Tigo yakabidhi kisima cha maji kwa Wananchi wa Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo, Tabora


Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry akipampu maji katika kisima cha maji kilichotolewa Msaada na Kampuni ya simu za Mkononi nchini Tigo katika Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo mkoani Tabora,Kisima hicho kimegharimu zaidi ya shilingi milioni 18. 
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanry akifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi kisima cha maji kilichotolewa Msaada na Kampuni ya simu za Mkononi nchini Tigo katika Kijiji cha Usongelani wilayani Urambo mkoani Tabora. Kisima hicho kimegharimu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

TIGO YACHIMBA KISIMA CHENYE THAMANI YA 18M/- KIJIJI CHA USONGELANI TABORA


Mkuu wa mkoa wa Tabora, Mhe. Aggrey Mwanry akipampu maji kuzindua kisima cha maji alichokabidhiwa na kampuni ya Tigo chenye thamani ya 18m/-kwa kijiji cha Usongelani wilaya ya Urambo mkoani Tabora jana . Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya ziwa (mwenye miwani), Alli Maswanya, Diwani wa viti maalum kata ya Usoke, Aneth Msangama na Diwani wa Usoke, Said Kazimilo. Awali Mkuu wa mkoa wa Tabora, Mhe. Aggrey Mwanry akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa kisima cha maji...

 

4 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA

 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil 56, katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Karu Karavina na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (wa pili kulia).
 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin...

 

2 years ago

Malunde

TIGO YAKABIDHI KISIMA CHENYE THAMANI YA 18M/- KIJIJI CHA RORYA MARA


Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya ziwa, Ally Maswanya akizungumza na wanahabari na wananchi kabla ya kukata utepe wa uzinduzi wa kisima mapema mwishoni mwa wiki iliyopita. Mbunge wa Rorya- Lameck Airo akipampu maji wakati wa sherehe za uzinduzi wa kisima chenye thamni yaTsh.18/- milioni kilichodhaminiwa na kampuni ya Tigo. Mkuu wa wilaya Rorya- Samson Chacha akitwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Nyasoro, Penina Bailes Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya...

 

5 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

3 years ago

Mwananchi

SBL yakabidhi kisima cha maji Hanang

Zaidi ya wakazi 12,000 wa Katesh wilayani Hanang, mkoani Manyara wataondokana na kero ya maji baada ya kuchimbiwa kisima.

 

5 years ago

Dewji Blog

TBL kuwajengea Kisima cha maji cha Sh Mil. 29 wananchi wa Saranga, Dar

IMG_4052

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King’ongo, Benetris Mapesi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil 29  za msaada wa ujenzi wa kisima cha maji katika mtaa huo uliopo Kata ya Saranga, Kinondoni Dar es Salaam. Hafla hiyo ilifanyika katika mtaa huo mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Mkandarasi wa kisima hicho, Onesmo Sigala (wa pili kulia) wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources...

 

4 years ago

Dewji Blog

TBL yakabidhi kisima cha maji zahanati ya Makuburi, Dar

Dkt one

Mganga Mkuu wa Zahanati ya Makuburi, Manispaa ya Kinondoni, Dkt. Stella Kivugo (kulia), akijaribu kufungua bomba la maji, baada ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi, Bw. James Ngoitanie (wa nne kushoto), kukata utepe kuzindua kisima cha maji kilichojengwa kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni watendaji wa Mtaa wa mwongozo. (Na Mpigapicha Wetu)

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwongozo, Dar es Salaam, Bw. James Ngoitanile (wa nne kushoto), akifurahia...

 

5 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI MJI MDOGO WA TUNDUMA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya mji wa Tunduma Aidan Mwanshiga aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiud Saideya  akiwa na Meneja Matukio Kampuni ya Bia Tanzania  TBL Kanda ya nyanda za juu kusini Claud Chawene wakikata utepe kwa pamoja kuzindua kisima hicho cha Maji. Mkurugenzi wa Mamlaka ya mji wa Tunduma Aidan Mwanshiga aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Momba Abiud Saideya akiongea na wafanyakazi wakituo cha Afya  Tunduma mara baada ya kukabidhiwa kisima hicho na TBL. Afisa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani