TIC YAKANUSHA TAARIFA YA ILIYOTOLEWA NA GAZETI YA FINANCIAL TIMES KUWA SERA ZA UWEKEZAJI TANZANIA ZINAKIMBIZA WAWEKEZAJI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania Ndg. Geoffrey Mwambe amesema kwamba taarifa zilizotolewa na Mwandishi wa FT. John Aglionby kuhusu mazingira ya Uwekezaji Tanzania kuwa yanatishia wawekezaji si sahihi na yanalenga kupotosha ukweli kuhusu hali halisi kuhusu Uwekezaji Tanzania.
Mwandishi huyo wa Financial Times ametoa maelezo ambayo amesema yametolewa na Muwekezaji Aliko Dangote maelezo ambayo yamelenga kusukuma Agenda yake ambayo haijulikani na yenye lengo la kupotosha sera...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Kituo cha uwekezaji chakanusha taarifa za gazeti la The Economist kuwa tangu Rais Magufuli aingie madarakani wawekezaji wa nje wanaikimbia TZ

Gazeti la Uingereza, The Economist, May 28 liliandika makala isemayo; Government by gesture: A president who looks good but governs impulsively.

20160528_mad001

Kwenye makala hiyo, gazeti hilo liliandika mambo mengi yanayohusu uongozi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli ikiwemo namna alivyozuia safari za nje za maofisa, kupambana na wafanyakazi hewa, kuanzishwa kwa sheria na kodi kali kwenye bandari ya Dar es Salaam ambapo gazeti hilo limedai kuwakatisha tamaa wafanyabiashara wengi walioanza kutumia bandari...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mahakama ya Tanzania yakanusha taarifa ya gazeti la Mwananchi

Mahakama ya Tanzania imetoa taarifa ya kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya habari iliyoandikwa na gazeti la kila siku la Mwananchi toleo la Jumanne, Julai 12, 2016. Gazeti hilo lilichapisha habari ambayo Mwandishi wa habari hiyo alimnukuu Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Katarina Revokati akiwataka watendaji wa mahakama nchini kujenga utamaduni wa kuwajibika na kutoruhusu uhuru wa mahakama kuingiliwa na watu kutoka nje ya Mahakama.

Kutokana na habari hiyo, Mahakama ya Tanzania...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Uwekezaji (TIC) chatoa ufafanuzi tuhuma za gazeti la “THE ECONOMIST” la Uingereza

Serikali  imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotpka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma.

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively”

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Juni 3.2016 wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu  Mkurugenzi...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA MKUU WA WILAYA YA MANYONI KUWA MKURUGENZI MTEDAJI WA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)

Ikulu, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amemteua Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijni Dar es Salaam, leo, imesema, kabla ya Uteuzi huo Geoffrey Idelphonce Mwambe alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida na kuongeza kuwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni itajazwa baadaye.

Taarifa imesema, wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Clifford Tandari kuwa Katibu...

 

3 years ago

Michuzi

IKULU YAKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA MWANANCHI LA JULAI 27, 2015


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano...

 

2 years ago

Michuzi

IPTL YAKANUSHA TUHUMA ZA RUSHWA NA TAARIFA ZA UONGO ZILIZOCHAPISHWA NA GAZETI LA MWANAHALISI

Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited Bwn. Joseph O. R. Makandege (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa inayodiwa ni ya upotoshaji iliyochapishwa na gazeti la MwanaHALISI ikihusisha IPTL kutoa rushwa kwa viongozi waandamizi wa ikulu na watendaji waandamizi wengine serikalini. Kulia ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa IPTL Bw. Parthiban...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tanesco yakanusha taarifa iliyo andikwa na gazeti la Mwananchi la juni 15, 2017

 

The post Tanesco yakanusha taarifa iliyo andikwa na gazeti la Mwananchi la juni 15, 2017 appeared first on Zanzibar24.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani