TFF YAIPOKONYA POINTI TATU SIMBA SC ILIYOPEWA KUTOKA KAGERA SUGAR

Hatimaye Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeipokonya pointi tatu Simba SC, ilizokuwa imepewa kutoka kwa Klabu ya Kagera Sugar.

Awali, Simba ilikuwa imepewa ushindi wa mezani wa pointi tatu na magoli matatu dhidi ya Kagera Sugar, baada ya mchezo wake na timu hiyo ya mkoani Kagera kumalizika ikiwa imepigwa magoli 2-1.

Ushindi huo wa mezani ulitokana na malalamiko kuwa Kagera Sugar ilimchezesha mchezaji aliyekuwa na kadi tatu za njano,...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu

Uongozi wa Kagera Sugar umeandika barua Kwa Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF), ukipinga klabu ya Simba kupewa Pointi tatu.

Kagera wanaamini beki wao Mohammed Fakhi alikuwa na kadi mbili za njano na si tatu kama ilivyoamua Kamati ya Saa 72 Years

Harmorapa, Msagasumu, Dulla Makabila, Dar Live Hapatoshi

The post Maamuzi Ya Kagera Sugar Baada Ya TFF Kuchukua Pointi Tatu appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano. Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema […]

The post VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Yanga yaipeleka Takukuru kamati ya saa 72 ya TFF kuhusu point 3 za Simba SC na Kagera Sugar

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema umepeleka taarifa kwenye taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru na Jeshi la Polisi ili kufuatilia mwenendo wa utendaji kazi wa kamati ya saa 72 ya TFF.

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Salum Mkemi alisema wana wasiwasi na kamati hiyo inaweza kuipa Simba pointi tatu kutokana wajumbe wake wengi kuwa wanachama wa Simba.

“Sisi ni mabingwa na tuna haki ya kulinda maslahi yetu, Simba walipokea kichapo lakini wanataka ushindi wa mezani, suala hili...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba yairamba Kagera Sugar; Ubaoni Simba 2- 0 Kagera Sugar

Simba imezidi kujichimbia kileleni baada ya kuichapa Kagera Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba  yaliyofungwa na Muzamiru Yasini na Shiza Kichuya. Ni ushindi ambao unawafanya vijana wa Joseph Marius Omog, kocha Mcameroon wafikishe pointi 23 baada ya kucheza mechi tisa za Ligi Kuu, wakiendelea kuongoza kwenye msimamo. MECHI NYINGINE LEO: JKT Ruvu 1-1 Mwadui Stand United 1-1 African Lyon

The post Simba yairamba...

 

2 years ago

Mwananchi

Kagera yarudishiwa pointi tatu

Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imebatilisha uamuzi ya Kamati ya saa 72 kwa kuipa simba pointi tatu na kuzirudisha Kagera Sugar.

 

8 months ago

Malunde

Rais Magufuli Aikabidhi Simba Kombe Baada ya Kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Kagera Sugar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, John Pombe Joseph Magufuli amewakabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wakitoka kufungwa 1-0 na Kagera Sugar  Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Mei 19, 2018.
Kabla ya kuwakabidhi Kombe hilo, Rais Magufuli akawaambia Simba SC hajaridhishwa na kiwango cha mchezo wao na akawataka wakakiboreshe kuelekea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani.
  Pamoja na hayo, Rais Magufuli amewapongeza Simb SC kwa...

 

2 years ago

Michuzi

FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA WAIPANDISHA KAGERA NAFASI YA TATU!

Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi huo wa Kagera Sugar umewapandisha juu nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24. Ligi hii ya Vodacom sasa inaenda mapumziko ya msimu wa kwanza wa 2016/2017. Kipindi cha pili Temu Felix aliisawazishia bao Kagera Sugar na Kisha baadae Seleman Mangoma akapachika bao la pili na kufanya Kagera Sugar...

 

2 years ago

Michuzi

KAGERA WAZITAKA POINTI ZAO ZIRUDISHWE, WATUMA BARUA TFF

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
KLABU ya Soka ya Kagera imeaiandikia barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kulalamikia maamuzi yaliyotolewa na kamati ya saa 72 kwa kuipatia pointi tatu timu ya Simba ikidaiwa wamemchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.
Braua hiyo iliyopelekwa moja kwa moja kwa Mtendaji Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa imeandikwa na Mwenyekiti wa klabu hiyo  Hamis Mdaki na kuelekeza malalamiko yao ya kutokubaliana na maamuzi ya kamati ya saa 72.
Hukumu ya kuipatia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani