TBL YAZINDUA KAMPENI YA ‘CASTLE LITE UNLOCKS’ JIJINI DAR ES SALAAM


Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni ijulikanayo, ‘Castle Lite Unlocks’. Kushoto ni Meneja Chapa Msaidizi wa Bia Laini Tanzania, Isaria Kilewo na katikati ni Meneja Masoko wa TBL Kitengo cha Bia Laini Afrika Mashariki, Amou Majok.Meneja Masoko wa TBL Kitengo cha Bia Laini Afrika Mashariki, Amou Majok (katikati), akizungumza kwenye mkutano huo.Mkutano ukiendelea.Waandishi wa habari wakiwa katika uzinduzi huo.Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.Wadau wakibadilishana mawazo katika mkutano huo.Mkutano na wanahabari ukiendelea.
KAMPUNI ya kutengeneza Bia Tanzania (TBL)) leo imezindua kampeni ijulikanayo, ‘Castle Lite Unlocks’ ambayo lengo lake ni kuhamasisha wateja wake wa bia chapa Castle Lite kuifurahia zaidi na pia kuwaleta pamoja katika tamasha kubwa litalofanyika mwezi wa Julai mwaka huu.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo uliofanyika katika ofisi za TBL zilizoko Masaki, Meneja Masoko wa TBL Idara ya Kuunganisha Wateja Afrika Mashariki, George Kavishe, alisema TBL kwa miaka imekuwa ikijikita katika kuwafurahisha na kuwachangamsha wateja wake, hasa vijana kwa matamasha ikiwemo muziki ambao upo katika vipaumbele vya kampuni hiyo. 
“Uzinduzi huu utafikia kilele chake tarehe 22 mwezi wa Julai mwaka huu ambapo kutakuwa na tamasha kubwa Dar es Salaam litakalowapa nafasi wateja wetu kushuhudia wanamuziki wakubwa wa ndani na nje ya nchi, hivyo kuwapa wateja burudani itakayokuwa kwenye kumbukumbu zao kwa muda mrefu”, alisema Kavishe. 
Kavishe aliongeza kuwa kwa kipindi hicho cha miezi mitatu ya kampeni, zawadi kedekede zitatolewa zikiwemo muda wa maongezi wa simu za mkononi wa zaidi ya milioni 30 na pia tiketi zaidi ya elfu moja kwa washindi wa droo ambazo zitakuwa zinashindanishwa.
Aliongeza kwamba bajeti ya kampeni nzima ni zaidi ya shilingi milioni mia saba.
Naye Meneja Masoko wa TBL Kitengo cha Bia Laini Afrika Mashariki, Amou Majok alisema kuwa TBL ina utaratibu mahsusi wa kuandaa matamasha mara kwa mara ili kuwashukuru wateja wake kwa kuwapa burudani na kuwahamasisha kuzifurahia vinywaji vyake ambavyo ni vya hali ya juu na vyenye ubora zaidi. 

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

BIA YA CASTLE LITE YAZINDUA PROMOSHENI YA “CASTLI LITE UNLOCKS”

Dar Es Salaam –  Usiku wa tarehe 20 Aprili katika Club ya Next Door ndani ya Masaki, Dar es Salaam, Castle Lite ilizindua promosheni ya  'Castle Lite  Unlocks kwa mara ya kwanza Tanzania, na hivyo kuiweka  nchi katika msisimko wa aina yake. Chumba kilikuwa kimejaa hamasa wakati Castle Lite ikimzindua Mfalme wa Muziki Kimataifa-FUTURE.

Uzinduzi huo ulishereheshwa na malkia mpya wa muziki wa pop na mtangazaji maarufu wa televisheni, Mini Mars, tangazo hilo lilibainisha kwamba Rapa ambaye ni...

 

1 year ago

Michuzi

TBL WAZINDUA KAMPENI YA CASTLE LITE UNLOCKSMkurugenzi wa masoko wa kampuni ya TBL Afrika Mashariki, Thomas Kamphuis akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya bia ya Castle Lite 'Castle Lite Unlocks' jijini Dar es Salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 months ago

Michuzi

TAMASHA KUBWA LA CASTLE LITE UNLOCKS LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.
 Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani  usiku wa kuamkia leo
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki.Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

 

4 years ago

GPL

BIA YA CASTLE LITE YAZINDUA PROMOSHENI YA “LITE UP THE WEEKEND”

Meneja msaidizi wa Castle Lite, Victoria Kimaro akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya shindano la Lite Up The Weekend ambapo washindi watajipatia VIP tiketi ya kushiriki katika Yacht Party. Katikati ni Meneja wa Castle Lite Geofray Makau na pembeni ni meneja masoko wa Castle Lite Vimal Vaghmaria. Wanahabari wakielekea eneo la maegesho ya Yacht itakayotumika katika kilele cha cha kampeni ya Lite Up The Weekend.… ...

 

4 years ago

Michuzi

Castle lite Yazindua Promosheni ya Lite up the wekeend.!

 Meneja masoko wa bia ya Castle lite Vimal Vaghmaria  kushoto mwenye miwani,Meneja wa Castle lite  Geofray makau   katikati na Meneja msaidizi wa Castle lite Tanzania Victoria kimaro wakionyesha chupa ya bia hiyo kwenye uzinduzi wa kampeni ya shindano la kuwapata washindi wa Castle lite VIP Yacht Party ambapo washindi watafanya tamasha kubwa ndani ya Boti katika bahari ya Hindi.  Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo katika Hotel ya Slip way washindi wa Castle lite VIP...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Castle Lite yazindua Lite Up

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Castle Lite, jana ilizindua promosheni maalum ya ‘Lite Up The Weekend’ itakayoendeshwa kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mujibu wa Meneja...

 

2 years ago

Dewji Blog

Castle LITE yazindua nembo mpya inayotambulisha ubaridi wa kinywaji

Lite pix 7

Meneja wa bia ya Castle LITE nchini,Victoria Kimaro akitambulisha nembo mpya ya bia hiyo ikiwa baridi wakati hafla ya uzinduzi wake kwenye hafla iliyofanyika kwenye baa ya Break Point-Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

lite pix 2

Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla uzinduzi wa nembo mpya ya Castle LITE inayobadilika rangi na kuwa bluu inapokuwa kwenye ubaridi sahihi mpya ya kinywaji hicho  wakipatiwa maelezo juu ya mabadiliko hayo ya nembo .Hafla hiyo ilifanyika kwenye baa ya Break...

 

2 years ago

Michuzi

TBL YAZINDUA BIA MPYA YA NDOVU RED MALT JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Masoko wa vinywaji wa kampuni ya TBL Vimal Vaghmaria amesema: “Ubunifu wa kila bidhaa yetu unalenga kukidhi matakwa ya watumiaji wake ambao ni wateja wetu ambao wanahitaji kutumia bia zilizo bora na zinazokwenda na wakati katika soko”.  Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Damian Soul akitoa burudani katika uzinduzi wa bia ya Ndovu Red Malt uliofanyika jana katika mgahawa wa 305 The Boks uliopo Kinondoni jijini Dar e Salaam.  Mkurugenzi wa Masoko TBL, Kushila Thomas (wa kwanza kushoto)...

 

2 years ago

Michuzi

KATIBU TAWALA MKOA WA DAR ES SALAAM, AFUNGUA MAFUNZO YA AWAMU YA TATU YA KAMPENI YA 'TUNAWEZA' JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam,leo.  Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC). Mratibu wa Mafunzo hayo, kutoka Kituo cha Msaada wa sheria kwa Wanawake (WLAC)...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani