TRA yapigwa marufuku kufungia maduka na biashara

Serikali imeipiga marufuku Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufunga maduka na biashara za watu kwa kisingizio cha kutolipa kodi.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango jana Desemba 30, 2018 wakati akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa na utekelezaji wa bajeti ya Serikali katika nusu ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2018/19.

“Utaratibu wa kumfungia biashara mfanyabiashara anayedaiwa kodi ili kumshinikiza alipe sasa usitishwe mara moja, isipokuwa kwa wakwepa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

Malunde

WAZIRI AWAPIGA MARUFUKU TRA KUFUNGIA BIASHARA ZA WADAIWA KODI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amepiga marufuku Mamlaka ya Mapato nchini TRA kuwafungia wafanyabiashara, biashara zao kwasababu ya madeni ya kodi wanayodaiwa.

Ametoa kauli hiyo jijini Dodoma  Desemba 30, 2018 wakati akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa taifa na utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa kipindi cha miezi sita katika mwaka wa fedha 2018/19.
"Ninaukumbusha uongozi wa Mamlaka ya Mapato utekeleze maagizo ya Mhe Rais aliyoyatoa wakati wa ufunguzi wa kikao cha utendaji kazi...

 

3 years ago

Habarileo

Biashara ya urojo yapigwa marufuku Zanzibar

WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepiga marufuku biashara za vyakula, ikiwemo vya maji maji kama urojo zinazofanywa na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara kutokana na kuongezeka kwa hofu na kasi ya ugonjwa wa kipindupindu.

 

1 year ago

Malunde

TRA YAAGIZA BIASHARA ZOTE YAKIWEMO MADUKA YALIYOFUNGWA YAFUNGULIWE

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeagiza biashara zote, yakiwamo maduka ilizofunga katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, zifunguliwe na kuendelea kuhudumia jamii na Serikali iweze kupata kodi yake.


Aliyetangaza kusitishwa kwa uamuzi huo ni Kamishna wa kodi ya mapato za ndani, Elijah Mwandumbya, kwenye kikao cha pamoja kati yake na wafanyabiashara wa Mkoa wa Lindi.

Mwandumbya alitoa agizo hilo, baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wadau hao kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiwamo wa...

 

3 years ago

Michuzi

TRA YAFUNGIA MADUKA KWA KUFANYA BIASHARA ZA WIZI WA KAZI ZA WASANII.

Mkurugenzi huduma na elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Richard Kayombo (Kushoto) akizumgumza na waandishi wa habari (hapo pichani) jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana kukusanya mapato kupitia tasinia ya mziki na filamu kwa kuhakikisha  bidhaa za filamu na mziki zenye stemu za kodi ndizo zinazoingizwa sokoni ili kulinda kazui za wasanii wa hapa nchini.Katibu Mtendaji wa bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandisho wa ha bari...

 

4 years ago

StarTV

Wizara ya Afya yaonya kufungia biashara kudhibiti kipindupindu.

Wizara ya Afya imeonya kuwa itazifungia biashara zote zisizofuata taratibu za usafi ili kudhibiti ugonjwa wa kipindupindu ambao tayari umeathiri mikoa 16 tangu ulipuke Agosti mwaka huu.

Wizara imesema itachukua hatua hiyo ikiwemo kuvifunga vilabu vinavyouza vileo, migahawa ya chakula na mama lishe kwa lengo la kuokoa maisha ya wananchi na kutokomeza kipindupindu.

Wizara ya Afya imezungumzia hatua zinazochukuliwa sasa kupambana na kipindupindu, ugonjwa ambao tayari umepoteza maisha ya...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA UFAFANUZI WA KUFUNGIA BIASHARA YA USAFIRISHAJI WANYAMAHAI NJE YA NCHI.

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa ufafanuzi wa uamuzi wake wa kuzuia biashara ya usafirishaji wa wanyamahai nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo na kusema kuwa uamuzi huo ulitolewa kwa lengo la kupanga vizuri biashara hiyo kwa faida ya serikali na wafanyabiashara wenyewe.
Ufafanuzi huo umetolewa jana na Waziri wa Wizara hiyo, Prof. Jumanne Maghembe katika kikao alichokiitisha wizarani hapo na wafanyabiashara wa wanyamahai wa makundi ya wadudu, vyura, mijusi,...

 

2 years ago

Mwananchi

TRA yafunga maduka Iringa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefunga maduka ya wafanyabishara wasiotumia mashine za kielektroniki za EFD.

 

3 years ago

Mwananchi

TRA wavamia maduka kukagua risiti

Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa, wakiongozwa na Meneja wao, Anold Maimu, juzi walivamia maduka ya wafanyabiashara wa maeneo ya Mwanjelwa na Sido kukagua kama wanatoa risiti baada ya kuuza bidhaa.

 

4 years ago

Mtanzania

Mita 200 yapigwa marufuku

Pg 4 oct 24Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetamka bayana kwamba hairuhusiwi watu kukutana mahali popote bila kujali umbali wake siku ya uchaguzi kesho.

Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu waliokuwa wakisikiliza mvutano wa kisheria kuhusu kukaa mita 200 kutoka kituo cha kupigia kura.

Mwenyekiti wa jopo hilo, Sekieti Kihiyo na Jaji Lugano Mwandambo kwa nyakati tofauti walipokuwa wakisoma uamuzi huo, walisema wamezingatia hoja zilizowasilishwa na pande mbili...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani