Tetesi za soka Ulaya Jumanne 05.06.2018

Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 26, alikubali kujiunga na Real Madrid kabla ya Zinedine Zidane kujiuzulu kama kocha wa mabingwa hao wa Ulaya. (France Football - in French)

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 10.04.2018: Mabadiliko yanatarajiwa katika klabu za soka

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anakabiliwa na tisho tena la kupoteza kazi na Mtaliano huyo anaweza kuondoka kwenye wadhifa huo kabla ya mwisho wa msimu huu

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 02.01.2018

Liverpool itaomba malipo ya juu zaidi kutoka kwa Barcelona kabla ya kufikiria kumuuza kiungo wake wa kati raia wa Brazil Philippe Coutinho

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 09.01.2018

Manchester City wanatarajiwa kutoa ofa mpya kwa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 29, na wanaamini kuwa Arsenal watamruhusu raia huyo wa Chile kuondoka mwezi huu.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 16.01.2018

Arsenal wako kwenye mazungumzo kumsani mchezaji wa Borussia Dortmund na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang kuchukua mahala pake Alexis Sanchez. (Mirror)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 30.01.2018

Chelsea itakataa ombi lolote kutoka Manchester City kumnunua nyota wake raia wa Ubelgiji Eden Hazard hata iwapo klabu hiyo ya Pep Guardiola inataka kuvunja rekodi ya £200m. (Telegraph)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumanne 06.02.2018

Afsa mkuu mtendaji wa wa klabu ya Dortmund Hans-Joachim Watzke amemshutumu mshambuliaji mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang hakucheza kwa kiwango chake cha juu alipokuwa akitaka kuelekea Arsenal

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 13.02.2018

Meneja wa Manchesetr United Jose Mourinho anatajari kuboresha safu yake ya ulinzi msimu ujao huku walinzi Chris Smalling, 28, na Phil Jones, 25, wakitarajiwa kuuzwa (Mirror)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 20.02.2018

Tottenham ina mpango wa kufanya jitihada mpya kumpata wing'a wa Crystal Palace Wilfried Zaha, 25

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 27.02.2018

Mshambulizi wa Real Madrid Cristiano Ronaldo anasema kuwa ameshinda vitu vingi vizuri na sasa hana ndoto nyingine.(Marca)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 06.03.2018

Eden Hazard, wa Chelsea anajivuta katika kusaini kandarasi mpya na klabu hiyo kwa matumaini kwamba mabingwa wa Uhispania Real Madrid watamuwania.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani