TGNP yazindua Ilani ya Uchaguzi katika Tamasha la Jinsia

TTTT

Kaimu Mkurugenzi wa TAMWA Edda Sanga akiongea kuhusu ilani ya Mtandao wa wanawake wa katiba na uchaguzi iliyozinduliwa hapo jana katika viwanja vya TGNP Mabibo, Dar es salaam. Wanaofuata ni Mwakilishi wa TAWLA, Mkurugenzi wa TGNP Lilian Liundi na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) Asseny Muro.

ILANI YA UCHAGUZI YA MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA NA UCHAGUZI

UCHAGUZI MKUU  2015

UTANGULIZI    

Uchaguzi wa mwaka 2015 ni wa kihistoria katika harakati za ukombozi wa mwanamke ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

10 months ago

Malunde

TGNP MTANDAO KUFANYA TAMASHA KUBWA LA JINSIA KUANZIA SEPTEMBA 5-8,2017 JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jana kuzungumzia Tamasha la Jinsia la mwaka 2017 linalotarajia kuanza rasmi Septemba 5 hadi 8 ya mwaka 2017 katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa FemAct, Abdulla Othman.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TGNP, Vicensia Shule (katikati) akijibu maswali anuai ya waandishi wa habari kwenye mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi....

 

3 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WANAWAKE WAHITIMISHA TAMASHA LA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI LEO JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akizungumza na wananchi juu ya kutambua michango ya kimaendeleo inayofanywa na wanawake kwa kuwawekea kumbukumbu kama ilivyo kwa wanaume, ili kuleta uwiano wa kijinsia leo Jiji Dar es Salaam katika kilele cha tamasha la Jinsia. Mkurugenzi Mtendaji wa  Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akiteta jambo na Ruth Meena. Wanawake wakitaja baadhi ya matatizo ambayo yanayowakabili ni pamaoja na suala la...

 

4 years ago

Dewji Blog

Kinana katika ziara ya kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010

130

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kimanzichana jana wakati alipoanza ziara yake ya mikoa ya Pwani ,Tanga na Iringa Ikiwa ni kuimarisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2010 huku akihimiza wananchi kushiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo katika maeneo yao, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi na leo amefanya shughuli mbalimbali katika ziara hiyo. (PICHA NA...

 

8 months ago

Michuzi

WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO

Vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019 na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP MtandaoMwenzeshaji kutoka TGNP Mtandao Ndg. Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika...

 

3 years ago

GPL

MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAHABARI KANDA YA MASHARIKI

Mtoa mada Kenny Ngomuo akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Wanahabari wakimsikiliza Kenny Ngomuo. Wanahabari wakifuatilia mafunzo hayo.…

 

2 years ago

Michuzi

TGNP YATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA POLISI DAWATI LA JINSIA NA WATOTO KISHAPU

 Maofisa wa Polisi wanaoshughulikia Dawati Jinsia na Watoto Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakifuatilia mafunzo yaliyoratibiwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ambayo yamefanyika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya hiyo. Mwezeshaji wa mafunzo ambaye ni Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, John Simtowe akitoa mada katika mafunzo hayo kwa maofisa wa Polisi wilayani humo ambayo yameratibiwa na TGNP. Mafunzo yanaendelea kwa maofisa wa Polisi wanaoshughulikia Dawati Jinsia na Watoto Wilaya ya Kishapu...

 

1 year ago

Malunde

Picha :MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP) WATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA

Mtandao wa Jinsia (Tanzania Gender Network Programme- TGNP) umetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga nakwa ajili kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia.
Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku mbili (Machi 2 na Machi 3 mwaka 2017 katika ukumbi wa Vijana Center katika kanisa la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga pia yamewakutanisha waandishi hao wa habari na viongozi wa vituo vya taarifa na maarifa vilivyopo wilayani Kishapu mkoani...

 

11 months ago

Michuzi

KATIBU WA CCM MKOA WA DODOMA AHIMIZA UMOJA,UPENDO NA USHIRIKIANO KATIKA KUITEKELEZA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM.

Chama Cha Mapinduzi(CCM)wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma kimewakutanisha viongozi wa serikali na wa Chama ngazi ya Tarafa katika semina ya siku moja lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa pamoja wakati wa  kutekeleza majukumu yao ya kazi.
Akifungua semina hiyo katika kata ya Nzoisa wilayani Kongwa Katibu CCM mkoa wa Dodoma Jamila Yusuph  amewataka viongozi hao kufanya kazi kwa pamoja ili kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama hicho kama ilivyoahidiwa.
Ili hilo litekelezeke amewaasa kujenga umoja na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani