Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 08.06.2018

Aliyekuwa beki wa Real Madrid Fernando Hierro ameorodheshwa katika orodha ya wakufunzi wanaotarajiwa kumrithi aliyekuwa kocha wa Reala Madrid Zinedina Zidane katika klabu hiyo(AS)

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 05.01.2018

Kuna uwezekano mkubwa kwamba Liverpool watamruhusu Philippe Coutinho, 25, kuhamia Barcelona mwezi huu wa Januari kwa £140m.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 19.01.2018

Mshambuliaji wa Stoke na Uingereza Peter Crouch, 36, analengwa kusajiliwa na Chelsea baada ya majeruhi kumnyima Andy Carroll , 29, fursa ya kuhamia West Ham.(Telegraph)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 26.01.2018

Mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar ataruhusiwa kujiunga na Real Madrid, lakini kwa makubaliano ya iwapo ataisaidia timu hiyo ya Ufaransa kubeba kombe la vilabu bingwa Ulaya

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 02.02.2018

Winga wa Leicester na Algeria Riyad Mahrez, 26, huenda akapigwa faini ya £200,000 na klabu hiyo iwapo ataendelea kususia mazoezi baada yake kuzuiwa kuhamia Manchester City.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 09.02.2018

Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Christian Pulisic, 19, amekataa kupinga uhamisho wa kuelekea katika klabu ya Manchester United, Klabu aliyokuwa akiishabikia akiwa mtoto. (Mail)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 23.02.2018

Kipa wa Spain David de Gea, 27, anatarajiwa kuandikisha mpya na klabu ya Manchester United akiipuzilia mbali uhamisho wake kuelekea Real Madrid. (Times - subscription)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 02.03.2018

Thiery Henry kuwa kocha mpya wa Arsenal?

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.03.2018

Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane,mwenye umri wa miaka 24 ameamua kusalia katika klabu ya Tottenham kwa zaidi ya msimu mmoja lakini timu hiyo bado inakabiliana na ugumu wa kumbakisha mlinzi wa kati raia wa Ubelgiji Alderweireld, na mlinzi wa kushoto Danny Rose, ambao wote wanawaniwa na Manchester United .

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 16.03.2018

Chelsea wanamfuatilia kwa karibu kiungo wa kati wa Wales anayechezea Arsenal Aaron Ramsey, 27, ambaye amesalia na mwaka mmoja pekee Arsenal.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.03.2018

Mshambuliaji Mfaransa anayechezea Atletico Madrid Antoine Griezmann anataka kujua hatima yake katika klabu hiyo kabla ya kusafiri kwenda kucheza Kombe la Ufaransa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani