Telegram kufunga akaunti za makundi ya ugaidi Indonesia

Indonesia inadai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Ugaidi watajwa kuwa sababu ya Twitter kufunga akaunti za wateja 235,000

Mtandao wa Twitter umezifungia akaunti Zaidi ya 235,000 zinazojihusisha na shughuli za kigaidi katika kipindi cha miezi sita na kufikia jumla ya akaunti 360,000 kwa mwaka jana.

“kila siku tumekua tukifungia akaunti kufika mpaka zaidi ya asilimia 80% tangu mwaka jana, na zimekua zikiongezeka kila mara baada ya mashambulizi ya kigaidi” ilisema kampuni ya Twitter.

Kampuni ya Twitter ilisema kwamba inafanya kazi kwa bidii kuhakikisha akaunti ilizokua zimesimamishwa haziwezi kufunguliwa tena au...

 

11 months ago

MwanaHALISI

Telegram kudhibiti Magaidi Indonesia

MTANDAO wa kijamii wa Telegram, umeahidi kuwa utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi nchini Indonesia, anaandika Hamisi Mguta. Maamuzi hayo ni kufuatia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia nchini humo kufunga huduma za mtandao huo nchini humo siku ya Ijumaa kwa kudai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi. Taarifa kupitia ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rais wa Indonesia ataka mabadiliko ya sheria za ugaidi

Baada ya mashambulio ya hivi karibuni ya ugaidi yaliyoutikisa mji mkuu wa Indonesia Jakarta, sasa rais wa nchi hiyo Joko Widodo ametaka sheria dhidi ya ugaidi ifanyiwe marekebisho

 

2 years ago

BBCSwahili

Matusi yamfanya Justin Bieber kufunga akaunti yake ya Instagram

Justin Bieber amefutilia mbali akaunti yake ya mtandao wa instagram baada ya mashabiki kadhaa kumtusi mpenziwe.

 

2 years ago

Dewji Blog

Telegram yazidi kujivunia usalama dhidi ya “Hackers”

Mtandao wa mawasiliano kwa njia ya meseji wa Telegram umekanusha taarifa zilizo tolewa kwamba muharifu wa mtandao raia wa Iran ameweza kuingia katika mtandao huo na kutazama mamilioni ya namba za simu za watu wa iran.

Shirika la Telegram lilioa taarifa na kuwambia watumiaji wake “ondoeni shaka na tumieni telegram” baada ya kuchukua headline katika vichwa vya habari kwenye mitandao ya habari mbalimbali juu ya tuhuma hizo, kwani imejiimarisha vyema katika usalama wa watumiaji wake.

Taarifa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

3 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea katika...

 

3 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

3 years ago

BBCSwahili

Jehi la Indonesia lawamani

Kikundi cha kutetea haki za binaadamu nchini Indonesia,kimetaka majeshi ya nchi hiyo kuacha tabia ya kuchunguza bikira jeshini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani