Trumo atetea vita vya kibiashara kati yake na China

Rais wa Marekani Donald Trump ametetea vita vya kibiashara kati yake na China wakati hali ya wasiwasi ikiongezeka wakati masoko ya fedha yakizidi kuporomoka huku akiahidi kufikia makubaliano hivi karibuni na rais wa China Xi Jinping.

Katika mfululizo wa ujumbe alioandika kwenye ukurasa wake wa twitter mapema hii leo Trump ameendelea kuipigia debe kauli mbiu yake ya Marekani Kwanza katika kuunga mkono hatua za kuongeza ushuru dhidi ya bidhaa za China huku akiyataka makampuni ya Marekani...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Vita vya kibiashara vya Trump: China yaonya kutetea maslahi yake dhidi ya Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ameziwekea vikwazo vya ushuru bidhaa za China , na kuzua hofu ya vita vya kibiashara

 

1 week ago

VOASwahili

Mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaingia siku ya pili

Wajumbe katika mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China wanakutana kuendelea na mazungumzo kwa siku ya pili, Ijumaa, masaa machache baada ya ushuru wa Marekani dhidi ya bidhaa za China kuanza kutumika.

 

2 years ago

Raia Mwema

Sababu 8 kwa nini vita ya kibiashara baina ya Marekani na China sio kitu kizuri

Washington, Marekani

DONALD Trump yule wa wakati wa kampeni alikuwa akitoa maneni makali dhidi ya China: Alitishia kuitandika na kodi ya asilimia 45 kwa kila bidhaa inayoingizwa nchini Marekani kutokea China, na akaahidi kuitangaza China kama “mdanganyifu wa fedha.”

“Hatuwezi kuendelea kuiruhusi China kubaka nchi yetu, na hicho ndicho wanachofanya,” aliwaambia waandishi wa habari mwezi Mei.

Vitisho dhidi ya biashara duniani itakuwa ni sehemu kubwa ya mazungumzo baina ya viongozi...

 

5 years ago

Michuzi

Mgawe akiri kuusaini Mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL)

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii
Aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe  amekiri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliusaini mkataba wa kibiashara kati ya TPA na Kampuni ya China Communications Company Ltd (CCCCL).
Mgawe amekiri kuusaini mkataba huo wa kibiashara leo wakati akisomewa maelezo ya awali (PH)  na Wakili wa Serikali, Pius Hilla mbele ya Hakimu Mfawidhi  wa mahakama hiyo, Isaya Arufani.
Akisomewa maelezo ya awali yanayohusiana na shtaka  la...

 

2 years ago

BBCSwahili

Urusi: Marekani imetangaza ''vita vya kibiashara'' dhidi yetu

Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amesema kuwa vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya taifa hilo ni sawa na kutangaza vita vya kibiashara.

 

2 years ago

Channelten

Mkutano mkuu wa Chama cha Kikomunisti China, Rais Xi Jimping atetea juhudi za nchi yake kujiimarisha

a8f1925080f248479743380df74181ab

Rais Xi Jinping wa China ameuambia mkutano mkuu wa chama chake cha kikomunsti kwamba taifa hilo lina mustakabali mzuri kiuchumi, licha ya kukiri kukabiliwa na changamoto kubwa kwa sasa.

Akifungua mkutano huo unaofanyika mara moja kwa kila miaka mitano hivi leo, Xi ametetea juhudi za nchi yake kujiimarisha kwenye Bahari ya Kusini inayozozaniwa na majirani zao, siasa ya nje ya taifa hilo la pili kwa nguvu za uchumi duniani, na pia mradi wake wa miundombinu unaofahamika kama “Mkanda Mmoja,...

 

3 years ago

Michuzi

Mkutano wa ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika mjini Beijing Nchini China

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (Katikati), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Star Media Tanzania Liao Lanfang wakibadilishana mawazo leo  kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa tatu wa ushirikiano wa vyombo vya Habari kati ya nchi za Afrika na China unaofanyika Beijing nchini China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Vita vya maneno vyazuka tena kati ya Trump na Korea Kaskazini

Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni wa Korea Kaskazini ilimuita Trump kuwa "mchochezi wa vita na mzee"

 

1 year ago

VOASwahili

China inasema haina nia ya kuanzisha vita vya biashara

China imesema Jumapili kwamba haina nia ya kuanzisha vita vya biashara na Marekani kwa sababu hatua hiyo itakuwa janga kwa dunia nzima. Waziri wa biashara wa China, Zhong Shan alisema pembeni ya kikao cha kila mwaka cha bunge la China kwamba “hakuna washindi katika vita vya biashara”. Aliendelea kusema kuwa “China haitarajii kupambana kwenye vita vya biashara, wala China haitaanza vita vya biashara, lakini tunaweza kukabiliana na changamoto za aina yeyote na tutalinda maslahi ya nchi na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani