TRC YATOA TAARIFA YA AJALI YA BASI LA ABIRIA KUGONGA TRENI YA MIZIGO


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

Stori: Dustan Shekidele NImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia. Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1LMsk2c

 

2 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WATATU WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI DOGO KUGONGA TRENI YA ABIRIA MOROGORO, 30 WAJERUHIWA

Na John Nditi wa Globu ya Jamii, MorogoroWANAFUNZI watatu wa shule  za Sekondari katika Manispaa ya Morogoro wamefariki dunia na wengine 30 kujeruhiwa miongoni mwao watu wazima baada ya basi dogo aina ya Coaster kugonga treni ya abiria iliyokuwa inatokea mikoa ya kanda ya Ziwa kuelekea Dar es Salaam.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alithibitisha  tukio hilo mapema leo kuwa ajali hiyo ilitokea majira ya saa 1:30 asubuhi  karibu na eneo la Ofisi za Mkoa za Tanesco ambapo...

 

4 years ago

Vijimambo

AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA BASI KUGONGA TRENI

 Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria. Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

2 years ago

Malunde

KUHUSU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI KISHA KUJEUHI NA KUUA

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la abiria/daladala (T 435 DGG) kutoka Gongo la Mboto kwenda Mnazi Mmoja kuigonga treni ya Pugu leo Aprili 19, 2017 saa 11 alfajiri katika makutano ya reli na barabara ya Nkurumah jijini Dar es Salaam.
Majeruhi wa ajali ni 23 , wanane wapo hospitali ya Amana na waliobakia 15 wapo Hospitali ya Taifa Muhimbili MOI watatu kati yao ni mahututi. Taarifa zaidi itatolewa kuhusu ajali hiyo.
Hata hivyo treni ya Pugu inaendelea na huduma zake kwa...

 

5 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER ALJABIR KUGONGA TRENI IFAKARA, MAJINA YA MAREHEMU YATAJWA


Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard L. Paulo-SACP akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.…

 

1 year ago

Zanzibar 24

Picha ajali Fuso kugonga basi la abiria na kusababisha vifo vya watu 12 Tabora

Basi la abiria la City Boys lililokuwa likitokea Karagwe mkoani Kagera kwenda Dar es Salaam, Liligongana uso na gari la mizigo aina ya Fuso katika eneo la Makamelo, Igunga Mkoa wa Tabora na kusababisha vifo vya watu 12 na majeruhi 46 usiku wa kuamkia leo.

 

Taarifa za awali zinadai kuwa, chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Fuso aliyesogea upande wa basi alipokuwa akikwepa shimo lililopo barabarani.

The post Picha ajali Fuso kugonga basi la abiria na kusababisha vifo vya watu 12 Tabora...

 

3 years ago

MillardAyo

Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP

Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016. Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha […]

The post Picha na kilichonifikia kutoka kwenye ajali ya basi la abiria na lori la mizigo Njombe.. #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

Mwananchi

Treni ya mizigo yaanguka, abiria 1,000 wa treni wakwama Dodoma

Zaidi ya abiria 1,000 waliokuwa wakisafiri kwa treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani ya Kigoma na Mwanza wamekwama mkoani hapa baada ya treni ya mizigo kuanguka kati ya Kituo cha Itigi na Kitalaka.

 

3 years ago

MillardAyo

Taarifa kuhusu ajali ya basi la abiria katikati ya safari Dar-Moro… RIP

Picha zimeenea kwa muda sasahivi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha ajali ya basi huku kukiwa na taarifa tofauti kuhusu vifo na majeruhi kwenye ajali hiyo. Blog ya mwanahabari Issa Michuzi imeandika kwamba ni kweli ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo January 23 2016 katika eneo la Mikese, ni basi la kampuni ya BM ambalo […]

The post Taarifa kuhusu ajali ya basi la abiria katikati ya safari Dar-Moro… RIP appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani