TRA YATAKIWA KUIMARISHA UKAGUZI WA MASHINE ZA EFD

Afisa Elimu kwa Walipakodi TRA Kanda ya Kaskazini Eugenia Mkumbo amesema kuwa Mamlaka hiyo inatoa fursa kwa wafanyabiashara wanaolalamikia kukadiriwa kodi ya juu kuliko kipato chao.Mkui wa Wilaya ya Arusha Gabriakizindua wiki ya mlipa kodi iliyofanyika eneo la stendi kuu ya Mabasi ya mikoani,ambapo ameitaka TRA Baadhi ya wananchi waliojitokezankatika uzinduzi wa wiki ya Elimu kwa mpiga kodi iliyoansaliwa na Mamlaka ya Matapo nchini TRA Jijini Arusha


Na Vero Ignatus ,Arusha.
Mamlaka ya Mapato...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

TRA: Mashine za EFD haziepukiki

WAKATI wafanyabiashara maeneo mbalimbali nchini wakiendelea na mgomo kupinga kununua mashine za EFDs, Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini, (TRA), Rished Bade, amesisitiza kuwa mashine hizo haziepukiki na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

 

4 years ago

Michuzi

MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.

1Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.2Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.3Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum(MB) akiwa katika...

 

3 years ago

Mtanzania

TRA : Kila mfanyabiashara Kariakoo lazima awe na mashine ya EFD

prima

NA KOKU DAVID,

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kufanya vizuri katika suala zima  la kukusanya mapato ya serikali na kuvuka lengo.

Katika kuhakikisha inafanikiwa kukusanya na kuvuka lengo la mwaka wa fedha wa 2016/17 la kukusanya sh trilioni 15.1, TRA imekuwa ikitoa elimu ya kodi kwa jamii ikiwa ni pamoja kupanua wigo wa walipa kodi.

TRA imeweka mikakati mbali mbali ambapo miongoni mwa mikakati hiyo ni kutoa elimu ya kodi, kuboresha huduma zake, kusajili walipa kodi wapya ili...

 

2 years ago

Michuzi

TRA YAFUNGIA MADUKA YA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD KARIAKOO

Maafisa wa Mamalaka ya Mapato Nchini (TRA) wameendelea  kufanya zoezi la ukaguzi wa maduka ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao pasipo kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao. Afisa wa Kampuni ya Yono Auction Mart na askari polisi wakisimamia zoezi la kuingiza...

 

2 years ago

Malunde

TRA YAFUNGA MADUKA YA WAFANYABIASHARA KARIAKOO WASIOTUMIA MASHINE ZA EFD


Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imeendelea kufanya zoezi la ukaguzi wa maduka ya wafanya biashara wanaouza bidhaa zao pasipo kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria, kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao.  Afisa wa Kampuni ya Yono Auction Mart na askari polisi wakisimamia zoezi la kuingiza ndani bidhaa...

 

3 years ago

Michuzi

TRA YAGAWA MASHINE ZA EFD KWA WIZARA ZINAZOKUSANYA MADUHULI YA SERIKALI.

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) imegawa Mashine za Kieletroniki za EFDs tano kwa kila katibu Mkuu wa Wizara kwa ajili ya kukusanya maduhuli ya serikali kwa kutumia mashine hizo.
 Hatua hiyo imetokana na agizo la  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ya kutaka Wizara zinazotoa huduma ziwe na mashine za EFD ili kuweza kujiletea maendeleo na kukuza uchumi wa taifa.
 Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam leo, Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata...

 

3 years ago

Michuzi

TRA KUGAWA MASHINE ZA EFD BURE KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA DAR ES SALAAM

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfayo Kidata

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani