana wadogo wenye umri wa chini ya miaka 18 ambao wangekuwa wasomi wetu wanapata ujauzito na wanaacha masomo. Je ni vijiji vingapi ambavyo tatizo kama...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Tunataka viongozi watakaotatua tatizo la mimba za utotoni II

Naye Jestina Dawa, ambaye naye alipata ujauzito na sasa analea mtoto anasema kuwa kutokana na mzigo mkubwa wa majukumu ya kulea familia ambayo wameanza wakiwa wadogo baada ya kulazimika kuolewa,...

 

5 years ago

Dewji Blog

TAMWA yatoa takwimu tatizo la mimba za utotoni

MDG : Malawi : child mariage and child bride : Young mother carrying her baby

Na Mwandishi wetu

Kila kukicha kumekuwa na kesi za migogoro ya ardhi, mirathi na hata kesi za wazazi kuozesha watoto wao yaani mimba za utotoni na ndoa za utotoni na hii ni changamoto kubwa inayoikabili nchi kwa sasa.

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) umeonyesha kuwa katika kipindi cha mwaka 2012/2013 jumla ya matukio 228 ya mimba  na matukio  42 ya  ndoa za utotoni  yaliripotiwa

Hata hivyo, mimba na ndoa za utotoni  zimetajwa kuwa ni...

 

4 years ago

Michuzi

WAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI ZA WILAYA YA TEMEKE.

  Meneja Uragibishi na Mawasiliano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani (aliyesimama)akitoa maelezo mafupi kuhusu semina ya siku 5 kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke itayozungumzia uzuiaji wa mimba za utotoni kwa wanafunzi wa wilaya hiyo. Semina hiyo inafanyika katika Shule ya Sekondari Kibasila kuanzia tarehe 13 hadi 17.4.2015.   Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka Shule 11 za Sekondari katika Wilaya ya Temeke wakisikiliza hotuba ya...

 

2 years ago

Channelten

Tatizo la Mimba za Utotoni, Wazee wa Kimila wawezeshwe kutokomeza

TATIZO LA MIMBA

Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorius Luoga amesema anaamini wazee wa kimila wakiamua na wakiwezeshwa wanaweza kutokomeza tatizo la mimba na ndoa za utotoni pamoja ukeketaji kutokana na nguvu waliyonayo ya ushawishi kwa jamii.

Luoga ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa kongamano lililokutanisha wazazi,wanafunzi,wazee wa kimila na wadau wa maendeleo , ambapo amesema wazee hao ndio waliochangia kubadilisha fikra za mapigano katika jamii hiyo, hivyo itawezakana pia kupunguza tatizo hilo ambalo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tatizo la Mimba za utotoni bado ni kubwa katika visiwa vya Zanzibar

Tatizo la Mimba za utotoni bado ni kubwa katika visiwa vya Zanzibar na kusababisha kukatisha ndoto za maisha ya  baadae  kwa watoto wakike.

Akizungumza na Zanzibar24  na Mama mzazi wa Mtoto aliyepata mimba wakati alipokuwa anasoma na kushindwa kuendelea na haki yake ya kielimu amesema tatizo hilo  linahitaji mashirikiano ya pamoja ili kuweza kulipatia  ufumbuzi kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi hasa wakike kuweza kusoma.

Amesema ndoto na malengo ya mtoto wake yamevunjika baada ya kupata...

 

2 years ago

Michuzi

MAMA SALMA-AUTAKA MKOA WA PWANI KUPAMBANA NA MAFATAKI KUOMDOA TATIZO LA MIMBA ZA UTOTONI


Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha
MKE wa rais mstaafu ,mama Salma Kikwete,amesema mkoa wa Pwani upambane na mafataki wanaoteka fikra za watoto wao wa kike ili kuondokana na mimba za utotoni ambapo mkoa huo ni kati ya mikoa kumi inayoongoza kwa mimba hizo kitaifa.
Aidha amekemea tabia inayofanywa na mashuga dadi wanaojiona mahodari wa kutongoza na kunyemelea watoto wa kike wanafunzi na wengine kuwakatisha masomo kwa kuwatia mimba na kudai anaejiona hodari wa kutongoza dunia aende kwa wanawake wakubwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani