The Late Edward Moringe Sokoine

Edward Moringe Sokoine (1 August 1938 – 12 April 1984) was Prime Minister of Tanzania from 13 February 1977 to 7 November 1980 and again from 24 February 1983 to 12 April 1984.
Edward Moringe Sokoine had a developmental conception of the village. Sokoine saw the village as a harbinger of self-reliant, national development and the peasant as an agency of change. He was a person of unimpeachable personal integrity.
In 1938, Sokoine was born in Monduli, Arusha Region, Tanzania. From 1948 to...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao

 

Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.

Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu  wa Tanzania  hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka  mashada ya maua kwenye kaburi la  mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...

 

2 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA 33 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye ibada ya kuadhimisha miaka 33 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Marehemu Edward Moringe Sokoine huko Monduli mkoani Arusha leo. Wajane wa Marehemu Sokoine Mama Napono Katrika (kati) Mama Nekiteto (kulia), wakiwa na waziri wa maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe nyumbani kwao Wilayani Monduli Msaidizi wa Askofu, Prosper Lyimo akihubiri wakati wa ibada ya kuadhimisha miaka...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE WILAYANI MONDULI

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi na wajane wa hayati Edward Moringe Sokoine pamoja na baadhi ya viongozi wa kitaifa katika misa ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha Sokoine. Mhe. Rais akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini William Mkapa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa waziri Mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine.

 

5 years ago

Mwananchi

Lowassa: Hakuna kama Edward Sokoine

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amesema viatu vya Hayati Waziri Mkuu wa tatu, Edward Sokoine ni vikubwa sana na kwamba havivaliki.

 

3 years ago

Mtanzania

Nani atategua fumbo la Edward Sokoine

pix coverNa Balinagwe Mwambungu

NI miaka 32 sasa tangu Tanzania impoteze Edward Moringe Sokoine. Ingefaa sasa wanaojua siri za kifo chake kutokana na ajali ya gari iliyotokea pale Dakawa, mkoani Dodoma, wakajitokeza na kueleza ukweli, ili kuiweka historia sawa. Tanzania inaweza kuingizwa katika kitabu cha kumbukumbu—Guiness  Book of Records—kwani si jambo la kawaida Waziri Mkuu kugongwa na gari akiwa kwenye msafara!

Hii inatokana na ukweli kwamba Wananchi wengi hawakuamini kwamba Sokoine alikufa kwa...

 

4 years ago

AllAfrica.Com

Monduli Bears Edward Sokoine's Indelible Memories


Monduli Bears Edward Sokoine's Indelible Memories
AllAfrica.com
Arusha — IBRAHIM Sokoine knows exactly what he wants; and it is not basking in public limelight. "Hate politics, would rather lead a quiet life," stated the 5th born son of the former Prime Minister, the late Edward Moringe Sokoine. Most of Sokoine's eleven ...

 

5 years ago

Mwananchi

Nani wa kuvaa viatu vya Edward Sokoine?

Nataka niseme bila kumung’unya maneno, kwamba anatakiwa waziri mkuu mwingine wa kuvaa viatu vya waziri mkuu wa zamani, marehemu Edward Sokoine.

 

3 years ago

Michuzi

MAGUFULI AZURU KABULI LA WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiweka shada la Maua kwenye kabuli la Waziri Mkuu wa zamani,Hayati Edward Sokoine Moringe,ambapo pia akiwa na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni ya CCM,walishiriki sala ya pamoja ya kumuombea Marehemu. Mke wa Marehemu Sokoine akisaidiwa kuweka shada la maua
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli (wa pili kushoto),akiwa ameambatana na baadhi  ya wajumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni ya CCM,wakishiriki sala ya pamoja ya kumuombea...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani