Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 31.12.2018: Isco, Pepe, Holgate, Hudson-Odoi, Solanke, Bakayoko

Kiungo wa kati wa Real Madrid Isco, 26, amepuuzilia mbali uwezekano wake wa kuhamia klabu ya Chelsea ya England. Amesema hataondoka Bernabeu wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji Januari.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.12.2018: Ozil, Isco, Puel, Zidane, Higuain, Morata, Fabregas

Klabu ya Arsenal ya Uingereza inafikiria kufikia makubaliano ya kubadilishana mchezaji wake raia wa Ujerumani, Mesut Ozil mwenye umri wa miaka 30 na wao kumchukua kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Uhispania Isco.

 

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 27.12.2018: Hazard, Isco, Kovacic, Costa, Aarons, Doucoure, Hernandez

Real Madrid wanataka kumpa ofa mchezaji wa Chelsea raia wa Uhispania Isco, 26, na kiungo wa kati wa Croatia Mateo Kovacic ambaye tayari yuko kwa mkopo huko Stamford Bridge

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 28.03.2018: Gabriel Jesus amekataa mshahara mpya, City wanamtaka Isco

Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 30.03.2018: Isco ameendelea kutafutwa, Robert Lewandowski naye anaitaka Madrid

Manchester City wanaamini wanaweza kusaini makataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Real Madrid mHispania Isco msimu huu wa majira ya joto

 

4 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya 24.12.2018: Ramsey, Lukaku, Pepe, Arnautovic, Ribery, McCarthy, Niasse

Juventus imeonyesha kutaka kumsajili mshambulaji wa Manchester United Mbelgiji Romelu Lukaku.

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 01.01.2018

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amekana kuwepo tofauti kati ya mshambuliaji Alexis Sanchez, 29, na wachezaji wengine

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 08.01.2018

Mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 26, ataitisha pauni 400,000 kwa wiki kuzuia ofa ya Chelsea ili kujiunga na Manchester United. (Sun)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 15.01.2018

Manchester City wamejitoa katika makubaliano ya kumsaini Sanchez na pesa zilizoitishwa na ajenti wake. (Goal)

 

1 year ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 22.01.2018

Alexis Sanchez amepigwa picha akiwa amevaa jezi ya Manchester United , Ozil atarajia kandarasi mpya kubwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani