TFF yatoa majibu kuhusu rufaa ya Polisi kwa Simba SC

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea rufaa kutoka Klabu ya Polisi Dar es Salaam dhidi ya Klabu ya Simba kuhusu kumchezesha Mchezaji Novalty Lufunga katika mchezo wao wa Raundi ya Tano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup 2017.

Madai ya Polisi ni kwamba Mchezaji Novalty Lufunga alioneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo kati ya Simba na Coastal Union katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup 2015/2016 uliofanyika Uwanja wa Taifa, Aprili 11, mwaka jana.

Shirikisho la Mpira...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Ripoti kutoka Cairo kuhusu rufaa ya TFF kwa mchezaji anayedaiwa kudanganya umri

20141111143922425734_20

Kama ilivyoripotiwa awali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) baada ya kutoridhika na kujiridhisha kuwa mmoja wa wachezaji wa Jamhuri ya Congo-Brazzaville, alikiuka kanuni za mashindano ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17. TFF ilikata rufaa ya mchezaji Langa-Lesse Bercy katika Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF). Kutokana na rufaa hiyo dhidi ya mchezaji huyo […]

The post Ripoti kutoka Cairo kuhusu rufaa ya TFF kwa mchezaji anayedaiwa kudanganya umri appeared first on...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Maamuzi ya CAF, Kuhusu rufaa ya TFF

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya rufaa ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) juu ya mchezaji wa timu ya taifa ya Jamuhuri ya Congo chini ya umri wa mika 17,Langa Lesse Bercy kutaka kujiridhisha kuhusu umri wake hatimaye kamati tendaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF, limetoa nafasi ya ...

 

3 years ago

MillardAyo

Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)

Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]

The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Majibu ya Rais wa TFF kuhusu tuhuma za kula bilioni 1 kutoka FIFA

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu tuhuma za Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi kudaiwa kutumia kinyume na taratibu kiasi cha zaidi ya Tsh bilioni moja ya TFF iliyotolewa na shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA. Leo February 7 2017 Malinzi ameweka wazi kuhusiana na tuhuma hizo na kudai kuwa huu ni […]

The post VIDEO: Majibu ya Rais wa TFF kuhusu tuhuma za kula bilioni 1 kutoka FIFA appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Serikali yatoa majibu ya hatua iliyofikia kuhusu viwanda ilivyovibinafsisha

Serikali inatekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli la kuhakikisha viwanda vilivyobinafsishwa vinafanya kazi linatekelezwa tangu mwezi Novemba mwaka 2015.

Hayo yamebanishwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Manyoni Mhe. Yahaya Massare lililohusu utekelezaji wa ahadi ya Rais kuvirudisha viwanda vyote vilivyobinafsishwa lakini havifanyi kazi.

Waziri Mwijage amesema kuwa Serikali kupuitia Wizara...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa

Katibu mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Selestine Mwesigwa ametangaza maamuiz yaliyofikia na kamati ya sheria na hadi za wachezaji kuhusu Simba kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano. Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema […]

The post VIDEO: TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 vs Simba, hakuna kukata rufaa appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Michuzi

sakata la emmanuel Okwi kusajiliwa na simba: Yanga kukata rufaa fifa kupinga maamuzi ya tff

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Utawala Bora wa klabu ya Young Africans Wakili Sam Mapande - kulia
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru.Sam Mapande amesema kuwa hawajaridhishwa na maamuzi hayo ambayo yanakinzana na shitaka zima la mchezaji huyo. Mapande amesema kuwa kamati ya TFF imeamua sakata la Okwi kinyume na malalamiko yao kwani hakukuwa na lalamiko la...

 

1 year ago

Michuzi

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

Na Anitha Jonas – WHUSM
Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo wanachama wanachukua 51% na mwekezaji anachukua 49%.
Msisitizo huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi wa Klabu ya Simba na kuzungumza nao kufuatia kutoa asilimia 50% kwa mwekezaji wa klabu hiyo Bw.Mohamed Dewji...

 

2 years ago

Habarileo

Simba yachomoka rufaa ya Polisi Dar

SIMBA sasa iko salama kuendelea na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya TFF kuitupilia mbali rufaa ya klabu ya Polisi Dar es Salaam iliyokuwa ikitaka Simba ipokwe ushindi kwa kumchezesha mchezaji Novatus Lufunga katika mchezo wao wa raundi ya tano ya michuano hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani