TFF yatuma salamu za rambirambi Kifo Cha Mzee Reginald Mengi

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za Kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP na Mlezi wa Timu ya Taifa ya Vijana U17 “Serengeti Boys” Dkt.Reginald Mengi aliyefariki usiku wa kuamkia jana huko Umoja wa Falme za Kiarabu.
Rais wa TFF Ndugu Karia ametoa pole kwa Familia ya Dkt.Mengi,Makampuni ya IPP,Ndugu,Jamaa,Marafiki na Familia ya Mpira wa Miguu kwa msiba huo.
Amesema Dkt.Reginald Mengi amekua na mchango...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 weeks ago

Malunde

Rais Magufuli Atuma Salamu za Pole Kufuatia Kifo cha Mzee Reginald Mengi

Rais Magufuli ametuma salamu za Pole kwa familia na Wafanyakazi wa IPP Media kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni hiyo.
 Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Mei 2, 2019 akiwa Dubai
"Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na Rafiki yangu Dkt. Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo ktk kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabishara. "Ameandika Rais...

 

3 years ago

Michuzi

CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MHE. MUNGAIKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndg. Jesca Msambatavangu kufuatia kifo cha Mhe Joseph Mungai, Mbunge mstaafu wa Jimbo la Mufindi kilichotokea jana tarehe 08 Novemba, 2016 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Mhe. Mungai, ameshika nyadhifa mbalimbali za uongozi na utumishi katika Chama na Serikali. Alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Mkuu wa Mkoa, Mbunge kuanzia...

 

1 year ago

CCM Blog

CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA KADA WAKE

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMzee Abdulrazaq Mussa Simai NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Kada wake marehemu Mzee Abdulrazaq Mussa Simai 'Kwacha' aliyefariki  leo Machi 11,20118.
Mzee  Abdulrazaq  amefariki katika  Hospitali ya Kuu ya Taifa ya Muhimbili, iliyopo  Jijini Dar es salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Katika Salamu hizo Dk. Mabodi amesema CCM...

 

4 years ago

Michuzi

BASATA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MSANII CHIJWELE CHE MUNDUGWAO

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa asili Chijwele Chemundugwao kilichotokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo mapema Asubuhi ya Alhamisi ya tarehe 16/04/2015 baada ya kuugua kwa muda mrefu. 
Che mundugwao ni msanii wa muziki wa asili na mdau wa muda mrefu wa sekta ya Sanaa nchini. Amekuwa na mchango mkubwa katika kukuza muziki wa asili nchini na baadaye kupitia Chama cha Muziki wa asili (TAFOMA)...

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Mwenyekiti CHADEMA atuma salamu za pole kuhusu kifo cha Reginald Mengi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametuma salamu pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt.Reginald Mengi kilichotokea usiku wa kuamkia leo mjini Dubai, Falme za Kiarabu. Chini ni taarifa ya kiongozi huyo.

Nimepokea kwa majonzi makubwa sana kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Abraham Mengi, natuma salamu za pole kwa Watanzania na Wana- Afria Mashariki wote, hususani tasnia ya habari, michezo,...

 

4 years ago

Michuzi

TFF YATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA BABA WA JERRY MURO

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetuma salam za rambi rambi kwa familia ya Muro, kufutia kifo cha Mzee Cornel Muro kilichotokea mwishoni mwa wiki jijini Dar s salaam na mazishi kufanyika Machame mkoani Kilimanjaro.
Katika salamu zake za rambirambi kwa familia ya marehemu Muro, TFF imewapa pole wafiwa, ndugu jamaa na marafiki na kusema wako pamoja katika kipindi hiki cha maombelezo na kuomba mwenyezi Mungu awajilie nguzu wafiwa
Marehemu Cornel Muro ni baba mzazi wa Afisa Habari wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani