TFF yaiweka Yanga mtegoni

Yanga ipo kwenye hatari  ya kuondolewa  kwenye Ligi Kuu iwapo uongozi  wake utashindwa kuwasilisha muhtasari wa kikao cha  mabadiliko ya katiba ya klabu hiyo ndani ya siku saba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Yanga yaiweka pabaya Simba

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu bara, Yanga jana iliifunga Majimaji ya mjini hapa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Majimaji na kujiongezea pointi tatu muhimu.

 

2 years ago

Mwananchi

Busungu ajiweka mtegoni Yanga

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu ameeleza kufurahia ujio wa kocha mpya, George Lwandamina na kuahidi kurudisha makali yake.

 

5 months ago

Malunde

MANARA AWAINGIZA YANGA MTEGONI

Msemaji wa Mabingwa Watetezi, Klabu ya Simba, Haji Manara amehoji Mamlaka ya mapato Tanzania juu utaratibu wa watani zao wa jadi kuhusu kuchangisha kwa ajili ya klabu yao na kuuliza kama utaratibu huo ni sahihi.
Manara amehoji iwapo kama Klabu hiyo inayoongoza msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara kama inalipia kodi katika Mamlaka hiyo huku akisistiza kwamba hata kama ukweli ukiwa mchungu kiasi gani lazima usemwe.
"TRA nakumbuka mlienda katika kanisa la Mchungaji Kakobe kufuatilia ile...

 

3 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga mtegoni Ligi Kuu

Ni Jumamosi yenye mitego kwa timu za Ligi Kuu zitakaposhuka viwanja vitano tofauti nchini ili kusaka pointi tatu muhimu.

 

3 years ago

Michuzi

⁠⁠⁠TFF YAAGIZA KUPATIWA MKATABA WA YANGA NA YANGA YETU.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira Wa Miguu Tanzania (TFF)  limefunguka kuhusu jambo hilo la klabu ya Yanga kukodishwa kwa kampuni ya Yanga Yetu inayomilikiwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo Yusuph Manji.
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amezungumza kuhusu mabadiliko ambayo wameyafanya na kusema wao kama TFF bado hawajayatambua mabadiliko hayo na wamemwandikia barua Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit ya kumtaka aonyesha mkataba ambao...

 

4 years ago

Mwananchi

UN yaiweka njiapanda Afrika

>Nchi za Afrika zinakabiliwa na matatizo mengi katika kufikia vigezo vya ukusanyaji wa takwimu za Pato la Taifa (GDP) kama zilivyopendekezwa na Umoja wa Mataifa (UN) katika mkutano uliofanyika mwaka 2008.

 

4 years ago

Vijimambo

YANGA YAIKOMALIA TFF

Yanga yaikomalia TFF
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3
KLABU ya Yanga bado imeendelea kulikalia kooni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF juu ya mabadiliko ya kanuni ya 37 ibara ya 3 ambayo imerekebishwa Februari 8 2015 ikimruhusu mchezaji kuchagua mechi za kucheza ikiwa anatumikia kadi tatu za njano mfululizo .Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Yanga Jerry Muro ameiambia Goal kuwa...

 

5 years ago

Mwananchi

TFF yaishangaa Yanga

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeshangazwa na madai ya klabu ya Yanga kwamba mpaka sasa haijapata mwaliko rasmi wa kushiriki Michuano ya Kagame na limeionya iache kutafuta visingizio.

 

5 years ago

Mwananchi

TFF yaivimbia Yanga

 Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji kulipa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) siku saba kumaliza suala la mshambuliaji wao Emmanuel Okwi aliyejiunga Simba, Shirikisho hilo limesema Yanga wasiwaamrishe kwani wanafanya kazi kwa mujibu wa katiba na kanuni zao.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani