TRA YAAGIZA BIASHARA ZOTE YAKIWEMO MADUKA YALIYOFUNGWA YAFUNGULIWE

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeagiza biashara zote, yakiwamo maduka ilizofunga katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, zifunguliwe na kuendelea kuhudumia jamii na Serikali iweze kupata kodi yake.


Aliyetangaza kusitishwa kwa uamuzi huo ni Kamishna wa kodi ya mapato za ndani, Elijah Mwandumbya, kwenye kikao cha pamoja kati yake na wafanyabiashara wa Mkoa wa Lindi.

Mwandumbya alitoa agizo hilo, baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wadau hao kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiwamo wa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Zanzibar 24

TRA yapigwa marufuku kufungia maduka na biashara

Serikali imeipiga marufuku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufunga maduka na biashara za watu kwa kisingizio cha kutolipa kodi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango jana Desemba 30, 2018 wakati akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa na utekelezaji wa bajeti ya Serikali katika nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2018/19.

“Utaratibu wa kumfungia biashara mfanyabiashara anayedaiwa kodi ili kumshinikiza alipe sasa usitishwe mara moja, isipokuwa kwa wakwepa...

 

3 years ago

Michuzi

TRA YAFUNGIA MADUKA KWA KUFANYA BIASHARA ZA WIZI WA KAZI ZA WASANII.

Mkurugenzi huduma na elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Richard Kayombo (Kushoto) akizumgumza na waandishi wa habari (hapo pichani) jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana kukusanya mapato kupitia tasinia ya mziki na filamu kwa kuhakikisha  bidhaa za filamu na mziki zenye stemu za kodi ndizo zinazoingizwa sokoni ili kulinda kazui za wasanii wa hapa nchini.Katibu Mtendaji wa bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandisho wa ha bari...

 

2 years ago

Mwananchi

TRA yafunga maduka Iringa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefunga maduka ya wafanyabishara wasiotumia mashine za kielektroniki za EFD.

 

3 years ago

Dewji Blog

Serikali yaagiza ukusanyaji wake wa mapato kuwa wa mfumo wa kielektroniki kwenye Halmashauri, miji na manispaa zote nchini

IMG_1958

Naibu Waziri TAMISEMI, Suleiman Jaffo (wa pili kushoto) akisisitiza jambo kwa Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone (anayeangalia kamera), alipomtembelea ofisini kwake mjini Singida. Jaffo kwenye mkutano wake na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Singida na manispaa ya Singida, alitoa onyo kwamba mtumishi atakayedokoa fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kugharamia masomo kwa wanafunzi, atakiona cha moto ikiwa ni pamoja na kuchukulia hatua kali za kisheria.Wa kwanza kushoto...

 

3 years ago

Mwananchi

TRA wavamia maduka kukagua risiti

Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa, wakiongozwa na Meneja wao, Anold Maimu, juzi walivamia maduka ya wafanyabiashara wa maeneo ya Mwanjelwa na Sido kukagua kama wanatoa risiti baada ya kuuza bidhaa.

 

11 months ago

Michuzi

SERIKALI YAAGIZA WAMACHINGA WATENGEWE MAENEO YA KUFANYIA BIASHARA

Na Angela Msimbira,
Wakuu wa Wilaya wameagizwa kuzisimamia halmashauri nchini kuhakikisha kuwa zinatenga maeneo maalum ya kufanyia biashara ndogondogo (machinga) ili  waweze kuendesha shughuli zao bila kuvunja sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na serikali. 
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemeni Jafo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Shirika la umoja wa wamachinga Tanzania – SHIUMA uliofanyika leo katika ukumbi wa shule ya...

 

2 years ago

Michuzi

TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO

Maafisa wa Mamalaka ya Mapato Nchini (TRA) wameendelea  kufanya zoezi la ukaguzi wa maduka ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao pasipo kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao. Afisa wa Kampuni ya Yono Auction Mart na askari polisi wakisimamia zoezi la kuingiza...

 

2 years ago

Malunde

TRA YAFUNGA MADUKA YA WAFANYABIASHARA KARIAKOO WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD


Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imeendelea kufanya zoezi la ukaguzi wa maduka ya wafanya biashara wanaouza bidhaa zao pasipo kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao.  Afisa wa Kampuni ya Yono Auction Mart na askari polisi wakisimamia zoezi la kuingiza ndani bidhaa...

 

3 years ago

Global Publishers

Waziri Nape afanya msako wa filamu na stika za TRA maduka ya Kariakoo

FI1Baadhi ya maduka yakiwa yamewekwa chini ya ulinzi kwa kuuza bidhaa za filamu na muziki zilizoingia nchini kinyume na sheria huku baadhi zikikosa stampu ya ushuru wa bidhaa ya TRA na kukosesha serikali mapato kupitia kodi na hivyo kurudisha nyuma maendeleo ya nchi.

FI2Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye(wa pili kushoto) akiwasili katika soko la kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo alifanya zoezi la kushtukiza la  ukamataji wa  bidhaa za filamu na muziki zilizoingizwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani