TCU: HII HAPA ORODHA YA VYUO NA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMEKOSA SIFA YA KUENDELEA NA MASOMO 2016/2017 Image result for tcu tz
Tafadhali bonyeza jina la Chuo husika ili uweze kuona OrodhaS/No.JINA LA CHUO1AJUCO2AMUCTA3ARU4CAWM5CBE_DODOMA6CBE_MWANZA7CDTI8CFR9CUHAS10DIT11DMI12EASTC13ETU14HKMU15IAA16IFM17IMTU18IRDP19ISW20ITA21JUCO22KCMUCo23KENYATTA24MOCU25MUHAS26MUM27MUST28MZUMBE29NIT30RUCU31SAUT_ARUSHA32SAUT_MBEYA33SAUT34SEKOMU

35SFUCHAS36SJUCMC37SJUT38SMMUCO39St. MARKS40STEMUCO41SUA42SUMAIT43SUZA44TEKU-DAR45TUDARCO46TUMA-MBEYA47TUMA48U-BAGAMOYO49UDOM50UDSM51UoI52ZIFA

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MAJINA YA VYUO 19 VILIVYOZUIWA NA TCU KUDAHILI WANAFUNZI MWAKA WA MASOMO 2017/18

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo.


Hivyo tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo.

Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na:Eckenforde Tanga UniversityJomo Kenyatta University, ArushaKenyatta University,...

 

2 years ago

Global Publishers

TCU Yatangaza Majina ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Wasio na Sifa- Bofya Hapa Kuyasoma

TANGAZO LA UHAKIKI WANAFUNZI VYUO VIKUU by GLOBAL PUBLISHERS 

Hapa chini ni majina ya wanafunzi wanaoendelea na masomo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambao hawana sifa.

Wanafunzi wasio na sifa UDSM by GLOBAL PUBLISHERS 

Kuweza kuona majina zaidi ya wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, bonyeza jina la chuo husika hapa chini kwenye orodha.

Uhakiki Wa Wanafunzi by GLOBAL PUBLISHERS 

The post TCU Yatangaza Majina ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Wasio na Sifa- Bofya Hapa Kuyasoma appeared...

 

1 year ago

Malunde

HII HAPA ORODHA YA KWANZA YA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU HESLB MWAKA WA MASOMO 2017/2018


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018, orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo imekamilika.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatano Oktoba 18,2017 amesema Sh34.6 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196.
Amesema kwa jumla Sh108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa...

 

2 years ago

Malunde

WANAFUNZI 8,430 VYUO VIKUU HAWANA SIFA..TAZAMA MAJINA HAPA

TUME ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), imetangaza zaidi ya majina ya wanafunzi 8,436 kutoka vyuo vya elimu ya juu 52 nchini wasiokuwa na sifa ya kufanya masomo ya ngazi hiyo.
Sehemu ya taarifa kwa umma ambayo imewekwa kwenye tovuti ya tume hiyo imesema, “TCU inautangazia umma kuwa zoezi la uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaondelea na masomo kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini kwa mwaka 2016/2017 limekamilika katika baadhi ya vyuo,” liliandika tangazo hilo.
Kwa mujibu wa tangazo hilo, majina ya...

 

2 years ago

Malunde

TCU YATANGAZA MFUMO MPYA WA KUDAHILI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Vyuo Vikuu nchini kwa mwaka wa masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya wa udahili tofauti na ule uliozoeleka wa kuchaguliwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
Haya yamebainishwa katika taarifa ya TCU iliyotolewa juzi  ambapo  imesema kuwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka  wa masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya ambao unawataka kwenda vyuoni moja kwa moja kuomba nafasi.
Hivyo,taarifa hiyo imewataka wanafunzi  waliomaliza kidato cha sita kwa...

 

2 years ago

Michuzi

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017

BOFYA HAPA KUSOMA MATOKEO YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWAKUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA  2017

 

3 years ago

Tamisemi.Go.Tz

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2016

June 24 2016  ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2016

Kuona Majina yote, Bofya Hapa

 

2 years ago

Zanzibar 24

TCU yatoa orodha ya wanafunzi wasio nasifa yakuendelea na masomo

TCU ilitoa taarifa yake Jumatano hii kwa vyombo vya habari, kuwa imewabaini wanafunzi ambao wamedahiliwa katika programu ambazo hawana sifa.

Taarifa hiyo imebainisha kuwa orodha ya wanafunzi wasio na sifa imeshawasilishwa kwenye vyuo husika.”Hivyo wanafunzi wote wanaoendelea na masomo kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini wanaweza kutazama matokeo ya uhakiki wao kupitia tovuti ya tume,” ilisema taarifa hiyo kupitia tovuti ya tume hiyo.

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa...

 

1 year ago

Bongo Movies

Orodha ya vyuo vilivyozuiwa na TCU kudahili wanafunzi

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa orodha ya vyuo vilivyozuiwa kudahili wanafunzi katika mwaka wa masomo 2017/18.

 

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani