TRAILER: Nimeipata trailer ya movie mpya Bongo ya kuitazama weekend hii

Kama ni mmoja wa wanaopenda kutembelea nyumba za cinema kutazama movie wakati wa weekend ninayo good news kwako…ni kutoka kwa watayarishaji wa SIRI YA MTUNGI ambapo mara hii wametuletea TUNU. Ni filamu yenye uhalisia wa kitanzania ambayo itakuwa moja ya cinema zitakazooneshwa Mlimani City Century Cinemax leo May 19, 2017. Unaweza kutazama Trailer hapa chini […]

The post TRAILER: Nimeipata trailer ya movie mpya Bongo ya kuitazama weekend hii appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimeuwekea hapa

heist 1

Utafanyaje pale mtoto wako kalazwa Hospitali na huna pesa? umepewa saa tu kutoa hela hayo mamilioni lasivyo atafariki? hii imemuangukia jamaa aliyekua anafanya kazi kwa Boss mmoja katili… akanyimwa pesa ya kumlipia mwanae ikabidi afanye maamuzi magumu… tazama hii Trailer hapa chini kisha movie kamili kwa time yako kaitazame cinema mtu wa nguvu Unataka kutumiwa […]

The post Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimeuwekea hapa appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimekuwekea hapa

maxresdefault

Batman Vs Superman ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii. Cheki trailer yake hapa na ratiba ya movie nyingine. Batman Vs Superman ROCKY HANDSOME My Big Fat Greek Wedding Allegiant  Zootropolis Kung Fu Panda 3  Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimekuwekea hapa appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam ikiwemo aliyoshirishi Justin Bieber…. +TRAILER ziko hapa

wwwess2333

Zoolander 2 ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo ameshiriki staa Justin Bieber,  kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii. Cheki trailer yake hapa na ratiba ya movie nyingine. Zoolander 2  Risen Triple 9 Allegiant Kapoor & Sons Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam ikiwemo aliyoshirishi Justin Bieber…. +TRAILER ziko hapa appeared first...

 

2 years ago

MillardAyo

Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam ikiwemo aliyoshiriki Justin Bieber…. +TRAILER ziko hapa

wwwess2333

Zoolander 2 ndiyo movie mpya itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali ambayo ameshiriki staa Justin Bieber,  kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii. Cheki trailer yake hapa na ratiba ya movie nyingine. Zoolander 2  Risen Triple 9 Allegiant Kapoor & Sons Unataka kutumiwa za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam ikiwemo aliyoshiriki Justin Bieber…. +TRAILER ziko hapa appeared first...

 

2 years ago

Africanjam.Com

MOVIE TRAILER: FAST & FURIOUS 8 "FATE OF THE FURIOUS" | Official Trailer 2017 |Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

1 year ago

Bongo Movies

Bongo Movie Trailer-Yai Viza (24/04/2017)

Kutoka STEPS ENTERTAINMENT LTD , Filamu ya Yai viza inatoka 24.04.2017 usikubali kukosa Kabisa kutana na @philimonlutwaza @jacquelinemateru @leonsambala na wengine wengi usikose

 

3 years ago

Bongo5

Hii ni trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anatarajia kutoa movie yake November 9 mwaka huu aliyofanya na kampuni ya Universal Studios. Movie hii imeandaliwa kwa miezi 14 na itakuwa na video mbalimbali ambazo hazijawahi kuonekana. Kwenye movie hiyo wamehusishwa mama yake Ronaldo, mwanae na marafiki zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]

 

2 years ago

Bongo5

Video: Tazama trailer mpya ya movie ya Barbershop: The Next Cut

nicki-bs

Mwaka huu Ice Cube atakuwa na filamu mbili kubwa, Ride Along 2 iliyoingia sokoni wiki iliyopita na Barbershop: The Next Cut itakayotoka mwezi wa nne. Hii ni trailerya pili ya filamu hiyo.

Pamoja na Ice Cube, waigizaji wengine kwenye filamu hiyo ni pamoja na Cedric the Entertainer, Anthony Anderson, Eve, Common, Tyga, na Nicki Minaj.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia...

 

2 years ago

MillardAyo

Trailer na picha 5 za aliyeigiza kama 2Pac kwenye movie mpya ya 2016

Actor Usher Raymond IV poses for photographers upon arrival at the screening of the film Hands of Stone at the 69th international film festival, Cannes, southern France, Monday, May 16, 2016. (AP Photo/Joel Ryan)

All eyez on me ni movie mpya ambayo itaanza kuonyeshwa kwenye majumba ya cinema November 2016 ikiwa na uzito wa maisha ya rapper maarufu 2Pac ambaye alifariki September 13 1996. Jamaa aliyeigiza kama Tupac humo ndani ni Demetrius Shipp Jr ambaye umri wake ni miaka 27 (alizaliwa November 1988) Movie yenyewe hii itaigiza sehemu kubwa ya maisha […]

The post Trailer na picha 5 za aliyeigiza kama 2Pac kwenye movie mpya ya 2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani