TFF KUTOA MAAMUZI YAKE KUHUSU ALAMA TATU ZA SIMBA NA KAGERA SUGAR

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Global Publishers

Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu

Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu.

Kagera wanaamini beki wao Mohammed Fakhi alikuwa na kadi mbili za njano na si tatu kama ilivyoamua Kamati ya Saa 72 Years

Harmorapa, Msagasumu, Dulla Makabila, Dar Live Hapatoshi

The post Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu appeared first on Global Publishers.

 

12 months ago

Malunde

TFF YAIPOKONYA POINTI TATU SIMBA SC ILIYOPEWA KUTOKA KAGERA SUGAR

Hatimaye Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipokonya pointi tatu Simba SC, ilizokuwa imepewa kutoka kwa Klabu ya Kagera Sugar.

Awali, Simba ilikuwa imepewa ushindi wa mezani wa pointi tatu na magoli matatu dhidi ya Kagera Sugar, baada ya mchezo wake na timu hiyo ya mkoani Kagera kumalizika ikiwa imepigwa magoli 2-1.

Ushindi huo wa mezani ulitokana na malalamiko kuwa Kagera Sugar ilimchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano,...

 

1 year ago

Bongo5

Yanga yaipeleka Takukuru kamati ya saa 72 ya TFF kuhusu point 3 za Simba SC na Kagera Sugar

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema umepeleka taarifa kwenye taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru na Jeshi la Polisi ili kufuatilia mwenendo wa utendaji kazi wa kamati ya saa 72 ya TFF.

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Salum Mkemi alisema wana wasiwasi na kamati hiyo inaweza kuipa Simba pointi tatu kutokana wajumbe wake wengi kuwa wanachama wa Simba.

“Sisi ni mabingwa na tuna haki ya kulinda maslahi yetu, Simba walipokea kichapo lakini wanataka ushindi wa mezani, suala hili...

 

12 months ago

MillardAyo

VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano. Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema […]

The post VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba yairamba Kagera Sugar; Ubaoni Simba 2- 0 Kagera Sugar

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba  yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya. Ni ushindi ambao unawafanya vijana wa Joseph Marius Omog, kocha Mcameroon wafikishe pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa za Ligi Kuu, wakiendelea kuongoza kwenye msimamo. MECHI NYINGINE LEO: JKT Ruvu 1-1 Mwadui Stand United 1-1 African Lyon

The post Simba yairamba...

 

1 year ago

MillardAyo

AUDIO: Ufafanuzi wa CEO wa Azam FC kuhusu Ame Ally kuondoka Simba na kujiunga na Kagera Sugar

dscf4969

Leo December 16 2016 CEO wa Azam FC Saad Kawemba ameamua kuweka wazi masuala kadhaa kuhusiana na usajili, ufafanuzi wa Saad umekuja ikiwa ni siku moja imepita toka dirisha dogo la usajili kufungwa jana December 15. Saad ameweka wazi masuala kadhaa ila ameweka wazi lile suala la mshambuliaji wao Ame Ally aliyekuwa kwa mkopo Simba […]

The post AUDIO: Ufafanuzi wa CEO wa Azam FC kuhusu Ame Ally kuondoka Simba na kujiunga na Kagera Sugar appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi mapya ya TFF kuhusu kipa wa Simba aliyefungiwa miaka 10 kucheza soka

court-hammer6

Baada ya April 3 2016 shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kwa makamu mwenyekiti wake Jerome Msemwa waliamua kutangaza kutoa adhabu kwa viongozi, wachezaji na timu za Ligi daraja la kwanza zilizokuwa zinahusishwa timu za Kundi C katika upangaji wa matokeo. TFF baada ya kupitia upya adhabu ilizotoa April 3 2016 imeamua kumfutia adhabu golikipa wa Simba […]

The post Maamuzi mapya ya TFF kuhusu kipa wa Simba aliyefungiwa miaka 10 kucheza soka appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

TFF imetangaza maamuzi tofauti na yaliosambaa mtandaoni kuhusu refa wa Yanga vs Simba

20161005_122529

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo October 5 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas imetangaza maamuzi yaliofikiwa na kamati kuhusiana na mchezo wa Simba na Yanga uliochezwa October 1 2016 na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 na mashabiki wa Simba kuvunja viti kutokana na refa Martin Saanya kukubali goli la Amissi Tambwe aliyekuwa […]

The post TFF imetangaza maamuzi tofauti na yaliosambaa mtandaoni kuhusu refa wa Yanga vs Simba appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Michuzi

FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA WAIPANDISHA KAGERA NAFASI YA TATU!

Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi huo wa Kagera Sugar umewapandisha juu nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24. Ligi hii ya Vodacom sasa inaenda mapumziko ya msimu wa kwanza wa 2016/2017. Kipindi cha pili Temu Felix aliisawazishia bao Kagera Sugar na Kisha baadae Seleman Mangoma akapachika bao la pili na kufanya Kagera Sugar...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani