Tetesi za soka Ulaya Jumatano 06.06.2018

Chelsea inakaribia kumsajili aliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc kuchukua mahala pake Antonio Conte. (Express)

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 03.01.2018

Liverpool watamsaini Alexis Sanchez, 29, kutoka Arsenal kwa pauni milioni 40 kuchukua mahala pake Phillippe Coutinho, ikiwa ataondoka Anfield

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 17.01.2018

Chelsea wamezungumza na West Ham kuhusu kumsaini mshambuliaji wa miaka 29 Andy Carroll kwa mkataba wa kudumu. (Telegraph)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 31.01.2018

Meneja wa Newcastle Rafa Benitez amefanya mazungumzo ya dharura na mmiliki Mike Ashley na bado ana ''matumaini'' ya kusaini mkataba kabla ya kumalizika kwa msimu wa kuhama

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 14.02.2018

AC Milan wanapanga kutumia pauni milioni 30 kumtafuta kiungo wa kati wa Manchester United Ander Herrera 28. (Tuttosport)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 21.02.2018

Chelsea inakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa Bayern Munich katika kumsajili kiungo wa kati wa Borussia Dortmund Christian Pulisic. (Mail)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 28.02.2018

Taarifa kutoka klabu ya Paris St. Germain zinasema kuwa mshambulizi Neymar atahitaji kufanyiwa upasuaji kuharakisha uwezekano wake wa kupona ili kushiriki kombe la dunia linaloanza mwezi Juni

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 07.03.2018

Manchester United wanahamu kumsajili mchezaji wa Watford Abdoulaye Doucoure lakini wanakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa Liverpool, Tottenham na Arsenal.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 14.03.2018

Huenda Manchester City wakashindwa kumsajili kiungo wa kati wa Brazil na Shakhtar Donetsk mwenye umri wa miaka 25 Fred, ambaye anasakwa na Manchester United.(Times - subscription required)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 21.03.2018

Ajenti wa mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial, 22, hajatoa hakikisho lolote kuhusu uwezekano wa mchezaji huyo kusalia katika klabu hiyo. (Il Bianconero, via Independent)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.04.2018

Chelsea wanatarajia kumteua kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri, kuwa meneja wa mpya mwishoni mwa msimu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani