Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1

DIGITAL CAMERA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).

Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TIPER YAIKABIDHI SERIKALI GAWIO LA SHILINGI 1,275,000.00

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia). Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair (kushoto)...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA SH. BILIONI 23 KUTOKA KAMPUNI ZA PUMA ENERGY, TIPER (T) na NMB BANK PLC

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...

 

2 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAIKABIDHI SERIKALI GAWIWO LA SHILINGI BILIONI 16.5


Na Benny Mwaipaja-WFM

Benki ya NMB imepata faida ya ya shilingi bilioni 153.8 kwa mwaka 2016 hivyo kuiwezesha kutoa gawiwo la shilingi bilioni 16.5 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 32 ya hisa za Benki hiyo.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) alikabidhiwa hundi kifani ya gawiwo hilo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa Benki hiyo uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Mpango amezipongeza juhudi za watendaji wa Benki hiyo waliofanikisha kupatikana...

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPATA GAWIO LA FAIDA LA SHILINGI BILIONI 3 KUTOKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA LIMITED

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dr. Servacius Likwelile pamoja na Msajili wa Hazina, Nd. Lawrence Mafuru wakipokea hundi ya mfano ya shilingi Bilioni 3 kutoka Kampuni ya Puma Energy Tanzania Limited iliyokabidhiwa na Mkuu wa Puma Energy Tanzania Limited, Nd. Philippe Corsaletti. Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya Salum akiwashukuru watendaji wakuu wa Puma Energy Tanzania Limited kwa kuwasilisha kwa Serikali gawio la faida la...

 

3 years ago

Global Publishers

Wanahisa wa Nmb Wapitisha Gawio la Shilingi Bilioni 52

nmb 1

Ofisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker akizungumza na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa 16 wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika mkutano huo, wanahisa walibariki gawio la shilingi bilioni 52 lililotokana na faida ya shilingi Bilioni 150.2 ya faida baada ya kodi iliyoipata benki ya NMB ambapo Kila hisa itapata gawio la shilingi 104 kiwango ambacho ni cha juu kuliko benki yoyote nchini.

nmb 2

Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

 

3 years ago

Michuzi

Zaidi ya Shilingi Bilioni 7.56 zimepatikana katika mnada wa madini ya Tanzanite, Serikali yakusanya mrabaha wa zaidi ya milioni 331.

Na Zuena Msuya ArushaSerikali imekusanya mrabaha wa zaidi ya shilingi milioni 331  katika mnada wa madini ya Tanzanite yaliouzwa kwa  zaidi ya shilingi bilioni 7.56 kutoka kampuni  mbili za uchimbaji madini hayo katika eneo la Mirerani mkoani Manyara.Akitangaza  washindi wa zabuni za kununua madini ya Tanzanite mkoani Arusha, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera, Mkurugenzi wa kitengo uthaminishaji Almas na madini ya vito(TANSORT), Ardhard Kalugendo alisema kuwa katika mnada...

 

4 years ago

Michuzi

NMB Yaidhinisha Shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake

Benki ya NMB imeidhinisha shilingi Bilioni 52 kama gawio kwa wanahisa wake ikiwa ni sehemu ya faida iliyopatikana kwa mwaka 2014.Gawio hilo ni sawa na Shilingi 104 kwa kila hisa moja na ikiwa ni ongezeko la asilimia 16 kutoka gawio la mwaka jana.
Gawio hilo ni kutokana na faida ya shilingi Bilioni 156 baada ya kodi iliyopatikana kwa mwaka 2014. Faida hiyo na gawio lililoidhinishwa ni Faraja kwa wanahisa wanaojivunia benki bora yenya matawi mengi kuliko benki yoyote Tanzania ikiwa na matawi...

 

5 years ago

Dewji Blog

Tanga Cement yatoa gawio la hisa shilingi 7 bilioni kwa wanahisa wake

05

Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Saruji Tanga (TCCL), David Lee ( wa pili kushoto) akisoma taarifa za fedha za kampuni hiyo wakati wa mkutano wa 20 wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement, Reinhardt Swart, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Lawrence Masha, na mjumbe mwingine wa bodi hiyo, Dr. Stephan Olivier.

Na Damas Makangale, MOblog Tanzania,

KAMPUNI ya Saruji ya Tanga cement...

 

3 years ago

Bongo5

Serikali yakusanya zaidi ya shilingi bilioni 1 ya wahanga wa tetemeko la ardhi

Serikali imekusanya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja kutoka kwa mabalozi wa nchi mbalimbali, wafanyabiashara na watu binafsi kwenye mkutano wa kuchangia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera Septemba 10.

141128105653_tanzania_state_house_640x360_ikulu

Mkutano huo umefanyika Jumanne hii, Ikulu jijini Dar es salaam, ukiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Aidha makampuni matatu ya mafuta ya GBP, Moilcom na Oilcom yaliyoshirikiana yameahidi kujenga shule mbili kati ya tatu zilizobomoka mkoani humo huku makampuni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani