TCU Yatangaza Majina ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Wasio na Sifa- Bofya Hapa Kuyasoma

TANGAZO LA UHAKIKI WANAFUNZI VYUO VIKUU by GLOBAL PUBLISHERS 

Hapa chini ni majina ya wanafunzi wanaoendelea na masomo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambao hawana sifa.

Wanafunzi wasio na sifa UDSM by GLOBAL PUBLISHERS 

Kuweza kuona majina zaidi ya wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, bonyeza jina la chuo husika hapa chini kwenye orodha.

Uhakiki Wa Wanafunzi by GLOBAL PUBLISHERS 

The post TCU Yatangaza Majina ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Wasio na Sifa- Bofya Hapa Kuyasoma appeared...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

TCU yabaini Vyuo vikuu 52 vilivyodahili wanafunzi wasio na sifa

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imebainisha jumla ya vyuo 52 vyenye wanafunzi zaidi ya 7,936, ambao wamedahiliwa katika programu ambazo hawana sifa.

Taarifa iliyotolewa kwa umma na Katibu Mtendaji wa TCU, imesema tume hiyo imekamilisha uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaoendelea na masomo kwenye baadhi ya vyuo vya elimu ya juu nchini.

Taarahiliifa hiyo imeviataja vyuo vifuatavyo kuwa ndio vilivyodahili wanafunzi wasiokua na sifa-:

 

Vyuo hivyo ni Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (AJUCO)...

 

2 years ago

Malunde

WANAFUNZI 8,430 VYUO VIKUU HAWANA SIFA..TAZAMA MAJINA HAPA

TUME ya Vyuo Vikuu Nchini (TCU), imetangaza zaidi ya majina ya wanafunzi 8,436 kutoka vyuo vya elimu ya juu 52 nchini wasiokuwa na sifa ya kufanya masomo ya ngazi hiyo.
Sehemu ya taarifa kwa umma ambayo imewekwa kwenye tovuti ya tume hiyo imesema, “TCU inautangazia umma kuwa zoezi la uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaondelea na masomo kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini kwa mwaka 2016/2017 limekamilika katika baadhi ya vyuo,” liliandika tangazo hilo.
Kwa mujibu wa tangazo hilo, majina ya...

 

2 years ago

Malunde

TCU: HII HAPA ORODHA YA VYUO NA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMEKOSA SIFA YA KUENDELEA NA MASOMO 2016/2017 Image result for tcu tz
Tafadhali bonyeza jina la Chuo husika ili uweze kuona OrodhaS/No.JINA LA CHUO1AJUCO2AMUCTA3ARU4CAWM5CBE_DODOMA6CBE_MWANZA7CDTI8CFR9CUHAS10DIT11DMI12EASTC13ETU14HKMU15IAA16IFM17IMTU18IRDP19ISW20ITA21JUCO22KCMUCo23KENYATTA24MOCU25MUHAS26MUM27MUST28MZUMBE29NIT30RUCU31SAUT_ARUSHA32SAUT_MBEYA33SAUT34SEKOMU

35SFUCHAS36SJUCMC37SJUT38SMMUCO39St. MARKS40STEMUCO41SUA42SUMAIT43SUZA44TEKU-DAR45TUDARCO46TUMA-MBEYA47TUMA48U-BAGAMOYO49UDOM50UDSM51UoI52ZIFA

 

2 years ago

Global Publishers

TCU Yatangaza Kuanza Udahili Awamu ya Pili Kwa Wanafunzi Wanaojiunga Vyuo Vikuu

Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017.

Hata hivyo kutokana na wengine kushindwa kufanikiwa kutokana na sababu mbali mbali, Tume inatangaza kuwa itafungua maombi kwa awamu ya pili kuanzia tarehe 12 hadi 23 Septemba 2016 ili kuruhusu makundi yafuatayo kuomba udahili. Waombaji watakaokuwa wamekosa nafasi kwenye awamu ya kwanza Waombaji wa...

 

2 years ago

Malunde

TCU YATANGAZA MFUMO MPYA WA KUDAHILI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Vyuo Vikuu nchini kwa mwaka wa masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya wa udahili tofauti na ule uliozoeleka wa kuchaguliwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU).
Haya yamebainishwa katika taarifa ya TCU iliyotolewa juzi  ambapo  imesema kuwa wanafunzi wote wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kwa mwaka  wa masomo 2017/2018 watatumia mfumo mpya ambao unawataka kwenda vyuoni moja kwa moja kuomba nafasi.
Hivyo,taarifa hiyo imewataka wanafunzi  waliomaliza kidato cha sita kwa...

 

2 years ago

Malunde

ANGALIA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WALIOPATA MIKOPO BAADA YA KUKATA RUFAA


Bodi ya Mikopo imetangaza majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mkopo baada ya kukata rufaa.
==> << BOFYA HAPA >>  Kuyatazama majina hayo

 

2 years ago

Mtanzania

TCU yatoa sifa mpya kujiunga vyuo vikuu

Profesa Joyce Ndalichako

Profesa Joyce Ndalichako

Na AGATHA CHARLES – DAR ES SALAAM

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza utaratibu mpya kwa watahiniwa wa mwaka mpya wa masomo wa 2016/2017 wanaochukua shahada, huku wanafunzi wengi wakiwa hatarini kukosa nafasi kwa kukosa sifa na vigezo.

Utaratibu huo mpya umekuja ikiwa ni miezi miwili sasa tangu kutumbuliwa kwa watendaji wa tume hiyo kutokana na kudahili wanafunzi wasio na sifa na kusababisha kupewa mikopo na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu...

 

2 years ago

MillardAyo

TCU yatoa sifa mpya kujiunga na vyuo vikuu

TCU..

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine. Moja ya habari zilizoandikwa kwenye magazeti ni hii ya kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘TCU YATOA SIFA MPYA […]

The post TCU yatoa sifa mpya kujiunga na vyuo vikuu appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Zanzibar 24

TCU yatangaza muda wa kuanza masomo kwa waliojiunga na vyuo vikuu

Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi ambao tayari wamekidhi vigezo na kupitishwa kujiunga na elimu ya juu wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza masomo ifikapo Oktoba 30 “Tarehe ya Kalenda ya masomo haijabadilika iko palepale ambayo ni Oktoba 30 wanafunzi wanatakiwa kuanza masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2017/2018”, amesema Mwageni. Aidha Prof. Mwageni ameeleza kuwa zaidi ya wanafunzi 450,000 tayari wameshapata vyuo hivyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani