TFF WATAKIWA KUZINGATIA UMRI WAKATI WA KUUNDA TIMU YA MICHUANO YA AFCON


Shirikisho la soka Nchini (TFF)  limetakiwa kigezo za umri wa wachezaji wanaowandaa kwa ajili ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 17 (U17) ili kuepuka kuvunja sheria.

Hayo yamesemwa na Leodegar Tenga wakati wa uiznduzi wa Kamati ya maandalizi ya Michuano hiyo, ambapo ameteuliwa kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Akizindua Kamati hiyo yenye wajumbe 25 kwa ajili ya kufanikisha mashindano hayo yatakayofanyika nchini mwaka 2019, Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe alisema wakati Mwenyekiti wa Kamati hiyo atakuwa yeye, Makamu Mwenyekiti  ni Tenga ambaye  Mjumbe wa CAF na Rais wa heshima wa TFF na Hendry Tandau kutoka Kamati ya Olimpiki nchini ambaye atakuwa Mtendaji Mkuu wa Kamati.

Kamati hiyo inao  wajumbe mbalimbali wakiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar  es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa ATCL  Ladislaus Matindi na  Mohamed Dewji.

Mwakyembe amewapongeza wajumbe walioteuliwa na kusema kuwa uteuzi wa wajumbe hao wa kamati ulizingatia sekta muhimu zitakazo husika moja kwa moja katika kufanikisha mashindano hayo.

“Nawapongeza wajumbe wote kwa kukubali uteuzi huu maana kazi ya kamati hii si ya kulipwa bali ni kujitolea kwa manufaa ya nchi yetu na ninaimani kubwa kuwa tutafanya kazi nzuri na kwa kufanikisha mashindano haya tutakuwa tumelipa taifa heshima kubwa katika ulimwengu wa soka”, alisema Mwakyembe.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TFF YATHIBITISHA KUJITOA KWA CHAD KATIKA MICHUANO YA AFCON 2017

Shirikisho la Soka nchini TFF  limethibitisha taarifa yetu ya awali  kwamba timu ya Taifa ya Chad  ‘Les Sao’ (pichani) imejiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon.
Tovuti ya TFF inasema kwamba taarifa ya kujitoa kwa Chad imetolewa na Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika (CAF) leo baada ya Les Sao kuandika barua ya kujitoka katika mashindano hayo ikiwa katika kundi G pamoja na timu za Tanzania, Nigeria na...

 

3 years ago

BBCSwahili

Chimbuko la michuano ya AFCON

Hii ni historia ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika ambayo inatajariwa kwa hamu na mashabiki wa soka kote barani Afrika

 

3 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Afcon kundi B

Wachezaji soka wa Afrika wataanza kumenyana wikendi hii wakati michuano ya mataifa ya Afrika itakapoanza nchini Equatoreal Guinea

 

3 months ago

Michuzi

WATEULIWA KUUNDA KAMATI NDOGONDOGO ZA MAANDALIZI YA AFCON U17/2019 YATAYOFANYIKA NCHINI

Ukiacha Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine.
Uteuzi huo umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi wakuu wa TFF na wanafamilia wengine ambao kwa pamoja watafanya kazi ya kuandaa michuano hiyo itakayofanyika Tanzania mwaka 2019.
Wakati jina namba moja ni Mwenyekiti wa kila kamati ndogo...

 

3 years ago

BBCSwahili

Michuano ya makundi ya AFCON tayari

Hatua ya makundi ya kufuzu kwa fainali za kombe la mataifa ya Afrika inaanza mwishoni mwa wiki

 

1 year ago

Mtanzania

WAKUCHUNGWA MICHUANO YA AFCON 2017

NA BADI MCHOMOLO

riyad-mahrezMICHUANO ya 31 ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), inatarajia kuanza kutimua vumbi wiki hii nchini Gabon huku miamba 16 ikitarajia kuoneshana uwezo kisoka.

Michuano hiyo inatarajia kuanza Januari 14 na kumalizika Februari 5 mwezi ujao. Gabon wao wamefanikiwa kufuzu kama waandaji wa michuano hiyo.

Leo hii Mtanzania Spotikiki, imekufanyia uchambuzi wa baadhi ya wachezaji wa kuchungwa katika michuano hiyo kutokana na uwezo wao ule ambao wameuonesha katika Ligi mbalimbali ambazo...

 

3 years ago

Habarileo

Watakiwa kuunda mabaraza kazini

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera.TAASISI mbalimbali za serikali ambazo hazijaunda mabaraza ya kazi katika sehemu za kazi kwa kisingizio cha kukosa fedha yametakiwa kuunda mabaraza hayo mara moja.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wakati Timu ya Yanga ikiwa katika mjadala wa kukodishwa, Timu ya kidongo chekundu inauzwa

Timu ya Kidongo chekundu inayoshiriki ligi daraja la pili Wilaya ya Mjini imetangazwa rasmi leo kuwa inauzwa.

Dili hilo amelitaja Rais wa timu hiyo Ameir Salum “Adui” alipozungumza na Mtandao huu kwa kusema kuwa kama yupo mtu anaeweza kuinunua au kuwekeza milango ipo wazi ambapo wao tayari wameshakubali kuitoa timu hiyo.

“Timu tunauza kweli au kama kuna mtu anaweza kuwekeza tunamkaribisha, tumeamua kufanya hivyo kwasababu tunaona soka la Zanzibar bado halijatulia na tumeona bora tutafute...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani