TFDA,TAASISI BARANI AFRIKA WAANZISHA MIRADI YA KUFUATILIA UBORA WA DAWA

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania(T FDA ) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali Afrika wamebuni miradi mikubwa miwiliyenye lengo la boresha,kuhakiki na kufuatilia ubora na viwango vya dawa zinazosambazwa kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati ufunguzi wa miradi hiyo ya PAVIA na PROFORMA, Mganga Mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Profesa Muhammad Kambi amefafanua lengo ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

TFDA yaombwa kufuatilia ubora wa vipodozi vya asili

WATUMIAJI wa vipodozi wameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kufuatilia na kuwachukulia hatua watengenezaji wa vipodozi vya asili, wanaodanganya ubora wa bidhaa zao wakati zinaathiri ngozi za watumiaji.

 

2 years ago

Michuzi

TFDA: DAWA ZILIZOPO SOKO ZINA UBORA WA ASILIMIA 98

Frank Mvungi-Maelezo
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa dawa zilizopo katika soko zina ubora kwa asilimia 98 na itahakiksha zinaendelea kukidhi vigezo vya ubora kama zilivyokuwa wakati zinasajiliwa kwa mujibu wa sheria, kanuni,miongozo na taratibu za udhibiti.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliolenga kueleza mikakati ya Mamlaka hiyo katika kudhibiti ubora na...

 

3 years ago

Michuzi

TFDA YAWA MWENYEJI WA MAFUNZO YA WADAU KUHUSU USALAMA WA CHAKULA BARANI AFRIKA

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekuwa mwenyeji wa mafunzo ya siku tano, tarehe 16 – 20 Mei, 2016, kwa wadau wa udhibiti katika mnyororo wa Usalama wa Chakula hususan upimaji katika maabara Barani Afrika.
Akifungua mafunzo hayo yaliyowashirikisha wadau wapatao 50 kutoka nchi 15 za Afrika, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya, alisema kuwa Lengo kuu la mafunzo na mkutano ni kujadili majukumu, wajibu na mchango wa kila mdau katika suala zima la kuhakikisha chakula ni...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kiwanda cha Tanzania chaongoza kwa ubora barani Afrika

-Kimedhihihirisha kuwa Tanzania yenye viwanda inawezekana

Wakati serikali ya awamu ya tano inajipanga kuifanya Tanzania nchi ya viwanda tayari dalili njema zimeishajitokeza kuwa watanzania tukiamua tunaweza kwa kuwa kiwanda kinachoshikilia rekodi ya ubora barani Afrika ni kiwanda cha kutengeneza Bia cha TBL kilichopo katika kitongoji cha Iyunga mkoani Mbeya.

Kwa mara nyingine tena baada ya kushindanishwa na  viwanda vikubwa vipatavyo 21 barani Afrika,mwishoni mwa wiki iliyopita TBL Mbeya...

 

1 year ago

Michuzi

Wataalam wa Udhibiti Ubora wa Dawa Afrika Mashariki Wakutana Jijini Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha wataalam toka Taasisi za Udhibiti wa Dawa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) ambayepia ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi za Udhibiti Dawa Afrika Mashariki Hiiti Sillo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa kikao kazi cha wataalam...

 

5 years ago

Habarileo

TFDA kufuatilia vyakula vyenye virutubishi

Ofisa Habari wa TFDA, Gaudencia Simwanza MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imeandaa mpango wa ufuatiliaji wa ubora na usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwenye soko.

 

4 years ago

Michuzi

NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)

1Bima ya AfyaaaKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Bw. Khamis Mdee wa pili kutoka kulia akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya mfuko huo wakati walipoonyesha tuzo ambazo mfuko huo ulitunukiwa nchini Morocco na Shirikisho la kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) nchini Morocco hivi karibuni. kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kutoka kushoto Kaimu Mkurugenzi Tiba na Ushauri wa NHIF, Dk Mkwabi Fikirini na Mkurugenzi wa masoko...

 

1 year ago

Michuzi

DK. MPOKI AFUNGUA MAFUNZO YA KUTATHIMINI KWA ULINGANIFU UFANISI , UBORA NA USALAMA WA DAWA KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI


Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii

CHUO Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili kupitia Shule ya Famasi kwa kushirikiana kwa Kituo cha cha Mafunzo ya Kutathimini Dawa cha Afrika Mashariki wameendesha mafunzo ya kutathimini kwa ulinganifu ufanisi , Ubora na usalama wa dawa katika ukanda wa Afrika Mashariki ambapo Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Shirika la Afya Duniani (WHO) na Sekeretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wameshiriki katika uratibu wa mafunzo...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA JUMUIYA YA MADOLA NA WAKUU WA TAASISI ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR.


Makamau wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa Jumuiya ya Madola na Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa Barani Afrika, uliofanyika leo Mei 25 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akifurahia jambo na baadhi ya Viongozi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo,uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani