TFF YAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUWAKABIDHI KOMBE LA CECAFA VIJANA CHINI YA 17 ILI KUWAPA HAMASA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limemuomba Rais Dk.John Magufuli  kuwakabidhiwa Kombe la CECAFA vijana wa chini wa miaka 17 kwa lengo la kuwapa hamasa vijana hao.
Ombi hilo limesemwa leo jijini Dar es Salaam na Rais wa TFF Walaace Karia wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Makao makuu ya Shirikisho hilo. Karia amesema kuwa,wamezunguza na Waziri wa Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk.Harrison Mwakyembe na tayari ameshaandika barua kwenda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Malunde

TFF YATAJA SABABU ZA MSINGI KUMUALIKA RAIS MAGUFULI ILI AKAWAKABIDHI SIMBA KOMBEShirikisho la Soka Tanzania Bara (TFF) limeeleza sababu za msingi zilizowafanya kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kama mgeni rasmi katika mchezo wa ligi kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar.

TFF imemualika Rais Magufuli kwa lengo la kuwakabidhi Simba taji la Ligi Kuu Bara walilolitwaa msimu huu wa 2017/18 pamoja na kukabidhiwa Kombe la CECAFA (U17) ambalo Serengeti Boys walifanikiwa kushinda huko Burundi.

Kaimu Katibu Mkuu wa TFF,...

 

1 year ago

Malunde

KWAYA YA HAMASA KABALE IMEACHIA NYIMBO KALI KUHUSU RAIS MAGUFULI..ZISIKILIZE HAPA CHINI


Kwaya ya Hamasa Kabale Itilima mkoani Simiyu nyimbo a kumpongeza Rais Magufuli, mawasiliano yao ni 0754916398,nyimbo zimerekodiwa Bfaster studio iliyopo Bariadi mkoani Simiyu

Zikilize hapa chini

 

2 years ago

Bongo5

Sudan yamuomba Rais Magufuli kutatua mgogoro wao

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudan ya Kusini, Rebecca Nyandeng Garang de Mabior.

_92889037_unnamed-1

Baada ya mazungumzo hayo, Bi. Mabior amesema yeye pamoja na ujumbe wake wamelazimika kufika Tanzania kuonana na Rais Dkt Magufuli kwa lengo la kumfahamisha hali halisi ya nchi ya Sudan ya Kusini.

“Tumefarijika kuwa hapa katika ikulu ya Tanzania na tuko hapa...

 

2 years ago

Mwananchi

TFF, iharakishe mikakati ili Serengeti Boys irudi na kombe

Timu ya soka ya Taifa ya Vijana ‘Serengeti Boys’ ipo kwenye mchakato wa kuhakikisha inashiriki vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazofanyika Mei hadi Juni nchini Gabon.

 

3 years ago

Global Publishers

Kilombero Sugar yaipongeza ATE kwa kuwapa hamasa waajiri‏

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa (Kulia) akimkabidhi kombe Meneja masoko wa kampuni ya sukari ya Kilombero Ephraim Mafuru baada ya kuibuka washindi wa tatu wa Jumla katika tuzo za muajiri bora wa mwaka zilizo andaliwa na chama cha waajiri Tanzania (ATE). Hafla hiyo ilifanyika Dar-es-Salaam, mwishoni mwa wiki. Kampuni ya Kilombero Sugar Ltd imesema kuwa tuzo za Mwajiri Bora zinazotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta...

 

4 years ago

Bongo Movies

Wema Aendelea Kuwapa Hamasa Wanawake,Chukua Hii Kutoka Kwake

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu  mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza kuposti  jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na  huku akitumia tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.

Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia maendeleo huu ni muendelezo tu....

 

2 years ago

Channelten

UVCCM yamuomba Rais Magufuli kuwachukulia hatua kali wahusika wa ufujaji wa mali za Jumuiya hiyo

uvccm.

Rais John Pombe Magufuli ameombwa kuwachukulia hatua kali wahusika wote wa ufujaji na ubadhilifu wa mali za Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)  sambamba na kuvunja kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo ambayo inadaiwa kukiuka maadili na misingi ya uadilifu ndani ya chama hicho.

Hayo yamesemwa na baadhi ya wanachama na makada wa Umoja wa Vijana CCM wakati walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam ambapo wamesema kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ufisadi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serengeti Boys yakata tiketi ya kucheza Kombe la Vijana wenye umri chini ya miaka 17 Gabon.

Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF hii leo limeiteua nchi ya Gabon kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Vijana wenye umri chini ya miaka 17.

Gabon ambao ndio wenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika , AFCON zinazoendelea sasa wamepewa nafasi hio baada ya wenyeji wa awali, Madagascar kunyanganywa kutokana na kutokuwa tayari kuandaa michuano hio ya vijana.

Timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys inasubiri rufaa yake ya kupinga Congo kutumia mchezaji...

 

2 years ago

Malunde

MAKABURI 22 YA WATU WENYE UALBINO YAFUKULIWA TANZANIA...TAS YAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUFANYA KAMA DAWA ZA KULEVYA NA VIROBAChama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) kimelaani vikali vitendo vya ufukuaji wa makaburi ya watu wenye ualbino vinavyoendelea kujitokeza nchini hali inayowafanya waishi kwa hofu kubwa katika nchi yao. 

Inaelezwa kuwa tangu kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ualbino mwaka 2007 takribani makaburi 22 nchini  Tanzania yamefukuliwa na watu wasiojulikana.
Chama hicho kimeiomba serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais John Pombe Magufuli kuweka mkazo katika mapambano dhidi ya ukatili wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani