TAWLA YAENDELEZA MIDAHALO YA AMANI KWA WADAU WA UCHAGUZI

Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Buwimba, akichangia mada ya wajibu wa mwanamke kushiriki kwenye uchaguzi na umuhimu wakufanya hivyo wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati na baada ya uchaguzi, uliofanyika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam. Mwanasheria kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Edna Kamaleki, akiwasilisha mada mbalimbali wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, kwa watendaji wa serikali za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

RC Arusha awapongeza wadau kwa kufanikisha uchaguzi serikali za mitaa kwa amani

DSC_0162

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda akiwa ofisini kwake jijini Arusha.

Na Mahmoud Ahmad, Arusha

MKUU Wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda (Kijiko), amewapongeza wananchi wa jimbo la Arusha, pamoja na vyombo vya habari na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanikisha zoezi la uchaguzi bila ya vurugu wala matukio ya uvunjifu wa Amani .

Mkuu huyo wa mkoa ametoa pongezi hizo leo ofisini kwake alipokuwa akipokea taarifa ya uchaguzi wa marudio wa jiji la Arusha ,uliowasilishwa na...

 

3 years ago

Michuzi

WADAU WA AMANI MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI JINSI YA KUDUMISHA AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI

Hapa ni katika ukumbi wa Vigirmark Hotel mjini Shinyanga ambako jana Jumanne,Oktoba 20,2015,wadau mbalimbali wa amani mkoani Shinyanga wamekutana kwa ajili ya majadiliano ya ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.Kikao hicho kimeandaliwa na uongozi wa mkoa wa Shinyanga likiwemo jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Save The Children linalojihusisha na utetezi wa haki za watoto.
Mambo kadha wa kadha yamejadiliwa ikiwemo kuhakikisha ulinzi na usalama wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

UNESCO yawakutanisha wadau kujadili amani uchaguzi mkuu

UN 1

Katibu Mkuu wa Baraza la Mahedhebu kwaajili ya Amani,Mchungaji,Canon Thomas Godda akizungumza katika kongamano la Amani lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu,Sayansi na Utamaduni (UNESCO)kwa kushirikiana na madhehebu ya Dini na Viongozi wa Mila ili kuhamasisha amani katika kipindi cha uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Na Mwandishi wetu, Simanjro

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia na Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) limekutanisha wadau mbalimbali...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UDASA na ITV Kuandaa Midahalo ya Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile (kushoto) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Kitila Mkumbo wakikabidhiana nyaraka za makubaliano ya kuandaa midahalo kwa wagombea wa urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Katikati ni Mhadhiri Mwandamizi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano, Dk Ayoub Rioba.
Picha na Venance Nestory.  


1. Katika nchi za kidemokrasia, midahalo ya wagombea imekuwa ni sehemu muhimu katika...

 

3 years ago

Michuzi

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

 

3 years ago

Vijimambo

TAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

 

10 months ago

Michuzi

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWLA CHAKUTANA NA WADAU KUJADILI MABORESHO YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Kikosi cha Usalama barabarani kimesema sheria zilizopitwa na wakati zimetajwa kuwa chanzo cha ajari za barabarani nchini hivyo zinatakiwa zifanyiwe marekebisho.

Mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Marison Mwakyoma alipokutana na Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania(TAWLA) ili kujadili mapendekezo ya mabadiliko na maboresho ya sheria ya usalama barabarani ya mwaka 1973. Amesema sheria ya usalama barabarani ilitungwa mwaka 1973na kufanyiwa marekebisho mwaka 2002 ...

 

2 years ago

RFI

Kwanini wanasiasa barani Afrika hukwepa midahalo nyakati za uchaguzi?

Hujambo karibu katika makala ya habari rafiki,leo tunaangazia tanbia ya wanasiasa wa Afrika kutojitokeza katika midahalo inayoandaliwa kuwakutanisha wagombea wa nafasi za kisiasa,kama ilivyoshuhudiwa nchini Kenya Naibu rais William Ruto na Kalonzo Musyoka kutoka muungano mkuu wa upinzani NASA kutojitokeza kushiriki katika mdahalo wa runinga siku ya Jumatatu usiku,Waandalizi wa mdahalo huo ambao ni wamiliki wa vyombo vya Habari nchini Kenya, wamejitokeza na kusema wagombea wenza wote...

 

3 years ago

StarTV

Wadau wa amani Tanga wajadili udumishaji amani

Wadau wa amani jijini Tanga wamekutana kujadili namna ambayo watadumisha amani kwenye kipindi cha kampeni na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na nafasi ya urais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Wadau hao ni viongozi wa dini na wa kisiasa, makundi ya kijamii na waandishi wa habari ambao wote kwa pamoja wametakiwa kutumia nafasi zao kuhakikisha amani inaendelea kuwepo wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Nafasi ya viongozi wa dini, siasa, makundi ya kijamii na waandishi wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani