TFDA yaunda timu maalum kuchunguza mchele wa Plastiki

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa umeanza kutumiwa na baadhi ya mamalishe jijini Dar es Salaaam.

Baada ya picha hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikielezea mchele huo kutumiwa na mamalishe kariakoo jijini Dar es Salaam, baadhi ya wananchi hususan wanaopata huduma ya chakula kwa mama lishe hao, walianza kuingiwa na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

TFDA YAUNDA KIKOSI MAALUM KUPATA UKWELI KUHUSU MCHELE WA PLASTIKI

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa umeanza kutumiwa na baadhi ya mamalishe jijini Dar es Salaaam.
Baada ya picha hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikielezea mchele huo kutumiwa na mamalishe kariakoo jijini Dar es Salaam, baadhi ya wananchi hususan wanaopata huduma ya chakula kwa mama lishe hao, walianza kuingiwa na...

 

2 years ago

Channelten

Mchele Bandia wazua Taharuki, Dada mmoja adai kuuziwa mchele wa plastiki Kimara Baruti

_93060903_raaaaaaaa

Taharuki imetokea kwa wananchi wa Kimara Baruti jijini Dar es salaam baada ya dada mmoja aliyejulikana kwa jina la Zuena Mapunda kudai kauziwa mchele usioleweka ambao unasemekana ni wa plastiki kama ambavyo taarifa za uwepo wa mchele huo zinavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

 

Akizungumza na Channel Ten Zuena Mapunda amedai kununua mchele huo kilo 100 juzi kwa ajili kutumia msibani ambapo amesema walianza kuupika kwa muda mrefu bila kuiva jambo lililowatia hofu kutokana na taarifaza...

 

3 years ago

Zanzibar 24

ZFA yaendelea kusaka wadhamini wa ligi kuu Zanzibar: Yaunda timu maalum kusaka udhamini

Chama cha soka Zanzibar ZFA kipo katika mkakati kabambe wa kutafuta wadhamini wa kudhamini ligi kuu Zanzibar msimu huu. Chama hicho kimeunda timu maalum ya kusaka udhamini huo na tayari timu hiyo ipo Tanzania bara kwa mazungumzo na makampuni kadhaa ya huko.

Taarifa za ndani ya ZFA zinaeleza kwamba jopo hilo lishafanya mazungumzo na makampuni matatu na mazungumzo hayo yanakwenda vizuri na kwamba huenda makampuni hayo yakakubali kudhamini ligi hiyo. Jopo hilo linatarajiwa kutoa taarifa rasmi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mchele wa plastiki wakamatwa Nigeria

Nigeria imekamata magunia 102 ya ”mchele wa plastiki” yaliyokuwa yanaingizwa nchini humo na wafanyabiashara haramu ambao walitaka kuuza katika msimu huu wa sherehe, kulingana na afisa wa forodha katika mji mkuu wa nchi hiyo , Lagos.

Uchunguzi wa awali ulibaini kuwa mchele huo ulikuwa ni wa “plastiki” ,baada ya kuuchemshwa, na kuoneka kuwa mkubwa zaidi ya mchele wa kawaida na ni Mungu tu anajua ni nini ambacho kingetokea kama ungeliwa na binadamu “, Haruna Mamudu aliongeza katika kauli yake...

 

2 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki

Nigeria imekamata magunia 102 ya ''mchele wa plastiki'' yaliyokuwa yanaingizwa nchini humo kwa njia haramu na wafanyabiashara haramu ambao walitaka kuuza katika msimu huu wa sherehe

 

2 years ago

BBCSwahili

Nigeria yasema mchele uliokamatwa sio wa 'plastiki'

Ukaguzi uliofanywa umebaini kwamba mchele huo ulikuwa 'mchafu' na sio wa 'plastiki

 

2 years ago

Zanzibar 24

Majibu yaTBS kuhusu kuwepo mchele wa plastiki Tanzania

Shirika la viwango Tanzania TBS limetoa maelekezo kwa wananchi kufuatia taarifa za hivi karibuni kuwa kuna bidhaa ya mchele ambayo inaodhaniwa kutengenezwa kwa plastiki.

Hivi karibuni zimezuka taarifa kupitia video na picha kupitia mitandao ya kijamii (Istagram na whatsap)  zinazoelezea hofu ya uwepo wa bidhaa ya mchele inayosadikika kutengenezwa kutokana na plastiki.

Baadhi ya video hizo zinaonesha mtambo unaosadikika kutengeneza mchele kutokana na mifuko ya plastiki, huku nyengine...

 

5 years ago

Mwananchi

Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani