Tigo yaendesha zoezi la usajili wa laini za simu Bungeni

 Afisa Huduma kwa wateja kutoka Kampuni ya Tigo Regani Emmanuel, akimsajili Mbunge wa jimbo la Chwaka, Bhagwanji Meisuria (kulia), kupitia utaratibu mpya wa  usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole katika viwanja vya bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.  Afisa anayehusika na usajili wa laini za simu kutoka kampuni ya Tigo Tanzania, Atupiani Makweta, akimsajilia mbunge Tunduma Frank Mwakajoka kwa kutumia mfumo mpya wa usajili kwa kutumia alama za vidole mwishoni katika viwanja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

TCRA NA MAKAMPUNI YA SIMU WAZINDUA MFUMO MPYA WA USAJILI WA LAINI ZA SIMU UNAOTUMIA ALAMA ZA VIDOLE

Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti na Mahusiano na Serikali wa Kampuni ya simu za mkononi  Tigo, Sylvia Balwire akisaini ubao wa uzinduzi wa mfumo usajili wa laini za simu unaotumia alama za vidole kuhakiki taarifa za wateja wa makampuni ya simu Tanzania(BIOMETRIC), anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo leo kwenye viwanja vya Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.
Katibu Mkuu wa wizara ya Mawasiliano ,Dkt. Maria Sasabo (mwenye kilemba) akiwa kwenye picha ya pamoja na...

 

5 years ago

Habarileo

Zantel yahamasisha usajili wa laini za simu

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zantel imezindua mpango mahususi wa kuhamasisha wateja kusajili laini zao kwa mujibu wa sheria ya serikali inayozitaka kampuni za simu kufanya usajili wa wateja wao.

 

5 years ago

Habarileo

Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.

 

3 weeks ago

Michuzi

USAJILI LAINI ZA SIMU KWA KUTUMIA ALAMA ZA VIDOLE, WANANCHI WOTE KUFIKIWA.


Na Chalila Kibuda, Michuzi Tv, Morogoro
Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Kanda ya Mashariki imesema kuwa wananchi wote wenye laini za simu za simu watafikiwa na huduma ya usajili wa laini za simu kwa vitambulisho vya Uraia na alama za vidole na watoa huduma wa kampuni za simu nchini.
Hayo yamesemwa kutokana na kuibuka kwa sintofahamu ya namna wananchi watakavyofikiwa na watoa huduma kwa ajili ya kusajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole na kitambulisho cha uraia kinachotolewa...

 

4 weeks ago

Michuzi

TCRA yatoa elimu juu ya usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole


Na Chalila Kibuda, Michuzi TV
Kanda ya Mashariki ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini(TCRA) imeendelea kutoa elimu ya mawasiliano nchini ikiwa ni pamoja kuwataka wananchi wasajili namba zao kwa kutumia alama za vidole.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyandira mkoani Morogoro Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Mamlaka hiyo Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa serikali imeshatangaza wananchi juu ya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole hivyo ni vyema wasajili kwani baada ya muda uliowekwa...

 

1 year ago

Michuzi

Zoezi la Usajili Tigo Kili Half Marathon laendelea maeneo mbalimbali nchini

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21 za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia 8 Machi mwaka huu.Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari kuhusu usajili wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Usajili laini za simu kwa alama za vidole ni muarubaini kwa wanaotumia mitandao vibaya

Serikali imezindua mfumo wa kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole (biometria), ambao utadhibiti changamoto za usajili mbalimbali zilizopo ikiwemo  udanganyifu unaofanyika sasa kwa kutumia laini za sasa, sambamba na kuisaidia serikali kuwa na takwimu sahihi ya watumiaji wa huduma za simu za mkononi, zitakazosaidia kuweka mipango ya uchumi wa Taifa.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Dk Maria Sasabo, Mwakilishi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani