Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.12.2018: Ozil, Isco, Puel, Zidane, Higuain, Morata, Fabregas

Klabu ya Arsenal ya Uingereza inafikiria kufikia makubaliano ya kubadilishana mchezaji wake raia wa Ujerumani, Mesut Ozil mwenye umri wa miaka 30 na wao kumchukua kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Uhispania Isco.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 28.12.2018: Ramsey, Hazard, Nasri, Higuain, Pogba

Paris St-Germain wamefanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Arsenal Aaron Ramsey, 28, kuhusu kuhama mwezi Januari. Mchezaji huyo kutoka Wales hana mkataba mwisho wa msimu

 

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 27.12.2018: Hazard, Isco, Kovacic, Costa, Aarons, Doucoure, Hernandez

Real Madrid wanataka kumpa ofa mchezaji wa Chelsea raia wa Uhispania Isco, 26, na kiungo wa kati wa Croatia Mateo Kovacic ambaye tayari yuko kwa mkopo huko Stamford Bridge

 

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 31.12.2018: Isco, Pepe, Holgate, Hudson-Odoi, Solanke, Bakayoko

Kiungo wa kati wa Real Madrid Isco, 26, amepuuzilia mbali uwezekano wake wa kuhamia klabu ya Chelsea ya England. Amesema hataondoka Bernabeu wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji Januari.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 28.03.2018: Gabriel Jesus amekataa mshahara mpya, City wanamtaka Isco

Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 30.03.2018: Isco ameendelea kutafutwa, Robert Lewandowski naye anaitaka Madrid

Manchester City wanaamini wanaweza kusaini makataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid mHispania Isco msimu huu wa majira ya joto

 

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 23.12.2018: Ozil, Fred, Sancho, Rashford, Fekir, Pochettino

Klabu ya Uturuki ya Istanbul Basaksehir huenda ikatoa ofa kwa mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil, 30

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 06.01.2018

Miamba ya soka ya Hispania Barcelona watalazimika kutoa kaisi cha pauni milioni 145, ili kuweza kupata saini ya kiungo Philippe Coutinho kutoka Liverpool.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 13.01.2018

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte anataka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez mwezi Januari , akisema mchezaji huyo, 29 anaweza kuwa ''uwekezaji mzuri''. (Telegraph)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 20.01.2018

Kocha wa zamani wa Barcelona Luis Enrique ameorodheshwa miongoni mwa makocha wanaotarajiwa kumrithi Mkufunzi wa Chelsea Anonio Conte mwishoni mwa msimu huu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani