TFF Kupiga Marufuku Matamasha Ya Muziki Kwenye Viwanja Vya Soka...Karia Amwaga Pesa Za Ukarabati.

Na Bakari Chijumba, Mtwara.Shirikisho la soka Tanzania(TFF),limetenga jumla ya Dollar za kimarekani Million moja,kwa ajili ya kurekebisha viwanja kumi vya soka nchini,ikiwemo uwanja wa Nangwanda Sijaona uliopo mjini Mtwara.
Akizungumza na wanahabari Mkoani Mtwara,06 Mei 2019,Rais wa TFF Wallace Karia,amesema kati ya viwanja hivyo kumi, kila uwanja umetengewa Dollar laki moja.
"Kwenye mkutano mkuu uliofanyika Arusha,tulipeleka maombi kwa wajumbe,Kutenga Dollar Million moja ili kurekebisha...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

RAIS WA TFF WALLACE KARIA AMWAGA PONGEZI KWA NGORONGORO HEROES NA SERENGETI BOYS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Ndugu Wallace Karia ametoa salamu za pongezi kwa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) na ile ya chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kufuzu katika michezo yao iliyochezwa jana huko DR Congo na Burundi.
Ngorongoro Heroes wamefanikiwa kusonga kwenye raundi ya pili ya kufuzu fainali za Africa za Vijana chini ya miaka 20 zitakazochezwa Niger mwezi Novemba baada ya ushindi wake wa penati 5-6 dhidi ya DR Congo...

 

1 year ago

Michuzi

VIWANJA VYA NDEGE 11 NCHINI KUFANYIWA UPANUZI NA UKARABATI

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Serikali imeanza majadiliano na Benki ya Dunia ili kupata mkopo wa kugharamia ukarabati na upanuzi wa Viwanja vya Ndege 11 kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina ambao ulizingatia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukuaji wa shughuli za kiuchumi, utalii na mahitaji ya usafiri wa anga.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Ndikiye leo Mjini Dodoma wakati akijibu swali la...

 

3 years ago

Michuzi

BENDI 10 MAARUFU ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO JUMAMOSI VIWANJA VYA LEADERS NI KATIKA TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA DANSI

 Mwanamuzi wa mziki wa dansi, Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda walipofika ofisini kwake leo, kuzungumzia Tamasha la muziki huo litakalofanyika Jumamosi  Viwanja vya Leaders ambalo litashirikisha bendi 10 maarufu za hapa nchini. Baadhi wa wadau wa muziki wa dansi na wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
 Mdau wa muziki wa dansi, Asha Baraka akizungumza katika mkutano huo kuhusu tamasha hilo la kukata na shoka ambalo alijawahi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

TFF yampiga marufuku Michael Wambura kujihusisha na soka maisha yake

Habari za ndani zinasema Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia makamu wa Rais wa Shirikisho hilo, Michael Wambura kutojihusisha na soka maisha yake yote.

Sekretariati ya Shirikisho la soka Tanzania TFF ilimfikisha Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kwenye kamati ya maadili akikabiliwa na tuhuma tatu ikiwemo kupokea fedha za malipo TFF za malipo ambayo hayakuwa halali.

Jana mchana afisa habari wa TFF Clifford Mario Ndimbo aliwaambia waandishi wa habari kwamba Wambura amefanya makosa hayo...

 

3 years ago

Mwananchi

‘Marufuku kupiga picha vifaa vya kijeshi’

Jeshi  la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) limetoa onyo  kwa wananchi kutokujihusisha na upigaji picha wa vifaa vya kijeshi na kuvisambaza katika mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

Mwananchi

Uzalendo haupimwi kwa matamasha ya muziki!

Hivi karibuni limefanyika tamasha la uzalendo mjini Dodoma lililoshirikisha wasanii wa muziki, hasa wa kizazi kipya na waigiza filamu.

 

2 years ago

Bongo Movies

Pesa Zamfukuza Saida Karoli Kwenye Muziki

Mkongwe wa muziki wa asili wenye ladha ya bongo fleva, Saida Karoli amefunguka na kusema kwamba ukosefu wa pesa na mapromota waongo ndicho kitu pekee kilichomfanya apotee katika ramani ya muziki nchini.

Saida Karoli

Saida amefunguka hayo baada ya ujio wake mpya kwa kuachia  video inayokwenda kwa jina la ‘Orugambo’  na kuongeza kwamba aliamua kurudi kijijini kwao baada ya kukosa muelekeo maalumu.

“Nisingeweza kufanya kitu chochote bila kuwa na pesa, mapromota waliniangusha sana kipindi kile...

 

3 years ago

Michuzi

Meya wa Manispaa ya Kinondoni apiga marufuku kwa watendaji wa manispaa kubadirisha hati za viwanja vya kuzikia kuwa vya binafsi

 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Boniface Jacob akiwaonesha waandishi wa habari ramani  inayoonyesha eneo la makaburi lililovamiwa na taasisi ya Mkapa Foundation ambalo limegaiwa na manispaa kinyume na taratibu. Kwa maelezo ya nyaraka za manispaa  zinavyoonyesha, eneo hilo limetolewa wakati baraza la madiwani likiwa limemaliza muda wake. Cha kushangaza eneo hilo, manispaa haijaambulia hata shilingi. Na mwisho kabisa mstahiki meya, ameaagiza kusimamishwa shughuli zozote katika eneo hilo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani